Hata mimi kama Jabali la Siasa nakubaliana na Nape Nnauye kuwa Shaka Hamdu Shaka ni kiongozi mnyenyekevu sana.
Shaka ana uchungu na Chama chetu cha Mapinduzi kwelikweli.
Msikilize hapa Bwana Nape mpaka mwisho.
Mbunge wetu Kawe Nd Gwajima sasa anafanya kazi ya wananchi.
Kwa muda mrefu sana wananchi wa eneo la Mbezi Jogoo, nyuma ya viwanda vya COTEX, tume,uwa tukisumbuliwa na matapeli kwa miaka mingi.
Watu wako eneo hili toka miaka ya 70 au 80, mimi nipo hapo toka mwanzoni mwa miaka ya 90.
Eneo letu ni...
Hebu soma maagizo hayo hapo chini
Hello Gavanas naomba kupata taarifa kwa kila kijiji ambao tayari wameshafikishiwa Rangi za kuandika No za nyumba ktk mitaa yenu.
Kazi hii ya kuandika no inatakiwa kufanyika kwa siku 2 tu yani Leo Ijumaa hadi Jumapili saa sita usiku ndio mwisho.
Ushauri wangu...
Huyu mbunge angepata hii nafasi , angefanya makubwa.
Biashara mtandaoni zinazidi kufa , kwa sababu ya Bei ya bundle.
Vijana waliokuwa wakiingiza 24 Mil / month kwa kupitia online, hakuna hata mmoja
Waziri wa Habari Nape Nnauye akiwasilisha Makadirio ya Bajeti ya Mapato na Matumizi 2022/23
Laini za simu
Aprili, 2021 - laini 52,965,816
Aprili, 2022 - Laini 55,365,239
Sawa na ongezeko la 4.5%
Watumiaji wa intaneti
Aprili, 2021 – Watu Milioni 29.1
Aprili, 2022 – Watu Milioni 29.9
Wawa na...
"Tulifungia vyombo vya habari, tumevifungulia bila masharti, je hawamuelewi mama? Wafanyakazi wa Umma walikaa miaka mingapi bila kupandishiwa mshahara? Mama juzi kasema jambo lenu lipo, halafu anakuja mtu anasema mtaani watu hawamwelewi mama?"
~Nape Nnauye
----
Waziri wa Habari, Mawasiliano...
Najaribu kufuatilia mijadara mingi sana ya Nape hasa kwenye mitandao.
Binafsi Nashindwa kumuelewa huyu kijana. Najiuliza maswali mengi sana.
1. Hajabarehe? Hajakua?
2. Anahati miliki na hii nchi?
Makuzi na malezi ya huyu kijana yananipa wasiwasi. Hajawahi kuwa na heshima hata siku Moja...
Nliwahi waambia watu flani Nape wala Makamba hawajawahi kuwa smart. Ila waliokuwa wanadhani hao watu ni smart wao ndo hawakuwa smart.
Ilishangaza sana kuna watu kabisa wakaanza na kumpigia debe Makamba kuwa Rais....nikaona hii nchi mnadhani sisi sote ni MAZUZU so mnataka tuishi kwa akili zenu...
Baada ya malalamiko mitandaoni kuwa kampuni za mawasiliano ya simu Nchini Tanzania zimefanya mabadiliko ya kushusha vifurushi vya huduma za intaneti (mb's) pasipo kutoa taarifa kwa wateja wao, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema inafuatilia.
TCRA imesema: “Tumeona malalamiko kutoka...
HOTUBA YA WAZIRI WA HABARI, MAWASILIANO NA TEKINOLOJIA YA HABARI MHE. NAPE NNAUYE (MB) AKIFUNGUA MAONYESHO YA MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI NAYOFANYIKA JIJINI ARUSHA TAREHE 2 MEI, 2022
Mhe Said Mtanda, Mkuu wa Wilaya ya Arusha na mwakilishi wa Mkuu wa mkoa wa Arusha...
Wakuu kuuliza Sio Ujinga
.
Niliwahi sikia kupitia Kwa Waziri Mmoja akijinasibu Kwamba local Channel Zote za Tz zimerudishwa kwenye Decoder ya DStv.
.
Na Hata Kama Kifurushi chako kikiisha zile local channels zinaendelea kuonekana.
.
Lakini Cha ajabu kifurushi chako Cha DStv kikiisha na kama...
Waziri Nape, kuna dosari kwenye zoezi la anuani za Mitaa. Ipo mitaa inandikwa kwa jina la Kiswahili na mingine inaandikwa kwa lugha ya Kiingereza.
Unakute vibao viwili vinavyotumia mlingoti mmoja, kimoja kimeandika Mtaa wa MTAA WA MARKET, na kibao kingine kwenye mlingoti huo huo kimeandikwa...
Huenda mimi ndio sielewi basi nielimishwe, lakini kwa upeo wangu mdogo ninavyojua mimi hizo channel ITV, eatv, clouds na channel ten ni FTA channels sasa inakuwaje kifurushi cha Dstv kikiishia wanakuachia Tbc peke yake?
Mimi nina king'amuzi pia cha Star times hawa air time ikikuishia free...
Kama anajua fika kuwa ni utaratibu wa kawaida CAG akiibua hoja basi lazima PAC na LAAC wazipitie na kuhakiki kama kuna ubadhirifu basi wao ndio watatoa majumuisho. Lakini amekomaa kumchafua hayati JPM kwa nini?
Huyu kiongozi wa Act Wazalendo anatumika na wanaCCM kwa manufaa ya gani kumchafua...
Wananchi wa kila kada wamepiga kelele na kushauri mkuu wa nchi amfute kazi January Makamba maana tangu aingie Wizara ya Nishati kila kitu kimeenda mrama. Bwawa la Nyerere ambalo kama lingekamilika Juni 2022 lingekuwa msaada mkubwa kwa Watanzania na kuleta ahueni ya maisha maana gharama za...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amezungumzia matumizi ya helkopta katika ziara ya kukagua uanzishwaji wa anwani za makazi, akisema inawamsha watu kufanya kazi.
Nape ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Aprili 14 akiwa mkoani Lindi katika mfululizo wa ziara zake...
Kwako waziri Nape
Siku za hivi karibuni kumejitokeza hali isiyo ya kawaida ya spidi ya Mitandao ya Voda na Airtel kuwa ndogo sana.
Licha ya spidi kuendelea kuwa ndogo lakini gharama za vifurushi vyao imeendelea kuwa ileile (ukiachilia mbali like sakata la mwaka Jana la kupanda bei za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.