nape

  1. B

    Nape, unatoa wapi muda wakusherekea chama kurudi kwa wenye chama huku Jimbo lako wananchi wanashindia maembe?

    Ukiangalia akaunti ya Nape tweeter utadhani amemaliza matatizo ya wapiga kura. Tangu apite bila kupingwa ajawahi kuposti Jambo lolote kuhusu wananchi wa Jimbo lake na majimbo yanayomzuka. Yupo busy anatafuta uteuzi akalipize kisasi. Lindi na Mtwara Kuna gesi lakini haina mchango Kwa sababu...
  2. Nigrastratatract nerve

    Mzimu wa Magufuli umemwingia Polepole. Mnaomwandama mjipange, ana nguvu isiyo ya kawaida

    Kauli ya kusema hana shida na ubunge wao na hagombei ubunge ni kauli ya kizalendo na tungekuwa na Wabunge wa CCM 75% Kama Polepole wangeinyoosha serikali ya CCM mtu mmoja tu kawatoa jasho. Kwa hiyo wabunge wa CCM badilikeni acheni kulamba nyayo za watawala simamieni ukweli kama Polepole.
  3. jingalao

    Iwapo Nape anamaanisha Magufuli ni GodFather wa PolePole atastahili kuomba radhi mapema

    Kama Nape Nnauye anamaanisha Jemedari aliyetangulia mbele za haki Mhe. Dr John Pombe Magufuli kuwa Godfather wa PolePole basi anapaswa kutuomba radhi. Iwapo anahisi the so called Godfather alimshindwa basi ajue nyuma ya Godfather lipo kundi kubwa sana la MaGrand GodFathers. Pia ni muhimu kujua...
  4. Pac the Don

    Nape Nnauye: Kiroboto ulishindwa akiwepo godfather, utaweza leo?

    Baada ya Polepole kuongea na Waandishi wa Habari. Mbunge wa Mtama Nnape Nnauye, ameandika kwenye Mitandao ya kijamii; "Aaaah kiroboto🤣🤣ulishindwa akiwepo godfather utaweza leo?!!? Kina wenyewe shekh! Lakini ni kawaida punda roho ikiwa inaacha mwili hutupa mateke 🎼NONSENSE!!"
  5. S

    Nape kwa maneno yako chama kimerudi kwa wenyewe unamaanisha nini?

    Bwana Nape nikukumbushe tu hii nchi sio ya CCM wala ya Baba yako! Unataka kuuamisha uma ya kuwa nje ya kundi unaloliona wewe basi CCM haipo wala nchi haitawaliki! CCM itapita lakini Tanzania itabakia na kitu kikubwa kukumbuka ni kuwa Taifa ni zaidi ya ukoo au kikundi. Unauhuru wa kutoa mawazo...
  6. S

    Kati ya Nape na Kolimba, nani ametoa kauli hatari zaidi kwa chama cha CCM?

    Marehemu Horace Kolimba: CCM imepoteza dira. Nape: Chama kina wenyewe Tukumbuke hawa wamekuwa viongozi wakubwa tu ndani ya CCM hivyo kauli zao sio za kuchulia mzaha. Japo Kolimba aliongea ukweli, tunasikia aliitwa kujieleza; je, Nape nae hastahili kuitwa na chama chake ili ajieleze?
  7. U

    Siasa pembeni, Polepole Vs Nape? Nani kichwa

    Tuweke Kila Kitu pembeni , Yani tuwe Kama wachambuzi wa soka, uchama pembeni, nataka Leo tumalize utata wa nani mkali na Ana akili na IQ kubwa Kati ya Nape na Pole Pole , Achaneni na mambo yaliyofanyika huko nyuma wafanyieni assement Kama neutral candidate, tujikite katika mambo yafuatayo: 1...
  8. Kamanda Asiyechoka

    Nape na Polepole Wote walikuwa na kiburi wakiwa wasemaji wa CCM

    Wote walikuwa na viburi wakiwa wasemaji wa Chama. NapeaNnauye alipokuwa Katibu Mwenezi wapinzani wake binafsi na waliokuwa nje ya mstari wa Mwenyekiti, hususani Lowasa walikiona cha moto. Humphrey Polepole naye aliwasomesha namba wote waliokuwa kinyume na Magufuli
  9. Mtondoli

    Natamani kumuona tena Nape Nnauye katika Uongozi wa juu

    Niseme ukweli nape nnauye ni kiongozi, tangia akiwa na uongozi chamani, akawa waziri na mbunge nasikia watu wakimkandia sana lakini nape ninatamani kumuona tena katika uongozi wa juu. Nape anafaa kabisa hata kuwa rais wa nchi hii, kapita mikononi mwa viongozi wengi mimi sijawahi kusikia Nape...
  10. figganigga

    Nape Nnauye amjibu Mangula, ni Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo

    Salaam Wakuu, Baada ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Philip Mangula kuzungumzia Bandari ya Bagamoyo kwamba haipo kwenye ilani, Mbunge wa Mtama Moses Nnauye(CCM) ameibuka na kusema kwamba kuna miladi mingi imetekelezwa ambago haikuwa kwenye ilani. Mangula alisema...
  11. K

