Waziri Nape - Clouds TV
Trh 20. 08. 2022
Serikali ilifanya tathimini ya mwisho ya gharama za data mwaka 2018 ambayo ndiyo inatumika hadi sasa.
Tathimini hii ilionesha kuwa gharama ya kusafirisha unit ya data ipo kati ya tsh 2.09-9.35
Tathimini mpya kwa sasa inafanyika ambayo itaanza...
Kutoka ukurasa wa Twitter Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Mawasiliano Mh. Nape Nnauye amefafanua mafanikio ya serikali katika kushusha gharama za intaneti kwa watanzania. Kupitia ukurasa huo amesema "Kwa heshima ya wale waliouliza maswali ya Data kwa nia ya kuelewa na kujadiliana...
afafanua
bei
data
gharama
habari
imepungua
intaneti
internet
jitihada
kuhusu
madarakani
mafanikio
napenape nnauye
rais
rais samia
samia
serikali
waziri
Nape anashiba na kusaza awamu hii. Mama alishamtoa wasiwasi Nape na mawaziri wengine kwamba hatowatumbua hata wakikosea. Hivyo hawana hofu tena.
Nape anaulizwa kuhusu TOZO mpya za miamala ya kibenki anajibu kwa nyodo. Majibu yake yananuka shombo la ulevi wa madaraka.
Nchi hii jamani! Acha tu.
WAZIRI NAPE AHAMASISHA WANANCHI KUTOA USHIRIKIANO KWA MAKARANI WA SENSA
Na Mwandishi Wetu, WHMTH, DAR ES SALAAM
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye amewataka watanzania kutoa ushirikiano kwa makarani wa Sensa ya Watu na Makazi watakaopita kuchukua takwimu za...
Naamini kabisa kwenye Ile orodha ya Mawaziri mizigo ya Kinana na Waziri Nape yumo.
Waziri huyu bwana naona tu ni kama zawadi kapewa, hata yeye nazani anaona kabisa hawezi.
Mambo mawili yanayomshushia heshima na kama hatakuwa makini atatoka kabisa kwenye reli.
1. Vifurushi vya mawasiliano /...
Hakuna waziri anayevutia wawekezaji kupata faida kwenye biashara ya DATA kama Nape nnauye, kijana anapiga kazi aiseeee
Nimeamka nakuta kifurushi cha 1500 nilichokuwa naapata gb1 kwa sasa ni mb 850, hapo ukilalamika utasikia Nape anasema TCRA fatilia hao, utasikia mnalalamika nini wakati...
Nikiwa muumini wa Magufulification of Africa, watajwa hapo juu siwaamini kabisa, yaani nahisi kuwa hawapaswi kupewa wadhifa wowote kuanzia ngazi ya mtaa hadi taifa.
Kuna jambo nahisi limesababishwa na hawa Vigogo na naona linatuumiza mara 2014.
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Swali kwa faida ya watanzania 🙏
Mh Nape Moses Nnauye/ Serikali kuna jambo linanitatiza hapa nadhani utanisaidia .
Kuna hili zoezi la kuweka anuani za makazi Sasa na Wananchi wanachangishwa kwa viwango tofauti ili tuweze kupata anuani za makazi. Tena tumeambiwa...
Miaka si mingi iliyopita January Makamba alikuwa anasemwa ni smart na anafaa kuwa Rais. Siamini nani alimbadilisha akamleta huyu.
Nape pia kuna kipindi alikuwa shujaa sana. Sasa najiuliza ndo huyu huyu au alinafilishwa? Na wapiga debe walikuwepo humu wa ndani na nje ya chama.
Usimwamini...
Wakati Waziri Nape akikabidhi taarifa ya utendeji wakuweka anuani za makazi.
Najaribu kuwaza kwa ukubwa zaidi nini atakuwa amemwambia Waziri Mkuu juu ya alichokuwa akikifanya na utekelezaji wa shughuli nzima kwa kuthaminisha utumiaji mzuri wa rasilimali za serikali na ni tija gani...
Baada ya taarifa kusambaa kuwa bei ya umeme imepanda, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ameagiza wote waliozusha kuhutu taarifa hizo hatua zichukuliwe.
"Uenezaji wa taarifa za uongo kiasi hiki ni uchochezi wenye lengo la kujenga chuki dhidi ya TANESCO na...
Tulia Ackson: Spika wa Bunge, Tulia Ackson ameitaka Serikali kuanza kuchukua hatua wanaopotosha kwa kinachoendelea Ngorongoro zikiwemo taasisi, "Sisi wabunge tunafahamu na wananchi wanafahamu tuko kwenye vita ya kiuchumi, tusiwaache wakaendelea kutumika. Muanze na huyu aliyerekodi hiyo clip."...
The Minister of Information, Communication and Information Technology, Hon Nape Nnauye, has unleashed a stern warning against TCRA and Telecoms in Tanzania to stop sending texts to people without their prior consent.
Hon Nape made those remarks in Dodoma, calling TCRA and telecoms in Tanzania...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye ametaka makampuni ya mawasiliano nchini kuacha mara moja tabia ya kuendelea kutuma ujumbe ambao wateja hawajaomba na kueleza kuwa kwa kufanya hivyo ni kuwapotezea muda wateja wao.
Nape ametoa agizo hilo Mei 31, 2022 wakati...
WAZIRI NAPE ATOA MAELEKEZO KWA TCRA, MAKAMPUNI YA SIMU
Na Mwandishi wetu, DODOMA
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye ametoa maelekezo kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na makampuni ya simu kutatua kero na malalamiko ya wananchi kuhusu huduma za...
CCM ya Nape ilikataliwa na wananchi wananchi walitengeneza uasi mkubwa ndani ya nchi yao walichukizwa sana na uonevu wa wa viongozi
Hali hii imejirudia watu wananyanyasika watu wanateseka machinga wako kwenye Hali ngumu mfumko mkubwa wa bei kuwahi kutokea Tanzania hii Hali inatisha Sana...
Nape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo kifo cha Magufuli kina utata mwingi Sana na mashaka yanaongezeka pale watu walio na mipini wanapoamua kuleta kejeli na dharau kwa mwenyekiti wao msitaafu wa chama dharau...
Nape Moses Nnauye anamchukia Magufuli kwa sababu Magufuli alikuwa anamtaka Nape aishi maisha ya uhalisia aishi maisha ya kutokula rushwa atosheke na mshahara wake
Magufuli alijua kuwa Nape ni kijana mdogo akiishi kwa kufanywa vuvuzela ataharibikiwa hapo baadaye endapo wanaombeba wakipotea lkn...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.