Umeanza kwa Pupa sana Kamarada ( Comrade ) sijui bado 'appointment hangover' inakusumbua pamoja na Ujana ulionao?
Jeuri ya Boss wako ( Mama ) ipo katika hizi Tozo mbalimbali sasa leo hii unavyotaka TCRA ipunguze kwa kutafuta Kwako Sifa kwa Watanzania huku ukimkosesha Mama Mapato ya Kuongezea...
Waziri wa Habari na Teknolojia ya Habari Mhe Nape Nnauye ameiagiza TCRA kuyaagiza makampuni ya simu kusitisha upandishaji wa bei ya Vifurushi mpaka hapo watakapokaa na Serikali kuzungumza kuhusu jambo hilo.
Chanzo: DarMpya
Pia soma
- Gharama za vifurushi vya intaneti zapandishwa tena kimya...
"Kama Waziri wa Sekta hii ya Habari nimeagiza kufanyike Uchunguzi wa Kina ni kwanini kwa Siku za karibuni kila kukitokea tu Ajali zinazohusisha Misafara ya Viongozi nchini Gari zinazohusika ni zilizobeba Waandishi wa Habari na Wao ndiyo hufa kwa wingi" Waziri wa Habari Nape Nauye.
Kamarada...
Poleni wote mliopatwa na msiba baada ya ajali iliyosababisha vifo vya wanahabari kadhaa huko Mwanza.
Pili nichukue fursa Hii kumwombea msamaha Mhe. Nape Kwa kuteleza wakati anatoa salamu za rambirambi. Nasema nimwombee msamaha kwa sababu alichokisema hakitekelezeki Kwa njia yoyote Ile. Naomba...
Waziri wa Habari na Mawasiliano ya teknolojia ya Habari Nape Nnauye ni miongoni mwa waliofika uwanja wa Nyamagana kuungana na RC Mwanza, Injinia Robert Gabriel na Waombolezaji wengine kuaga miili ya Waandishi 6 waliofariki kwenye ajali jana.
Natoa siku saba kuanzia leo kwa waajiri wote, kama...
KARIBU WAZIRI NAPE, ASANTE DK. KIJAJI
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limepokea kwa matumaini uteuzi wa Mhe. Nape Nnauye kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
TEF pia linamshukuru na kumpongeza kwa kuteuliwa katika Wizara nyingine, aliyekuwa Waziri wa Habari...
Tusiwe wasahaulifu kiasi hiki, uchaguzi wa 2015 ulikua na dosari kubwa ambazo waasisi na wasimamizi walikua by then ni "Vijana" walioaminiwa.
January Makamba ambaye sasa ni Wazuri, huyu ndio alikua kiongozi wa tallying center ya CCM ambayo ilibuni matokeo, kwa mfano, wapiga kura kwenye jimbo...
Hongera Sana Mkuu,
Umerudi kwenye Jungu Kuu,
Wahuni walifanya sikukuu,
Pale ulipokamuliwa jipu na Mkuu,
Waoneshe kazi unaiweza, Wala usihangaike nao.
Ulikuwa ukitimizaajukumu Yako,
Tena Kwa kutumia weledi wako,
Ukakumbana na likambako,
Ambalo baba alilipaka upako,
Waoneshe kazi unaiweza, Wala...
Mzuka wanajamvi!
Huyu jamaa alikuwa 'shortsighted'. Wenzake aliotumwa nao walikuwa wataratibu sana yeye kimbelembele. Sasa leo Nape kateuliwa tena kwenye Ile nafasi.
Pia Nape asingekuwa wazir tena leo kama asingejishusha na kunyenyekea kwa Jiwe siku ile akitembeza huku akirekodiwa jasho...
Ninapenda kutumia jukwaa hili kumpongeza waziri wa michezo Nape Nauye.
Hizi pongezi ni mahususi kwa Nape kwa sababu ni moja ya viongozi walioweza kusimamia haki na ukweli kwa kulipa gharama kubwa ya kupoteza nafasi yake ya Uwaziri.
