nasa marekani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania NASA ya Marekani yajipanga kukamilisha ujenzi wa kinu cha Nyuklia ifikapo 2030. Nini kinaendelea?

    Shirika la anga la Marekani (Nasa) limepanga kuharakisha ujenzi wa kinu cha nyuklia kwenye Mwezi ifikapo 2030 kama sehemu ya mpango wa kuanzisha makazi ya kudumu ya binadamu kwenye uso wa Mwezi. Kaimu mkuu wa Nasa, Sean Duffy, amesema hatua hiyo ni muhimu ili kuendeleza teknolojia ya nishati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…