nape nauye

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LGE2024 Nape: Migogoro ya CHADEMA ni dalili za kuvunjika kama CUF na NCCR Mageuzi

    Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema migogoro inayoendelea kwenye chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni dalili za kuvunjika kwa chama hicho. Vyama vyote vya Siasa vikikaribia kufa au kufutika kwenye ramani wananza kupigana wenyewe kwa wenyewe. Nape ameyasema hayo Mkoa Rukwa...
  2. F

    Nape effect: Kosa la Nape ni kuzungumza ukweli kuhusu chaguzi za Tanzania. Hajawakosea wananchi, amewakosea wenye mamlaka

    Nape kwa asili ni mtu mwenye mizaha, tabia hii imemsaidia kwingi lakini pia imemuumiza katika mambo mengi. Sio mara ya kwanza kwa Nape kutoa kauli zenye utata kuhusu ushindi wa CCM dhidi ya Upinzani Tanzania. Mwaka 2015 aliwahi kutamka kuwa CCM itashinda hata kwa bao la mkono. Mwaka 2020 katika...
  3. B

    LGE2024 Ofisi ya Taifa ya Takwimu: Watanzania wasipotoshwe, walioandikishwa daftari la Mkaazi uchaguzi wa Serikali za Mitaa wote wana sifa

    https://m.youtube.com/watch?v=y9oF0mu09zQ Mtakwimu mkuu wa serikali atetea takwimu zilizotolewa na TAMISEMI kuhusu waliojitokeza kujiandikisha katika daftari la mkaazi, lililo maalum kwa ajili ya kuweza kupiga kura November 27, 2024 katika uchaguzi wa viongozi wa mitaa, vijiji na vitongoji...
  4. Dunia duara ukibisha muulize Nape na January Makamba

    Yu wapi Nape na January?! Hawasikiki tena. Walijiona na kuhisi rasmi Dunia ni yao baada ya kifo cha JPM na wao kurejeshwa ndani ya mfumo. Kiko wapi hatimaye! Leo hii Makonda anakula kuku kwa mrija huku Nape na January wakiendelea kujificha walipo. Dunia tambala bovu, tuwe na kiasi.
  5. Yuko wapi Nape Nauye?

    Wakuu Toka Rais wetu Kipenzi Daktari Samia Suluhu afanye mabadiliko madogo kwenye baraza lake la mawaziri na kuamua kumpumzisha Ndugu Nape Nauye,hatujamuona wala kumsikia hadharani mwanasiasa huyo machachari. Je Nape atakua yuko mapumzikoni wapi?
  6. T

    Kauli ya Nape imenisononesha hata kama ni utani

    Mimi ni mwanachama wa chama cha Mapinduzi CCM kindakindaki lakini ninaamini katika demokrasia, uchaguzi huru na wa haki katika kuijenga nchi na umoja wa kitaifa. Nimesikitishwa na kauli ya Waziri Nape kuwa matokeo yana tegemea anayehesabu na kutangaza matokeo ya kupiga kura na uchaguzi na siyo...
  7. L

    Pre GE2025 Mchungaji Msigwa umemsikia Nape Nauye?

    Hakika Msigwa, naamini unafuatilia mitandao ya kijamii ili kujua mambo yanavyoendelea duniani. Nimeona na kusikia Nape akielezea mambo yanayofanywa na chama chako pendwa, CCM. Najua kwamba Roho wa Mungu bado haujatoka kabisa moyoni mwako, huenda bado masalia ya hofu ya Mungu yapo. Swali langu...
  8. L

    Tazama picha hii kwa umakini halafu useme waziri Nape amemaanisha nini?

    Ndugu zangu Watanzania, Katika ukurasa wake wa Mtandao wa X, waziri wa habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Nape Moses Nnauye ameweka picha hii. Sasa ningependa kuwauliza wana jukwaa mnafikiri Mheshimiwa waziri alitaka kutoa ujumbe gani na ujumbe huo unamhusu na kumlenga nani...
  9. Tovuti za Maudhui ya Ngono kufunguliwa baada ya kuzuiwa kwa muda mrefu ni kete ya kisiasa kuelekea Uchaguzi 2025?

    Wadau site za porn zimefunguliwa tena baada ya muda mrefu kufungiwa. Hii ni move ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu au tatizo ni nini. Kimaadili naonaa lilikuwa jambo zuri kuzifungua, najua watu walikua wana-access kupitia vpn lakini angalau kwa kiasi kikubwa ilisaidia watoto wetu kutozifikia...
  10. Nape Nnauye aliyekuambia kuwa wanaoshinda Mitandaoni 24/7 hawachangii katika kuiletea nchi Maendeleo kama uliyoyaona huko Korea ni nani?