    Nape Nnauye: Takribani miti milioni 3.5 ilikatwa kupisha ujenzi wa Umeme JNHP (Stieglers)

    Nimemuona Mhe. Nape akichangia hoja yake kwenye Bunge letu la Jamhuri ya Tanzania kuwa kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa Mwalimu Nyerere kunahitajika kukatwa miti takriban 4.3. Akazidi kuelezea kuwa eneo linalotakiwa kukatwa miti hiyo ni sawa na eneo lote la Dar es Salaam au eneo lote la...
  12. K

    Nape Nnauye samehe na kusahau, mwache Hayati Magufuli apumzike

    Jana nilikuwa jimboni Mtama, sehemu ambayo mwakilishi wake kwenye bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nape Moses Nnauye mwanasiasa kijana aliyewahi kuwa Mwenezi wa CCM na Waziri wakati fulani. Akiwa kwenye mikutano yake kwa wapiga kura wa Mtama, jioni ya jana ilikuwa zamu ya Nyangao...
  13. S

    Ludovic Utoh aunga mkono hoja ya kukagua deni la Taifa

    Kuna mjadala mzuri ulikua unaendelea kwenye chanel ya UTV ambapo CAG mstaafu Bwana Ludovic Uto ameunga mkono hoja za Wabunge wanaotaka ufanyike ukaguzi kuhusu deni la taifa. Pamoja nae alikua ni Professor Ngowi na Dr Bernie. Ludovic Uto ameenda mbali zaidi na kutaka ifanyike ukaguzi...
  14. Komeo Lachuma

    Leo Nape anaupiga mwingi...

    Kama Rais Samia alianza dk za mwanzo tu za mchezo kuupiga mwingi sana. Wapinzani tulifurahia na kauli mbiu Mama anaupiga mwingi. Kipo wapi? Ujinga ule ule wapinzani wameubeba na kuanza kumpamba kijana muasisi wa bao la mkono kuwa kwa kuhoji deni la Magufuli anaupiga mwingi. Unajiuliza huu...
  15. Gwajima

    Kufuatia maoni ya Nape kuhusu deni la Taifa awamu ya tano, Wafuatao wachukuliwe hatua kali

    Kwanza nipende kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai, nimeshuhudia marais wa awamu zote 6, katika wote nilimkubali sana JK Nyerere na JPM. Nikirejea kwenye mada, kufuatia alichokisema Mh Nappe, endapo itathibitika kuwa fedha zilizokopwa na awamu ya 5 zilitumika vibaya, wafuatao wachukuliwe hatua...
  16. Mwande na Mndewa

    Ndugu Nape pokea mchanganuo wangu wa dola 9 billioni alizokula Magufuli

    NDUGU NAPE POKEA MCHANGANUO WANGU WA DOLA 9 BILLIONI ALIZOKULA JPM. Kwa hesabu zangu za darasa la saba B,Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere,JPM aliweka mzigo wa Usd $5 Billion,SGR Dar-Morogoro-Makutupora Dodoma JPM aliweka mzigo wa Usd $3 Billioni,SGR toka Mwanza-Isaka JPM aliweka mzigo...
  17. Jidu La Mabambasi

    Nape na ombi la CAG kukagua mikopo; kuna watu wamepanic!

    CAG kimsingi amekubali kukagua fedha za mikopo iliyoingiwa na serikali ya Awamu ya 5. CAG Kichere amesha sema anasubiri maelekezo tu. Kutokana na mijadala, hata humu JF, kuna watu wamepanic. Kisirisiri wengi wanajua fedha zilivyoliwa, mitambo nyeti imenunuliwa at inflated prices, na hakuna...
  18. jingalao

    CCM inapaswa kuchunguza kiasi cha fedha kilichotumika katika ziara za Kinana na Nape?

    Kuna muda huwa tunakaa kimya tu. Hivi ile the so called Ziara ya kuamsha chama ya Nape na Kinana ilikiwa necessary?Kiasi gani cha fedha kilitumika? Can it be accounted for?
  19. T

    Tatizo la Nape ni ubinafsi, chuki na sononeko. Kiongozi wa namna hii hatufai hata kidogo

    kwa tunaomfahamu Nape na tuliyopata kuyajua machache juu yake hatushangazwi kusikia anayosema ila tunachoshangazwa ni kuchelewa kwako kuzungumzia unafiki wake watanzania wakaujua. Nape ana chuki na tukio walilofanya lakini kabla lengo halijatimia wakajulikana ila nikiri kusema kwamba ingekuwa...
  20. F

    Hoja ya Nape Kuhusu Uchunguzi wa Akaunti ya Deni la Taifa

    Hoja ya Mhe. Nape (MB) Bungeni kuhusu kukaguliwa akaunti ya deni la taifa sina shida na hoja na anazo haki zote kwa mujibu wa Katiba, sheria na kanuni za Bunge, isipokuwa nachelea kuamini kwamba uzito wa hoja hii unaweza kutambuka wigo wa mhimili wa Bunge na kuleta shida kwenye mhimili wa...
Back
Top Bottom