Nimetembea sehemu mbalimbali Tanzania, hasa katika Nchii hii ambayo ni huru, Maeneo Mengi nchi hii mtandao bado ni shida.
Ila Cha ajabu Kuna route moja imenishangangaza katika njia zetu kuu zote za Barabara , nimeshangaa napata network Barabara nzima Kwa umbali mkubwa sana jambo ambalo si...
Wajumbe, hali ya siasa kwa Mbunge wa Mtama Nape Moses Nnauye inazidi kuwa mbaya kuelekea 2025 baada ya Wazee wa kabila la Wamwera kuafikiana kuwa kijana huyo hawezi tena kuwa chaguo lao na badala yake wanahitaji mtu kutoka katika familia ya Hayati Bernard Membe kama hatua ya kumuenzi...
Waziri Nape ameyasema hayo katika Kongamano la Jukwaa la Fikra kuhusu mabadiliko ya digitali leo tar 20 jijini Dar, akisema kuwa inauma kusikia mifumo ya Tanzania bado haiwezi kusomana.
Ametolea mfano kipindi alipoenda Hospitali ya Benjamin Mkapa na kufanya kipimo cha MRI ya mguu wake halafu...
Wana wema!
Siasa za Lindi Jimbo la Mtama zimeanza kushika kasi ambapo harakati za kumtaka mdogo wake Hayati Bernard Membe, Steve Membe anatajwa kutakiwa kumrithi kaka yake jimbo la Mtama kama hatua ya kumuenzi huyo Mwamba wa Kusini.
Jitihada hizo inadaiwa kufanywa vigogo wa chama huku majina...
Sitaki kutoa maelezo mengi maana kila mtu anaona kwa macho yake.
Makame Mbarawa alikataliwa na Magufuli leo hii anaingia mkataba na sehemu ya nchi huku nchi husika ikiwa haina taarifa.
January ndio hafai kabisa maana Wizara ya Nishati ndio chaka lake la kuibia Watanzania. Rejea Mkataba wa...
Bila kujali Mkataba husika unasema nini kuhusu kulinda ajira za wazawa, lakini maadam tunaenda kuwakabidhi wageni watuendeshee bandari yetu, basi hilo nililolisema ipo siku mnaweza kulishuhudia kwa watoto ama wajukuu zenu au kwa watoto na wajukuu wa ndugu na jamaa zenu wakati huo nyie mkiwa ni...
Mdude Chadema: Yani mkodishe bandari kwa makataba wa milele halafu mtutishe na juu? Jaribu uone Nape. Utashugulikiwa na huyo SSH unayeamini ndio god-father wako hatakusaidia. Unamtisha nani wewe mwoga wa taifa? Sisi tutaendelea kupambana kuhakikisha bandari zetu zinarudi katika mikono salama.
Naombeni kujua kama aina hii ya watu ndiyo tunao wategemea kama taifa kufikiri kuhusiana na kesho yetu. Mtu ambaye ameshindwa kutatua changamoto ndogo ndogo za wananchi katika jimbo lake anawezaje kuwa na solution sahihi kwa taifa?
Mtu mwenye viashiria vya unafiki uliotukuka anawezaje...
Mjadala wa leo Bungeni ni mjadala muhimu sana kwa watanzania. Lengo mahsusi la mjadala wa leo ni wabumge kutoa elimu au kuwapa mwamga watanzania kuhusu malalamiko mengi ya wananchi kuhusu ubinafisishwaji wa bandari ya DSM
Mh Nape mda wake wote, mwanzo mwisho kautumia kumsifia Rais badala ya...
Nimeona kwenye mkeka wa wakurugenzi teuze Mpya na mabadiliko ya watendaji wa halmashauri jina hili la Geofrey Nauye ni mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya mji wa Newala sehemu ambayo alikuwepo Anko wangu katolewa kawekwa yeye
Swali langu Je huyu ni ndugu na Nape maana naona majina ya Kati na...
Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa habari Mkoa wa Shinyanga, Greyson Kakuru ameikumbusha Serikali ahadi ya ubora wa magari ya waandishi wa habari kwenye misafara ya viongozi baada ya mazoea ya kupewa magari yasiyo na ubora kuendelea.
Mwenyekiti wa Klabu ya waandishi wa Habari Mkoa wa...
=========
Today, we are commemorating the World Telecommunication and Information Society Day (WTISD) on 17th May 2023. This occasion provides us with a valuable opportunity to contemplate the pivotal role of information and communication technologies (ICTs) in driving social and economic...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema katika kitabu cha historia ya maisha ya Membe alichokiandika mwenyewe enzi za uhai wake huenda kuna sehemu kitawakwaza watu hivyo anaomba samahani kwa niaba ya marehemu.
Nape ameyasema hayo wakati akitoa salamu za...
SIKU ya mazishi ya HAYATI MAGUFULI, Membe, Kinana, Nape, Makamba Baba na Makamba mtoto hawakuonekana mazikoni nini kiliwasibu kutomzika Magufuli?
Maswali haya walijiuliza watanzania wengi kwamba Magufuli aliwakosea nini hadi washindwe kumzika?
Kama nitakuwa nimekosea kusema hawakuwepo kumbe...
"Nilipokosa ubunge wa jimbo la Ubungo, Mzee Membe akanifata na kuniambia tulia kijana wangu. Mwaka 2015 nitakuachia jimbo la Mtama mimi nitakuwa namaliza muda wangu.
Kutokana na ukaribu wa Mzee Membe na Rais Kikwete nikapewa Ukuu wa Wilaya ya Masasi ambapo ni karibu na jimbo la Mtama" - Mh...
Mbunge wa jimbo la mtama ndugu Nape Nnauye aliwahi kusema kuwa kifo cha rais Magufuli ni Mungu ndiye aliye amua ugomvi, swali langu kwake je, kifo cha Membe ni Mungu pia ameamua ugomvi dhidi ya ndugu Cyprian?
Fundisho: Tuchunge midomo yetu, tusiendeshwe na hisia zetu, tutumie akilizetu vyema ku...
WanaCCM walishageuza hili taifa kuwa la kisulutani.
Nape, Riziwani na January Makamba wamerithishwa madaraka. Hii iko wazi kabisa.
Mzee Lawi Sijaona Ngwanda ni mmoja wa waasisi wa taifa letu alipigiania uhuru wa taifa letu. Mbona hatusikii juu ya uzao wake kurithishwa madaraka.
N.b Nape hana...
Hivi huwa wanapimwa akili kweli? Hivi kuna mtu na akili timamu anaweza pita juu ya watu namna hii? Hii si ni busara ndogo kuelewa kuwa si sawa haijalishi wananchi wanasemaje.
Huwa nawaza sana hii nchi haiwezi endelea kwa aina hii ya watu ambao ni very.....Sijui. Ila inasikitisha sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.