McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Shirika la anga la Marekani (Nasa) limepanga kuharakisha ujenzi wa kinu cha nyuklia kwenye Mwezi ifikapo 2030 kama sehemu ya mpango wa kuanzisha makazi ya kudumu ya binadamu kwenye uso wa Mwezi.
Kaimu mkuu wa Nasa, Sean Duffy, amesema hatua hiyo ni muhimu ili kuendeleza teknolojia ya nishati kubwa, kusaidia uchumi wa anga za mbali na kuimarisha usalama wa taifa, akirejea pia mipango sawa ya China na Urusi.
Hata hivyo, mashaka yameibuka kuhusu uhalisia wa malengo haya kutokana na kupunguzwa kwa bajeti ya Nasa na hofu kuwa yanasukumwa zaidi na masuala ya kisiasa. Nchi kama Marekani, China, Urusi, India na Japani zote zinashindana kutafuta makazi ya kudumu kwenye Mwezi.
=======================
US space agency Nasa will fast-track plans to build a nuclear reactor on the Moon by 2030, according to US media.It is part of US ambitions to build a permanent base for humans to live on the lunar surface.
According to Politico, the acting head of Nasa referred to similar plans by China and Russia and said those two countries "could potentially declare a keep-out zone" on the Moon.But questions remain about how realistic the goal and timeframe are, given recent and steep Nasa budget cuts, and some scientists are concerned that the plans are driven by geopolitical goals.
Nations including US, China, Russia, India and Japan are rushing to explore the Moon's surface, with some planning permanent human settlements.
Source: BBC News