nandy

  1. N

    Diamond Platnumz, Zuchu, Harmonize, Nandy wasanii vinara Boomplay 2022

    Desemba 16, 2022.Dar es Salaam: -Mwaka 2022 umekuwa mwaka mzuri kwa tasnia ya muziki wa Tanzania, tukishuhudia kuibuka kwa wasanii mbalimbali wanaochipukia, wasanii wakijituma zaidi ya kawaida kwenda kwenye viwango vya juu na kutambulika kimataifa. Mwaka umeshuhudia wasanii takriban sita wa...
  2. Sildenafil Citrate

    Polisi yawanasa wanaodaiwa kutumia majina ya Jokate, Nandy kutapeli watu

    Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watuhumiwa 23 wakiwamo wanne wanaotuhumiwa kutumia majina ya viongozi wa serikali na watu maarufu kwa utapeli na wizi wa mtandao kujiingizia kipato kwa njia isiyo halali. Akizungumza Septemba 26, Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Benjamin Kuzaga amesema...
  3. Kingo Janta

    Mzee anayedai kuwa Baba wa Nandy Aibuka

    "Mimi na Mama yake Nandy hatukuwa na tatizo lolote isipokuwa dada yake alimuonea wivu wakati nipo na yule mama. Akamtorosha/kumpoteza kama mfanyakazi akampeleka sehemu ambayo sijui". "Nachotamani kumwambia Nandy ni kitu kimoja, kama ametambua kuna Charles Mfinanga zaidi ya mimi awe huru nampa...
  4. M

    Mmejitahidi sana kuipamba na kuinogesha harusi ya leo, ila hata haijafikia 25% ya iliyokuwa Harusi ya Mtoto wa Mzee Rupia

    Wengi wenu hapa JamiiForums bahati mbaya miaka hiyo ya mwishoni ya 90 bado mlikuwa katika Zipu za Baba zenu ila kwa Wakongwe tulikuwepo na mpaka hii leo sijaona bado Harusi ya Kuizidi hiyo. Ilikuwa ni Harusi ya Mtoto wa Mzee Rupia ( Tajiri wa Kihistoria Tanzania ) na Binti yake Mzee Mramba (...
  5. F

    NSSF fao la kujitoa hawalipi wanachama. Ila wanatumia Hela za wanachama wao kwenye harusi ya Nandy na Billnass

    Kweli dunia haipo fair Watu hawana ajira wakienda kudai mafao yao wananyimwa hela hakuna Ila harusi za wasanii zinamwagiwa mahela kibao na NSSF
  6. amadala

    Hongera Bill Nass na Nandy kwa kufunga ndoa

    Hongereni Bill Nass na Nandy kwa kufanya maamuzi mazuri, ndoa yenu ikawe ya heri na baraka. Hongereni tena kwa kuwa mfano kwa wasanii wenzenu kuwa inawezekana mkinia jambo lenu. Hakika mnatoka kwenye familia zenye misingi ya malezi ndio maana leo mmekula kiapo. Kongolee once again 💋
  7. MamaSamia2025

    Kuwasifia Nandy & Billnas kupeana mimba nje ya ndoa ni ukosefu wa maadili

    Ninaandika huu uzi nikiwa na hasira iliyochanganyikana na huzuni kwa huu mmomonyoko wa maadili unaozidi kuota mizizi. Jamii kwa sasa iko bize kushabikia mambo ya kipuuzi huku ikiachana na agenda muhimu za kitaifa. Picha na video chafu zimekuwa na thamani kuliko mambo mengi yenye tija mitandaoni...
  8. JanguKamaJangu

    Harusi ya Nandy na Billnas ni Juni 25, 2022

    Kapo pendwa kunako Bongo Fleva, Billnass au Nenga na Nandy ‘The African Princess’ wanatarajia kufunga ndoa Juni 25, mwaka huu. Hiyo ni kwa mujibu wa Baba wa Nandy, Charles Mfinanga alipokuwa akizungumza mara baada ya hapo jana Billnass kumvisha Nandy pete ya uchumba. Utakumbuka hiyo ni mara ya...
  9. Leak

    Lill Ommy: Siwezi kamwe kumtafuta Nandy kwaajili ya mahojiano, namuona analandalanda tuu mtaani

    Mtangazi wa Wasafi FM kituo kinacho milikiwa na Joseph Kusaga amefunguka wazi yeye awezi kamwe kumtafuta msanii yeyote yule amfanyie interview hasa Nandy. Mtangazi Lily Ommy amesema wazi kabisa kuwa amekuwa akimuona Nandy ana landa landa tuu mtaani kamwe awezi kumtafuta amfanyie interview labda...
  10. D

