Nimewaza sana maneno ya Nape leo ya kumshambulia Lissu kuwa amemtukana Rais Samia.
Yes , ni kweli ametumia maneno mabaya sana kwa Rais , lakini of all people Nape huwezi kusimama kukemea tabia za kutukana watu.
Wewe ulimtukana Edward Lowassa kuwa ni Oil Chafu, mara mgonjwa, wewe huyu huyu...