Nape Moses Nnauye is a Tanzanian politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Member of Parliament and for Mtama constituency since November 2015.
He was elected as a Member of Parliament for Mtama constituency in the October 2015 general election and was thereafter appointed by President John Magufuli as the Minister of Information, Culture, Artists and Sports in December 2015. He was relieved of his duty in a mini cabinet reshuffle by the president on 23 March 2017 and was replaced by Harrison Mwakyembe.
Video clip hii inawakilisha silent sympathisers wa Tundu Lissu tuliomo ndani ya CCM. Tupo wengi tu.
Kwenye clip hii Nape Nnauye anaonyesha kuguswa, kusikitishwa na kuwa na hofu kubwa sana baada ya Tundu Lissu kumiminiwa risasi kadhaa. Ni wana CCM wengi tuliguswa na tukio lile ambalo lilituachia...
Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa unaofanyika kwa siku mbili kuanzia leo Jumamosi, Julai 11, 2020 jijini Dodoma, Wajumbe 1,846 wanatarajiwa kushiriki. Mkutano huo unongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli...
Mbunge wa Mtama Nape Nnauye amefika Ikulu jijini Dar Es Salaam kwa ajili ya kuomba msamaha. Ameomba msamaha na kusamehewa kosa aliliofanya miezi michache iliyopita.
Akizungumza akiwa nje ya Ikulu baada ya kuzungumza na Rais Magufuli, Nape Nnauye amesema "Kwanza nimekuja kumuona baba yangu...
Huyu ni diwani pekee mwanamke kuongoza kata kwa kuchaguliwa kwa kura 5789 mwaka 2010 tangu wilaya ya chunya ianzishwe mwaka 1941, awali alihudumu kama boharia wa duka la ujamaa la pembejeo yaani MBECU na baadae alikuwa karani wa kampuni ya tumbaku TLTC mpaka mwaka 2000 alipojitosa kwenye medali...
Ni aibu kwa taaluma nzima ya usalama,kwa mwanausalama kumvamia kiongozi bila ya kujitambulisha na kuonyesha kitambulisho na kuanza kumtisha kwa bastola ili atii amri yako.
Nakushauri kamanda Sirro umrudishe uyu kijana akasome vizuri sheria za usalama kuliko kulitia aibu jeshi la polisi.
Haapa...
Katika kauli za Mawaziri, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye, ametangaza kwamba, Kuanzia tarehe 26 Januari mwaka 2016, TBC1 haitaonesha tena Mikutano ya bunge live kutokana na gharama za kuonesha live kufikia bilioni nne kwa mwaka.
Badala yake TBC1 watarekodi na...
Kumekuwepo na habari ambayo inavumishwa katika mitandao ya kijamii hasa hapa Jamiiforums kuhusu Elimu ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikati na Uenezi, Ndugu Nape Moses Nnauye. Taarifa hiyo kwa kiasi kikubwa inapotosha na kueleza yale ambayo si sahihi kuhusiana na CV ya Kiongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.