Funzo: Viongozi mnaoteuliwa simamieni haki bila kujali kama...
Nawaza tu kama spika ameongea tena hadharani,
akiwa katika mhimili unaoruhusu kufanya ivo.
Je Samia angewafanya nini Nape, January, Kinana nk.
ndani ya chama kwa sauti zilizovuja wakiunanga utawala wake kwa mfano?
Jana alisema leo Saa 5 atakuwa na jambo lake..
Hata hivyo ameahirisha ghafla mpaka Saa 9 alasiri..
Hii inanipeleka nyuma wakati Nape aliitisha press kama hii baada ya kuvuliwa uwaziri..
Baada ya kuzuiwa kutoa hotuba yake ndioo akawa hana namna isipokuwa kuitolea akiwa kwenye gari...
Na hata...
Nape Nauye na January Makamba inasemekana ndio wajuzi wakubwa wa wale wanaokimiliki chama tawala cha CCM.
Kwa unyeyekevu mkubwa, tungependa kuwajua wamiliki wakubwa wa Chama chetu cha CCM. Je chama ni mali ya Wahuni wachache au wananchi. Hili ni swali gumu sana kwetu sisi wananchi wa kawaida
Hizi nyimbo zinaanzia chipukizi.
CCM ni chama cha umma na kila mwana JF ana hati maliki kwa kununua au kulipia kadi yake kwenye shina.
Kataa wahuni; CCM ni ya watanzania.
Hakuna mwenye CCM kama chama ni mali ya kila mtu.
Sasa hivi kila kukicha hakukosi malalamiko kwamba Wabara wananyanyaswa au hawatendewi haki na Zanzibar ktk swala zima la Muungano, ukisoma hoja zao unaweza kushawishika mpaka pale unapoamua kufanya homework yako na kujielimisha kidogo tu, na hapo ndipo utakaposhangazwa na walalamishi.
Tanzania...
Nyoka kikawaida ni muoga sana, anatumia mbinu rahisi sana kujilinda yaani kukimbilia kichakani, akiamini kwamba yupo sehemu salama na akifuatwa na adui atatumia werevu wake kumshambulia adui.
Katika mchakato wa kuua nyoka kichakani muuaji pia anatakiwa mbinu ya kuchoka kichaka ili hata wadudu...
Je CCM haioni tatizo juu ya hizi kauli mbili za mbunge wao
1. Kumwita mwenyekiti mstaafu Godfather
2. Kusema chama kina wenyewe
Hizi kauli hazina maadili na zinaonyesha dharau kubwa sana kwa chama.
Chama kukaa kimya bila kukemea inaonyesha kinaafiki kauli ya kuwa kina wenyewe. Kwa wale ambao...
Ili kuepuka mitandao na makundi maslahi ndani ya CCM kuvuruga ustawi wa chama na ili kutorudia makosa ya 2015 yaliyokipasua chama, ninashauri CCM imuue nyani bila kumuangalia usoni, ninamaanisha wote Nape na Polepole ni "madegenyanga" wachukuliwe hatua sawia ili ku-harmonize hali hii inayotishia...
Kwa muda mrefu nimekuwa ni adui wa kauli na utendaji usiofata misingi wa Nape Nnauye. Kauli zake Mara nyingi zinaonesha ni mtu anayejisikia, mtu ambaye anaamini kwamba bila yeye CCM haiwezi kusonga mbele,kwa kifupi anajiona ni mungu mtu ndani ya CCM.
Nape anachotakiwa kujua ni kwamba chini yake...
Maneno ya Bulembo!
Polepole ni unyasi mkavu ni mdogo sana Mangula ashughulike naye.
Bulembo anataka mdahalo na Polepole na yuko tayari kulipia ukumbi.
Bashiru wa CUF hakutakiwa kuwa pale maana hajakulia katika chama cha mapinduzi! Sasa najiuliza kumbe chama cha mapinduzi ili uwe kwenye kundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.