    Hivi kwanini mkipata Madaraka na mnapokuwa mbele ya Camera huwa mnakuwa Majuha ( Fools ) sana na Kuboa hivi? === Alichokisema Nape Nnaye: “Lazima tujenge culture [utamaduni] ya kufanya kazi. Hii culture ya watu wanashinda mtandaoni masaa 24, halafu baada ya pale mfukoni hamna kitu, hii culture...
  11. Pre GE2025 Maigizo Bungeni: Waziri Nape na viongozi wengine wakaribishwa Bungeni na Roboti Eunice

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amekaribiishwa na roboti Eunice wakati akiingia bungeni leo Mei 16, 2024 ambapo uwasilishaji wa bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2024 / 2025, unafanyika. Roboti hilo lililokuwa katika lango ya kuingia ukumbi wa Bunge na...
  12. L

    Nape Nnauye: Hatukuwakatalia Starlink kufanya kazi Nchini, walikwama wenyewe

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Nape Nnauye waziri wa Habari ,Mawasiliano na teknolojia ya habari amesema ya kuwa serikali haikuwakatalia Starlink kufanya kazi Nchini bali walikwama wenyewe kutimiza mashariti yaliyohitajika kukamilishwanl ili kupewa lesseni. Kauli hii imekuja kutokana na...
  13. U

    Video: Tundu Lissu atoa ufafanuzi wa hoja aliyoitoa Babati Aprili 26, 2024 kumjibu Fatma Karume kuhusu 'Ubaguzi na Muungano wetu'

    Tazama na sikiliza kwa makini mwanzo mwisho video clip hii fupi ya dakika 16 Tundu Lissu akijibu hoja ya ubaguzi na matundu ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar (1964) kwa kutumia katiba mbili za JMT (1977) na ile ya Zanzibar (1984) akihutubia maelfu ya wananchi Dodoma jana tarehe 29/4/2024...
  14. B

    Baada ya Nape Nnauye, Makatibu Uenezi wa CCM Taifa waliofata walipwaya sana

    Hii ndio sababu ya Chama cha Mapinduzi ccm kutapatapa. Kiukweli ni kuwa ccm haina tena kitu cha kuwadanganya wananchi cha kusema inaeneza. Siasa za hadaa na ahadi za uongo zimekuwa ni zile zile kwa miongo kadhaa. Baada ya Nape Nauye na sera yake ya kujivua gamba ambayo kiasi fulani ilileta...
  15. U

    Uhaba wa umeme nchini: Kwanini serikali ya CCM chini ya Marais wao watatu Kikwete, Magufuli na Samia imeshindwa kupata Suluhu ya kudumu?

    1. Tatizo lilianza seriously wakati wa utawala wa Jakaya Kikwete (2005 - 2015). Alijaribu kulitatua lakini serikali yake haikuwa na nia ya kutatua bali viongozi wa serikali kutumia tatizo hilo kufanya ufisadi ili kuiba pesa ya umma tu. Rejea kashfa ya Richmond. 2. Tatizo hili limedumu kwa...
  16. B

    TRA na Waziri mwenye dhamana "Nape Nnauye" hivi hizi kampuni za simu zimeizidi nguvu Serikali au

    Tumeongea mara nyingi ssna juu ya wizi wa KAMPUNI hizi za SIMU kwa wateja wao lakini ni km mnapuuza. Ebu fikiria KAMPUNI inakuunga kwenye huduma ambayo haujaomba wala huijui, unatumiwa tu ujumbe kuwa umeungwa na maelezo kibao. Je huu siyo wizi. Kwanini tunahangaika na vibaka tunaacha hawa watu...
  17. Ujumbe wangu kwa Waziri Nape Nnauye

    Ujumbe wangu kwako ni mfupi sana. Ukiwa waziri wa habari na mawasiliano awamu ya sita naona umeruhusu kwa makusudi viongozi wa dini watukanwe na kudhalilishwa. Kama haitoshi unabinya kwa makusudi taarifa zao kwenda kwa watanzania. Kinachoendelea mitandaoni nashindwa kuelewa weledi wako. Basi...
  18. Nape hafai kuwa Waziri wa Habari, kule X/Twitter hataki kukosolewa

    Nape hana sifa kabisa za kuwa waziri wa Habari ni basi tu Taifa limejaaa kubebena tu, Nape ni mtu asio taka kukusolewa kabisa kwa aina yoyote ile, Huyu ni waziri w a habari wa Tanzania. Yaani kule X ni bora hata umkosoe Raisi ila sio Nape ambaye ni waziri wa Habari yeye hana uvumilivu kilinapo...
  19. D

    40 ya Membe yamvuruga Waziri Nape Nauye

    KWELI siasa ni mchezo wa ajabu. Tarehe 27/8/2023 kutafanyika maadhimisho ya kifo Cha utata wa Bernard Membe kijijini kwake Rondo-Chiponda mkoani Lindi. Waandalizi wa tukio hilo kutoka Dar es salaam wameamua kufanya hilo tukio la kishindo ambapo watu wapatao 1290 wanategemewa kuelekea Lindi...
  20. U

    Mkataba wa Bandari: Propaganda na upotoshaji wa kauli ya Freeman Mbowe uliofanywa na Nape Nnauye bungeni wachambuliwa

    Ni Ansbert Ngurumo akichambua hatua kwa hatua kilicho nyuma ya mkataba wa uuzwaji/ukodishaji/ubinafsishaji wa bandari za Tanganyika ukiziacha za Zanzibar huku suala la bandari likiwa ni la muungano. Kwa kuunganisha na hilo, katika mjadala huo bungeni tarehe 9 na 10/6/2023 aliyetia fora kuliko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…