PostGE2025 Mwananchi: Napongeza Jeshi la Polisi kwa kudhibiti ugaidi. Hongereni

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Hivi hawa Watanzania wanaoshangalia "juhudi za polisi kwenye kile kipindi cha maandamano wana ubinadamu kweli

Hapa ni Mwanza na inasikitisha sana kuona kwamba badala ya media na wananchi wanaunga mkono kichototokea

Uchawa na kikomo wakuu. Sio kila kitu ni cha kusifiwa

Orodha ya wanaopaswa kuwajibishwa kwenye mahakama za ndani siku haki ikipatikana inazidi kuongezeka. Hawa wafanyabishara hawatakosekana humo.
 
Uzuri wamejiweka uchi watasalimiwa siku sio nyingi wakae kwa kutulia
 
Wakuu,

Hivi hawa Watanzania wanaoshangalia "juhudi za polisi kwenye kile kipindi cha maandamano wana ubinadamu kwenya

Hapa ni Mwanza na inasikitisha sana kuona kwamba badala ya media na wananchi wanaunga mkono kichototokea

Uchawa na kikomo wakuu. Sio kila kitu ni cha kusifiwa

Hawa ni vibaraka, nashauri vijana wawatembelee wakawasalimie majumbani kwao au kwa ndugu zao. Wapeleke tu Salam
 
Wakuu,

Hivi hawa Watanzania wanaoshangalia "juhudi za polisi kwenye kile kipindi cha maandamano wana ubinadamu kwenya

Hapa ni Mwanza na inasikitisha sana kuona kwamba badala ya media na wananchi wanaunga mkono kichototokea

Uchawa na kikomo wakuu. Sio kila kitu ni cha kusifiwa

View attachment 3508120
Wanafiki hao ndio wakuanza nao desemba 9 kenge hao
 
Wafanyabiashara Mkoa wa Mwanza wamepongeza Jeshi la Polisi kwa kuweza kudhibiti uhalifu wakati wa maandamano ya Oktoba 29 aidha wametoa wito kwa wafanyabiashara wote katika Mkoa huo kutoruhusu tukio kama hilo kutokea tena

Hawa Vibaraka waeneza Propaganda nchi nzima hawafiki hata 200,Hawawezi kuwasumbua Watanzania wanaozidi milioni 50 waliomchoka Samia na Genge lake!

Wakati wa Kampeni Samia na Genge lake walikuwa na propaganda za kutisha nchi nzima lakini Matokeo yake Sasa hivi wanalilia vyooni!

Uzuri wa Tanzania kwasasa wanawaelewa
 
Wakuu,

Hivi hawa Watanzania wanaoshangalia "juhudi za polisi kwenye kile kipindi cha maandamano wana ubinadamu kwenya

Hapa ni Mwanza na inasikitisha sana kuona kwamba badala ya media na wananchi wanaunga mkono kichototokea

Uchawa na kikomo wakuu. Sio kila kitu ni cha kusifiwa

Haya maponjoro yarudi kwao, hapa siyo kwao
 
Wafanyabiashara wote kutoruhusu tena - Kwani ndio warihusu ?

Na hao polisi moja ya kazi yao ni kulinda raia je waliofanya mauaji wameshashikwa - Au according to data alizopewa huyo ili awe recorded ni kwamba mwanza hakuna mauaji - Au wauwaji sio waharifu ?
 
Wakuu,

Hivi hawa Watanzania wanaoshangalia "juhudi za polisi kwenye kile kipindi cha maandamano wana ubinadamu kwenya

Hapa ni Mwanza na inasikitisha sana kuona kwamba badala ya media na wananchi wanaunga mkono kichototokea

Uchawa na kikomo wakuu. Sio kila kitu ni cha kusifiwa

GenZ D9 unajua pa kuanzia.
 
Hao wazungumzaji ni Kama vile:
1. Wamepangwa kuyaongea hayo
2. Ni polisi walio vaa kiraia

Mbupu tupu wanachoongea.. pongezi masinonda…;(
Kwamba yeyote aliye kinyume na ninyi amelipwa?
Au amepangwa kuyaongea hayo?
Kwamba hakuna watu walioumia kupoteza mali zao na sasa wanalia kuomboleza na hawataki kusikia hayo machafuko tena?
Kwamba unadhani mzazi aliyepoteza mwanae kwenye the so called ' maandamano bado anatamani hali hii itokee tena?
Kwamba kila aliye kinyume na nyie ni mnufaika wa Mbogamboga?
Kwamba mna tofauti gani na Mbogamboga ambao kwao mawazo mbadala ni sumu ipelekeayo upotevu wa maisha?
Kwamba kila aliye kinyume na nyie mnamjibu kwa matusi? Uko wapi uhuru muutakao?
Badilikeni wanangu
 
Mbeleni kete ikibadilika akumbushwe kuwa ni yeye alisema hayo.

Watupunguzie maelezo ya kuwaambia wajukuu kuwa huyu alifanyaga hivi hivi.

Wawe wanaweka kumbukumbu mazungumzo yao.
 
Wakuu,

Hivi hawa Watanzania wanaoshangalia "juhudi za polisi kwenye kile kipindi cha maandamano wana ubinadamu kwenya

Hapa ni Mwanza na inasikitisha sana kuona kwamba badala ya media na wananchi wanaunga mkono kichototokea

Uchawa na kikomo wakuu. Sio kila kitu ni cha kusifiwa

Ukimwangalia vizuri ana akili timamu kweli ?
Mzazi mwenye utu anaweza kuongeza mauaji ?
 
Wakuu,

Hivi hawa Watanzania wanaoshangalia "juhudi za polisi kwenye kile kipindi cha maandamano wana ubinadamu kwenya

Hapa ni Mwanza na inasikitisha sana kuona kwamba badala ya media na wananchi wanaunga mkono kichototokea

Uchawa na kikomo wakuu. Sio kila kitu ni cha kusifiwa

Yaani watu wameua halafu wanapongezwa.

Yaani hawa MAPONJORO wanaona hizo mali zao ni bora sana kuliko maisha ya Watanzania ....!!? PU#$@vu KABISA.
 
Back
Top Bottom