    Nandy Festival - Clouds FM

    Leo Nandy ana jambo lake, atakuwa Clouds FM akisindikizwa na baadhi ya wasanii. Jukwaa limetengenezwa eneo la kuegesha magari, pamependeza sana. Jambo lenyewe linatarajiwa kuanza mishale ya saa 4 mpaka alasiri huko. Watakao pata nafasi wafike zilipo ofisi za Clouds FM Mikocheni, hakuna...
  11. Leak

    Ukweli usemwe: Nandy ni msanii namba moja wa kike ambaye tumebarikiwa kwa sasa

    Wasalaam wanajamvi. Kama mnakumbuka ujio wa Nandy alianza baada ya Ruby kukorofishana na Clouds media. Watu wengi nikiwapo mimi walikuwa wana doubt sana kipaji cha Nandy toka awali.. na kama kipindi kile watu walikuwa wakimsikia Nandy basi utawasikia wakisema hamna kitu huyo ameletwa kumfunika...
  12. H

    H.Baba: Kuna watu Wanambania Nandy ashuke kimziki

    Msanii aliyewahi kuhit hapo zamani na nyimbo kazaa H.baba ametoa povu zito kwa kusema Kuna watu Wanambania Nandy na wanataka kumshuka kimuziki ili Wasanii wao wafanye vizuri. Nini maoni yako mdau kwenye hili
  13. chiembe

    Tangu Nandy aanze kumlisha Bill Nass, Bill Nass kaanza kunenepa

    Ama kweli duniani hakuna mwembamba, Bill Nass tangu aanze kupiga mboga saba(msosi kama anasukuma kete za drafti) kwanza kunenepa, hakuna mwembamba dunia hii. Kamanda ana kazi ya kulala na kushika rimoti, bibie ana nyota ya Uingereza hata akishika jiwe linakuwa dhahabu. Hongera Nandy kwa kuanza...
  14. U

    Nani mkali kati ya wasanii hawa wa kike, Nandy vs Vanessa

    Kumekucha ,Leo nakuja na mtazamo wa kuwashindanisha hawa wadada wawili wasanii wa nyimbo na kutaka kujua yupi mi bora katika tasnia ya uimbaji Nandy na Vanessa Mdee. Niende moja kwa mmoja kwenye mtazamo wangu naona Vanessa ni bora zaidi kuliko Nandy,, ukiangalia kwenye sauti ,uchezaji...
  15. H

    Diamond na Nandy miongoni mwa wasanii watakaohojiwa na Idris Elba

  16. H

    Nandy amsifia Zuchu

    Msanii Nandy asifia uwezo wa Zuchu kimziki "Mimi Kama mwanamziki inaweza kuwa ngumu kusifia kazi za mwenzangu lakini kwa Zuchu kiukwel anajua Sana, Cha msingi ajitahidi kufanya vizuri atafika mbali Sana maana Mimi Ni mshabiki wake pia" Ikumbukwe pia nandy na Zuchu walikuwepo wote kwa pamoja...
  17. Barakoa

    Hivi aliyeandika hizi taarifa mwenye Wikipedia ya msanii Faustina Charles Mfinanga a.k.a Nandy, alikuwa na maana gani ?

    Nilikuwa napitia taarifa za msanii Nandy, japo kuweza kujua wasifu wake. Nilipofika hiki kipengele nilishindwa kukielewa kwa kweli. Maana hapa zinazungumziwa controversies za Nandy Ila maelezo ni ya ishu za Diamond. Sioni hizo controversial moments zaidi ya kusifiwa. Hivi Harmonize kumbe jina...
  18. H

    Nandy: Vanessa na Ruby hawaniwezi

    Msanii wa kimataifa na mwenye mvuto wa sauti wa kumtoa nyoka pangoni na msanii mwenye mvuto kuliko msanii yoyote barani Africa Nandy a.k.a African Princess. Amefunguka baada ya kushindanishwa na V.Money na Ruby na mashabiki nakusema wote wawili hawapo level yake na amewashauri mashabiki...
  19. H

    Diamond, Rayvanny, Nandy, Lil Ommy washinda tuzo Marekani

    Wasanii kutoka Tanzania washinda tuzo ya east entertainment awards USA ambapo hizo tuzo zilifanyika USA.Msanii wa kimataifa kutoka Tanzania diamond platnumz alishinda katika kipengele Cha best collaboration ft (baila),rayvanny na nandy wameshinda kwenye kipengele Cha best male/female east and...
Back
Top Bottom