Mjumbe wa mtaa kaniletea barua ya wito naitajika kwa afisa mtendaji.
Barua imeandikwa naitajika kwa 7bu ya kutolipa ela ya takaa
Nimeshindwa kujua kwanza mm ni mtumish wa serikalini pia nipo single naishi mwenyewe nipo busy hata muda wa kushinda nyumbn sina mwez au wiki sirudi nyumbn kutokan...
Habari wakuu, kwa heshma kubwa naomba, nahitaji muongozo wenu.
Nimepata:
1: Bachelor of Arts in Economics -Ardhi university
2: Bachelor of Economics and finance I F M.
Naomba ushauri wenu wakubwa zangu nichukue ipi itakuwa bora zaidi. Nahitaji ku confirm chuo kwa Sasa hivyo muongozo wenu...
Habari wakuu, kwa heshma kubwa naomba, nahitaji muongozo wenu. Nimepata
1: Bachelor of Arts in Economics
-Ardhi university
2: Bachelor of Economics and finance
-IFM
Nilisoma HGE ufaulu wangu ni 1.8
(History B, Geography C, Economics C,Bam D)
Naomba ushauri wenu wakubwa zangu nichukue ipi...
Wakuu nimekuja kuomba msaada wa kunisaidia nisome ipi kati ya kozi hizi na vyuo hivi
1.Bachelor of arts in Economics _Ardhi university
2.Bachelor of Economics and finance _IFM
3.Bachelor of Agriculture investment and banking _SUA
Nahitaji sana mawazo na muongozo wenu wakuu wangu,niende ipi...
Habari wakubwa,
Kwa heshma kubwa naomba ushauri Kwa Binti /kijana wetu anahitaji ushauri wa ki confirm kozi ambayo itakuwa Bora Zaid kwake Kwa ambazo amechaguliwa.
Kozi zenyewe ni kama ifuatavyo
1. Bachelor of arts in economics_Ardhi university.
2. Bachelor of accounting with Information...
Shida hii ipo usoni tu na ni baadhi ya sehemu ya uso, ni kama vidoti vyeupe na ilinianza toka 2022. Nimetumia dawa za Mba lakini wapi, nikaenda pharmacy wakaanza kunipa dawa za Fungus zakupaka na kumeza. Nikaja kwenda Hospital nikapatiwa pia dawa zakumeza siku 30 na yakupaka.
Nimejikuta...
Habarini Ndugu
Nyumba Ninayoishi haina miundombinu rafiki ya kutumia washing mashine , ingawa nyumba ina choo ndani na jiko na maji yanaflow ndani
Naomba nijue mashine ipi itakua rafiki kwa matumizi ya familia kwa bajeti Isiyozidi laki 7
Pia nakaribisha mawazo mbadala mmefanyaje wadau
Asante
Wakuu heshima kwenu.
Polen na hongereni kwa majukumu yenu ya kila siku.
Niko kwenye hali fulani ya mkanganyiko kidogo. Nasema kidogo kwasababu ni kama niko njia panda japo kuna njia ambayo kwa mujibu wa misingi ya imani na utamaduni na maadili yangu najua nitaiendea njia hiyo japo naona ni...
Jamani wanaforums, nina mtaji wa kutosha kufungua duka la dawa (pharmacy)na nataka kusimama mwenyewe kwenye biashara yangu ila sina elimu ya afya na nina mpango wa kuanza chuo kwa ngazi ya diploma.
Sasa naomba mnisaidie ushauri je nikasome kozi ipi kati ya PHARMACY na CLINICAL MEDICINE kwa...
Nina shamba la familia wilaya ya muheza, kilapura, Tanga. Ni shamba lenye ukubwa wa ekari 8.
Mimi nafanya kazi Arusha, hilo ndo jambo kubwa linalonipa mashaka katika usimamizi. Japo naweza pata muda wa kutembelea shamba mara moja au mbili kwa mwezi
Huku Mbeya wilaya ya BUSOKELO nimeona mchanganuo wa gharama za mafunzo kwa miezi 6 kwa kila mmoja ni 2,359,940 Tshs.
Hapo ni gharama za ada ya mafunzo vifaa, bima ya afya, malazi na chakula.
*Malazi 50,000 kwa mwezi.
*Chakula 6000 kwa siku.
Kusema ukweli nilitegemea kwamba kutakuwa na kiasi...
Ndugu zangu hongereni kwa majukumu ya kujenga uchumi wenu kwa manufaa ya familia zenu bora.
Mimi naomba mnipe USHAURI wa sehemu gani nzuri na affordable ya kweza kupata eneo zuri la kujenga makazi kwa ajili ya kuishi mimi na familia yangu ambayo Mungu atanibariki hapo baadae.
KUSUDIO: Ni...
Habari Wakuu,
Nimeshawishika sana kuichukua Google pixel 8 pro mpya kutokana na features zake, na Shughuli zangu nnazozifanya naona itanifaa sana,
Nahofia kitu kimoja, mwaka jana nlinunua Google pixel 5a pale china plaza, iliku ni hizi refubished ,Ile simu nlikaa nayo miezi miwili tuu ghafla...
Kuna mtoto wa ndugu yangu
ninamsomesha. Huyu dogo kafaulu
Kidato cha 4. Kapangiwa college,
kwa akili za huyu mtoto naona bado hawezi kusoma college.
Ni kijana wa kiume, mvivu, bonge, hana adabu, jeuri. Kwa ujumla alilelewa kishenzi.
Mimi niko mbali na anakoishi.
Nimewaza aende Form 5 shule za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.