Habari wakuu,
Mi nimzaliwa wa kwanza Kwa single mother(Mkristo) ambaye alikua anafanya kazi za ndani Kwa wa'arabu(DSM). Mama yangu aliofanya kazi Kwa wale waarabu ikiwemo, kuwaanda watoto shule, kuwapikia familia na wafanyakazi, kusafisha nyumba na kuhakikisha usalama wa nyumba(wakisafiri)...