nape nnauye

Nape Nnauye
Nape Moses Nnauye is a Tanzanian politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Member of Parliament and for Mtama constituency since November 2015.

He was elected as a Member of Parliament for Mtama constituency in the October 2015 general election and was thereafter appointed by President John Magufuli as the Minister of Information, Culture, Artists and Sports in December 2015. He was relieved of his duty in a mini cabinet reshuffle by the president on 23 March 2017 and was replaced by Harrison Mwakyembe.

  1. Ni dhahiri sasa kuwa Rais Samia ametambua kundi la akina Nape sio jema. Shujaa wa Afrika alikuwa sahihi kuwakataa

    Hypocrites politicians PIA SOMA - Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia - Kuelekea 2025 - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
  2. J

    Waziri Jerry Silaa akabidhiwa Ofisi Wizara ya Habari na Katibu Mkuu wa Wizara, Bw. Mohammed Khamis Abdulla

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Tehama mh Jerry Silaa amekabidhiwa Ofisi ya Wizara yake mpya Jerry Silaa amekabidhiwa Ofisi na Maafisa Waandamizi wa Wizara ========= MAKABIDHIANO YA OFISI KWA JERRY SILAA Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb)...
  3. D

    Pre GE2025 Adhabu waliyopewa Nape Nnauye na January Makamba ni ndogo mno!

    Shalom. Makada wa CCM Nape Nnauye na January Makamba wamefurushwa kutoka nafasi zao za Uwaziri. Kwamba sasa ni Wabunge tu wa Mtama (Lindi) na Bumbuli (Tanga). Si mara ya kwanza kwa vijana hawa kusukumwa nje ya Baraza la Mawaziri ndani ya kipindi kifupi. Waliondolewa na Magufuli kwa kile...
  4. Dereva wa Nape Nnauye apewe tuzo ya Uzalendo

    Ujasiri aliyo onesha ni wakupigiwa mfano. Lile Gari ni kwaajili ya Waziri na si vinginevyo hivyo baada ya utumbuzi ilitakiwa alikimbize parking sio kubeba mtu ambaye hana cheo chochote wizarani. Kuna watu unaweza kuwapa lifti ukaishia kukabwa na kuibiwa maana wana uzoefu wa wizi na utapeli.
  5. Mambo aliyoshindwa Nape wakati wa Uwaziri wake

    Huku kitaa nakutana na mambo mengi sana watu wanayoshangilie kutumbuliwa kwa Nape. Raia wanataja mambo machache nami nayaweka hapa, ukikumbuka yaweke pia ili Waziri alie ingia ashughulike nayo. 1. Anwani za makazi, walizindua kwa mbwembwe na wakatuahidi sasa itakuwa rahisi kuletewa mzigo na...
  6. F

    Nape effect: Kosa la Nape ni kuzungumza ukweli kuhusu chaguzi za Tanzania. Hajawakosea wananchi, amewakosea wenye mamlaka

    Nape kwa asili ni mtu mwenye mizaha, tabia hii imemsaidia kwingi lakini pia imemuumiza katika mambo mengi. Sio mara ya kwanza kwa Nape kutoa kauli zenye utata kuhusu ushindi wa CCM dhidi ya Upinzani Tanzania. Mwaka 2015 aliwahi kutamka kuwa CCM itashinda hata kwa bao la mkono. Mwaka 2020 katika...
  7. Nape na January Makamba mpaka sasa sijaona shukrani zenu kwa rais Samia kwa kuwapa dhamana mlizokuwa nazo, je ni nongwa ya kutumbuliwa?

    Kawaida ninavyofahamu mimi mamlaka ya uteuzi ina weza teua na kutengua bila kuhojiwa, nilitegemea vijana hawa kwa maana ya January Makamba, Nape Nnauye na Byabato wamshukuru Rais Samia kwa dhamana walizotumikia, lakini naona kimya. Je, hawaamini kama cheo ni dhamana?
  8. Z

    Nilipendekeza kuwa Nape anafiti sana kwenye nafasi ya Uenezi

    Nilishauri wakati alipotenguliwa Makonda kuwa nafasi hiyo inamfaa sana Nape. Bado nashauri tena baada ya kuondolewa kwenye Uwaziri, Nape anafiti sana kwenye nafasi ya Katibu Muenezi. 1. Ana uzoefu 2. Ana vibe Nashauri arudishwe kwenye nafasi yake. Pia soma=> Uteuzi na Utenguzi: Nape, January...
  9. Pre GE2025 Kumekucha CCM: Nape na Makamba 'waula', walitumbuliwa ili kutambuliwa

    Haya ndiyo mambo ya kutumbuliwa ili kutambuliwa. Mawaziri wa zamani Nape Nnauye na January Makamba wamejumuishwa kwenye Kikosi Maalum cha CCM kinachoandaa Ilani ya CCM ya mwaka 2025 hadi 2030. Kikosi hicho kinaongozwa na komredi Stephen Wassira. Nyaraka za kichama zinaonesha kuwa Nape na...
  10. Maoni yangu kuhusu Makonda, Nape na January Makamba

