nape

  1. Analogia Malenga

    Nape: Muda mnaotumia kulalamika kuhusu bei za bando mngefanya shughuli nyingine

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema kuna watu wanamkosoa kuhusu gharama za bando mtandaoni naye anawajibu kuwa muda huo wangeutumia kufanya kazi nyingine wasingelalama kuhusu bando. Kauli hii ya waziri, imeenda kinyume na sera ya TEHAMA 2016 inayotaka...
  2. Analogia Malenga

    Nape asikitishwa na maslahi duni ya wanahabari

    Waziri Nape amesema msiba wa Joachim Kapembe aliyefariki akishuka Mlima Kilimanjaro umemfanya afikirie kuhusu maisha ya familia ya muandishi huyo. Akiwa katika Kongamano la maendeleo ya sekta ya habari amesema mwaka 2023 serikali itaweka nguvu nyingi katika kuboresha maslahi ya waandishi wa...
  3. Analogia Malenga

    Nape: Tutaongea na Guinness watuweke kwenye rekodi ya dunia kwa kuweka mawasiliano Uhuru Peak

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Tanzania imekuwa ni nchi ya kwanza kuweka mtandao katika kilele cha mlima mrefu. Rekodi hiyo imekwa baada ya serikali kuweka mtandao katika kilele cha mlima Kilimanjaro ambalo limeifanya Tanzania kuwa nchi ya kwanza...
  4. saidoo25

    Leonard Mahenda Qwihaya ni nani hasa kwenye Chama cha Mapinduzi?

    Mshindi wa kwanza wa Kura za Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Ndg. Leonard Mahenda Qwihaya aliyepata kura 845 ni nani hasa kwenye Chama cha Mapinduzi? Mwenye historia yake atusaidie nasi tusiomfahamu tumfahamu.
  5. The Boss

    Mchengerwa na Nape mko serious kuhusu mpira wa miguu nchini?

    Nimemsikia Nape anasema serikali inataka kuandaa Afcon... Baadae nikamsikia Mchengerwa anasema tunaenda kombe la Dunia mwaka 2030...swali la kuwauliza hawa ndugu zetu wako serious?... Kama wako serious mbona hatuoni hata hatua za mwanzo za maandalizi?.. Hatua ya Kwanza ilikuwa kuunda...
  6. AbuuMaryam

    Viongozi wa nchi huwa wanaangalia TBC 1 kweli?

    Yaani najiuliza na nauliza hivi Rais, Waziri Mkuu, Nape Nnauye, Msigwa Gerson huwa wanaangalia habari na mambo mengine TBC 1 kweli? Au na wao habari wanaangalia kupitia UTV ya Azam? Na mpira pia, hivi Mchengerwa na Nape Nnauye wanaangalia Kombe la Dunia kupitia hii TBC 1 pia? And they are...
  7. JF Member

    Ukitaka kujua Rushwa inafanyaje kazi, angalia Nape na Makamba wanavyochaguliwa huko Dodoma

    Licha ya Nape kushindwa kabisa kwenye bando na anwani za makazi, na January kufeli kabisa kwenye umeme, uashangaa wanavyoenda kuchaguliwa huko kamati kuu! Rushwa ni mbaya ila inawaneemesha hawa vijana.
  8. Mkongwe Mzoefu

    Uchaguzi ndani ya CCM: Je, January na Nape watakatiza mbele ya Wajumbe wenye hasira?

    Hakika kuna za chini ya kapeti kuwa wajumbe wengi wanakasirishwa na utendaji na tabia za hawa vijana wa Samia wanaowania nafasi zile 15 za kapu ndani ya Halmashauri Kuu na wameahidi kuwafundisha adabu ya utumishi ni kuheshimu walio chini. Kuna habari pia kuwa Mama Mwenyekiti anawataka hao...
  9. GENTAMYCINE

    Waziri Nape na Vijana wa Lindi mtaendelea kudeki Barabara za Lindi hata Rais Samia akimaliza ziara yake huko?

    Mkimaliza Kuzideki hizo Barabara za Mkoa wa Lindi (hasa za hapo Mjini) kabla ya Ziara ya Rais Dk. Samia hakikisheni hamsahau pia na Kudeki Akili zenu ambazo yawezekana kutokana na Kuchafuka ndiyo zinastahili Kudekiwa zaidi ili zisafishike hata kuliko hizo Barabara. Kwa anayetaka kuona Waziri...
  10. BestOfMyKind

    Mwaka mmoja wa mzee Kinana madarakani, vijana wanagawana rushwa hadharani

    Mnakumbuka uchaguzi wa 2015 pale Dodoma kuna mtu alikamatwa na brifkesi la noti karibu na ukumbi wa CCM? Kipindi kile rushwa ilikuwa jambo la kawaida sana ndomana watu walikua na ujasiri ule, na juzi watu wamegawana rushwa kwenye chaguzi za ndani za CCM. Nyakati zote hizi mbili zina uhusiano...
  11. BestOfMyKind

    Suala la umeme Tanzania ni uzembe wa Serikali

    Wanyamwezi tuna usemi "if it ain't broke, don't fix it." Tulikua tunaenda vizuri tu, umeme ukikatika hauendi muda mrefu unakua umerudi. Lakini tukaona hapana, tupindue meza. Kalemani kaa pembeni ili aje January. Makamba tungeweza kumuweka hata wizara ya mambo ya nje, lakini wapiii? Kalemani...
  12. The Burning Spear

    Ndugu Nape Nnauye umeona kombe la dunia ndiyo kipaumbele kuliko matatizo mengine?

