Wakuu,
Hivi hawa Watanzania wanaoshangalia "juhudi za polisi kwenye kile kipindi cha maandamano wana ubinadamu kweli
Hapa ni Mwanza na inasikitisha sana kuona kwamba badala ya media na wananchi wanaunga mkono kichototokea
Uchawa na kikomo wakuu. Sio kila kitu ni cha kusifiwa