    Mimi katika kazi zangu hata ya kizibua vyoo, Makonda ana mapungufu yake tena sana ila ni kiongozi safi sana na mimi natabiri atakuja kuwa mkubwa sana. Nape hata kama ningekuwa Rais angenisaidia kufuta vumbi. Fanya chochote nipo upande wa Jemedari.
  11. R

    Mzee Yusuph Makamba: Nampongeza Rais Samia kwa mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, asema isiwe mshangao wakirudishwa

    Salaam Shalom!! Mzee wetu ameibuka na Kutoa Pongezi kedekede Kwa Mh Rais Samia Suluhu Hassan Kwa uamuzi mzuri aliofanya kuwabadili baadhi ya mawaziri, mtoto wake akiwemo. Amemfananisha Rais na Coach jinsi anavyobadili kikosi, Nia ni ushindi. Ameenda mbali na kuwapongeza waliotumbuliwa akidai...
  12. S

    Pre GE2025 Kama Nape na Makamba wamewekwa kando, si Mwigulu, Biteko, Tulia, Mwinyi, Makonda wala Majaliwa watamrithi kiti Rais Samia

    Wanabodi, Baada ya team moja ya wasaka Urais iliyotumia muda mwingi kujiandaa kuangushwa ni dhahiri kabisa team hii haitakaa kimya kwani hata hivyo team hii pia kama zilivyo team zingine inamtandao mpana ndani na nje ya Tanzania naamini tunaufahamu. Kitendo Cha team hii kuangushwa wataamini...
  13. S

    Pre GE2025 Kumbe Nape na Makamba ni trailer tu, lengo hasa ni waleee!

    Ili umpe kipigo cha mbwa koko mtoto wa kambo pasipo lawama, basi anza kwa kumfinya mwanao wa kumzaa. Anapoanza kulia mtoto pendwa ndipo unanza kushusha kipondo cha kuvunja mikono kwa mtoto wa kambo. Majirani wanaotazama kinachoendelea watajua unagawa adhabu kwa wote bila upendeleo, lkn kumbe...
  14. S

    Watanzania mjifunze, ni suala la muda tu baadhi ya hawa waliotemwa uwaziri watarudishwa

    Watanzania sijui ni lini mtajifunza na kuelewa hizi sanaa za CCM. Acheni kushangilia Nape na wenzake kutemwa uwaziri kwani baada ya muda wanaweza tena kurudishwa kwenye Baraza la Mawaziri. Mimi naona wameshaongea na kukubaliana wafanye hiki na kile halafu baada ya muda(baada ya uchaguzi)...
  15. Picha: Wenye CCM waliomdhihaki na kumkebehi shujaa wa Afrika Hayati Magufuli

  16. N

    Pre GE2025 Nape na makamba kurudi CCM kuchukua Nafasi za uenezi na ukatibu?

    Nape na makamba kurudi CCM kuchukua Nafasi za uenes na ukatibu. Baada ya Tenguzi katika nafasi zao za Uwaziri January Makamba na mwenzake Nape watapangiwa majukumu katika Chama kutokana na uzoefu wao katika kazi hasa nyakati za uchaguzi mkuu.
  17. Pre GE2025 TTCL, TCRA, Posta, UCSAF na PDPC watoa ujumbe wa kwaheri kwa Nape baada ya kutenguliwa

    Jumapili wakati Nappe akigawa Tuzo Mlimani City na mkewe akiwa kitandani anamsubiri arudi nyumbani, alitenguliwa na hakuna sababu zilizotolewa na Rais kwa utenguzi huo. Mashirika aliyofanya Nape akiwa kama waziri yametoa pongezi na kujifanya wanajua sababu wakati rais pekee ndiyo anajua sababu...
  18. M

    Safi sana Rais Samia. Hata kama ni kijana wangu unapoharibu nitakuweka pembeni

    Historia inaeleza jinsi Makamba alipokuwa ofisi ya Makamu wa Rais chini ya Mama miaka hiyo kwamba alikuwa kati ya vijana waliokuwa wanaaminika sana na ndio maana baada ya Mama kuwa Rais ameendelea kumuamini. Pia Nape Nnauye Mama alimkumbuka na kumuamini hadi kumrudisha kwenye baraza la Mawaziri...
  19. P

    Alipanda mpaka mnara lakini wapi! Unafikiri anaandaliwa kwa cheo kingine au ndiyo imetoka hiyo?

    Nyuki wa mama tulieni na mapovu yenu kidogo, nimekuja kuwakumbusha tu katika one and wtp za viongozi kipindi hiki ambacho tunaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu 2025. Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Wanasema eti kapanda na kushuka :KEKLaugh...
  20. Nimeamini CCM itaendelea kutawala hii nchi mpaka itakapoamua kupumzika

    Mambo mawili niliyo amini baada ya taarifa ya utumbuzi wa Nape Nnauye na wengine ni 1. CCM itaendelea kuitawala hii nchi miaka tele ijayo. 2. Yanga itaendelea kutawala soka la hii nchi Kwanini? Watu wamesahau kuwa uteuzi na utenguzi ni maigizo ya CCM miongo na miongo, Nape huyu na January...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…