Video clip hii inawakilisha silent sympathisers wa Tundu Lissu tuliomo ndani ya CCM. Tupo wengi tu.
Kwenye clip hii Nape Nnauye anaonyesha kuguswa, kusikitishwa na kuwa na hofu kubwa sana baada ya Tundu Lissu kumiminiwa risasi kadhaa. Ni wana CCM wengi tuliguswa na tukio lile ambalo lilituachia...
Nape Nnauye yuko msibani na anaongelea uhusiano wake na Mkapa, amesema alianzia U-DC wilaya ya Masasi, nyumbani kwa Mkapa na alimpika vizuri sana kisiasa na utendaji.
Aliingia kamati kuu 2002 Mkapa akiwa mwenyekiti na kusema alikuwa na misimamo katika kuongoza vikao vya chama.
Mwisho anasema...
Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa unaofanyika kwa siku mbili kuanzia leo Jumamosi, Julai 11, 2020 jijini Dodoma, Wajumbe 1,846 wanatarajiwa kushiriki. Mkutano huo unongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu naomba mtumie fursa hii kutufahamisha makada waliotia nia haya majimbo
1. LINDI MJINI
2.MTWARA MJINI.
Hili jimbo nasikia ndo linagombaniwa sana na makada weng kutoka chama tawala, nasikia hadi DED wa Newala kaomba kuachia ngazi...
Wassalam wana-JF,
Mwezi Machi mwaka 2019, waziri Mkuu wa JMT Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa alizindua kikubwa na inawezekana cha pekee Mkoani Lindi maeneo ya Mbalala jimboni Mtama kinachojulikana kwa jina la CASSAVA STARCH OF TANZANIA CORPORATION. Kiwanda ambacho kinajishughulisha na uzalishaji...
Salam Salam!.
Kitendo cha Nape kwenda kumpigia magoti rais Magufuli, kilichukuliwa kama bahati mbaya lkn hivi karibuni tumeona na kusikia bwana Nape akimsaliti rasmi Mh Membe kwa kitendo chake cha kuwaomba wanaccm wampitishe Magufuli tena hata bila kufuata kanuni na taratibu za chama na nchi...
Hawa nyakati kama hizi mnamo mwaka 2015 walikuwa watu mashuhuri sana kwenye siasa za kuelekea uchaguzi hapa nchini.
Lakini kwa sasa wamekuwa kimya mno kama vile wameshastaafu siasa na huyu Sadifa aka pushapu ya mkono mmoja ndio kabisa hajulikani yuko wapi maana hata jimbo lake pale Unguja ni...
Leo nataka nishereheshe moja ya hoja ya Mh. Nape Nnauye Bungeni aliyoitoa tarehe 10 February 2018 ikiungwa mkono na wabunge Mh Msigwa na Mh Zitto Kabwe ya kupendekeza mabadiliko ya mfumo wa Usalama wa Taifa nchini Tanzania. Nape alitoa hoja hii wiki moja baada ya mimi na yeye kukutana pale...
Ukiangalia kwa jicho la tatu kuna uwezekano mkubwa hao niliowataja hapo juu wasirudi bungeni baada ya uchaguzi mkuu ujao kutokana na majeraha makubwa ya kisiasa waliyonayo.
Wote kwa nyakati tofauti wamedai madhila yaliyowakuta yametokana na siasa chafu wanazotendewa ndani ya CCM.
Ndio...
Tunakumbushana tu ukubwa wa CCM maana vijana wa siku hizi wengi ni wasahaulifu.
Unapoteuliwa kuwatumikia wananchi basi uwe mzalendo wa kweli na utoe utumishi badala ya kutumia muda mwingi kujipigia promo na kuchafua watu wengine kana kwamba wewe ndio CCM peke yako.
Hebu muangaliwe...
Chama cha Mapindizi CCM kimeridhia kwa kauli moja kuwasamehe Nape, January Makamba na Ngeleje hata hivyo wamepewa onyo kali wasirudie tena kosa hilo.
Hata hivyo kimeagiza kwa kauli moja kuhojiwa kwa Makatibu wakuu wastaafu Kinana na Makamba pamoja na Waziri wa Zamani Ndugu Bernard Membe...
Baada ya Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye kusema yeye ni Mkazi wa Kijiji kinachoonekana kuwa na maji machafu na Wakazi wa kijiji hicho kutumia maji hayo kwa shughuli zao, na Mbunge huyo kusema tatizo hilo lapo hivyo. Mdau kaja na hoja za kumuhoji kuwa anakaa wapi?
Mdau anadai siku zote tangu...
Waziri wa zamani na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM) ameishangaa Serikali kuweka nguvu nyingi kwenye mradi wa umeme wa Stigler’s George ambao haupo kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015 na kuachana na umeme wa gesi ambao waliunadi wakati wa kampeni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.