    Ewe bwana mdogo nape, nimeiona kauli Yako juu ya malalamiko ya watu juu ya uonyeshwaji wa kombe la dunia Sasa wakati tunalalamika na vifurushi Kwa Zaidi ya mwaka mzima hujatoka hadharani kukemea. Msitufanye kama watoto wadogo, kutupa makopo tuchezee huku mnapiga madili. Acheni kabisa hizo...
  13. Analogia Malenga

    Nape Nnauye: Sitegemei kukosea tena kuhusu Sheria ya Huduma ya Vyombo vya Habari

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema kwa awamu hii hatarajii kukosea tena kuhusu Media services act ambayo wadau wa habari wamekuwa wakiilalamikia tangu kuundwa kwake 2016. Nape amesema hayo alipokuwa akipokea mapendekezo ya wadau wa habari nchini katika...
  14. sifi leo

    Sifurahishwi na Matusi ya Nape, Kingwangalla na Humphrey Polepole kwa Dkt. Bashiru

    Mimi binafsi kama kijana wa kitanzania, ambaye utawala wa awamu ya Tano nusu unitoe roho Kwa presha pale nilipoenda TRA na kukutana na kikosi kazi kilichoundwa na Mh. Makamu wa Rais wa Sasa enzi hizo akiwa Waziri Wa fedha kwa kweli sifurahishwi na Matusi ya rejareja anayotukana Mh Waziri wa...
  15. BestOfMyKind

    Hivi unafahamu pesa ya Tanzania inachapishwa Ujerumani?

    Pesa, noti za Tanzania zina printiwa Ujerumani. Nchi mbili tu Afrika Mashariki ndo zinachapa fedha nchini mwao ( Kenya na Congo), pia ni nchi tisa tu kiujumla Afrika ndio zinachapa fedha zao ndani ya nchi zao. Chanzo: DW Nchi za afrika na chapa za fedha
  16. figganigga

    Nape Nnauye: Mwiba ulipoingilia ndipo unapotokea

    Maxence Melo na wenzio tembeeni kifua mbele Nchi inawaunga Mkono. Ni maneno yake Nape Waziri mwenye akili nyingi aliyoyaongea wakati wa Uzinduzi wa Jamiicheck ya Jamiiforums na Utangazaji wa Washindi wa Stories of change. Hongera sana kaka Nape kwa kusema kwamba rais Samia ni Muungwana.
  17. Replica

    Nape Nnauye: Tangu Rais Samia mnaona, hatusikii watu wanafinywa finywa

    Nape Nnauye: Tangu Rais Samia mnaona, hatusikii watu wanafinywa finywa, mambo yanakwenda. Wewe sema pumua ukalale. Halafu sisi tutapima, la maana tutabeba, linalotokana tu na hasira utakuwa umesema, umepumua, sisi tumekusikia maisha yanaendelea na tunatamani Nchi ya namna hiyo.
  18. Roving Journalist

    Waziri Nape kwenye Uzinduzi wa JamiiCheck ya Jamiiforums

    Makampuni mengi ya kitanzania hayana mfumo wa ku fact check, na hata yanayofanya hivyo hutumia kampuni za nje ambazo hata kiswahili chao siyo kizuri. Unaweza kukuta mtu kaandika Nape kaumwa wakati siyo kweli. Nafarijika kuona jambo hili limezinduliwa leo na ndiyo maana nipo hapa. Kama serikali...
  19. Analogia Malenga

    Nape: Mimi ni member wa Jamii Forums

    Waziri wa Mawasiliano ambaye ni mgeni rasmi wa kutoa zawadi za stories of change amesema yeye ni member wa Jamii Forums Amesema tofauti na wengine yeye ana ngozi ngumu ya kustahimili matusi. Na wakati mwingine huwa anayasoma kabla ya kulala. Possibly Nape anatumia ID ambayo haijulikani so...
  20. Mganguzi

    Nape Nnauye arudi kwenye uenezi CCM, Shaka bado anaendeleza ukurung'unzu wa Hamphrey Polepole

    Shaka amemezwa au haamini kwamba yeye kazi yake ni uenezi wa chama badala yake amegeuka kuwa msemaji wa Serikali. Anatumia muda mwingi kusifia sifia tu, sifa zikizidi unakuwa utoto na ni ukurung'unzu! Ni hatari kwa sababu Shaka unatakiwa kuionyesha Serikali matobo yanavuja, ili CCM iyafanyie...
Back
Top Bottom