nashindwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FAJES

    Mliofanikiwa kimaisha kwa kutumia kanuni ya 'Ubahili' mliwezaje, mbona mie nashindwa kabisa?

    Mungu si Athumani, maana amekuwa akishusha thawabu zake kwa muda wa takribani miaka mitano sasa tangu nilipoanza kupataa namna ya kujiingizia kipato changu na kumudu gharama za kuishi. Kwakweli niwe muwazi kuwa maisha siyo mteremko sana na wala sipati pesa nyingi sana lakini pesa nazopata...
  2. Camp Lehigh

    Nashindwa kupenda mtu mwingine

    Nilimpenda na nampenda sana huyu mwanamke, ni mwaka na miezi 4 toka kaniacha. Nilimkosea mimi akaniacha. Nashindwa kumpenda mtu mwingine kila ninapokaa siachi kumuwaza yeye, kila kitu nachofanya kinanikumbusha uwepo wake ninyeye aliyekua mwanamke wangu wa kwanza maishani mwangu. Nisaidieni...
  3. M

    Nashindwa kujizuia kumpenda Rais Samia, nimegundua kuwa ni mtu wa mila za asili ya babu zetu aliyejificha, Atatuvusha

    Wakati nasoma chachi histori mle ndani nilikuta vitu vya kushangaza na ilichukua miaka mingi kuelewa, zamani nyuma ya kalne ya 16 kule ulaya kulikuwa hakuna uhuru wa kuabudu, napo sikuelewa uhuru upi wa kuabudu kwani tayari Yulopa zilikuwa nchi za kikrito. Lakini baadaye nilielewa kuwa haya...
  4. S

    Nashindwa kuamini hiki ninachokisoma kuhusu haya makato ya LUKU

    Ameandika Evans Rubara I have just paid for Luku from @tanescoyetu this evening. Now @TRATanzania tell me what debt you have with me. This is fricking idiotic. Ndg. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania @SuluhuSamia tuambie kama umeshindwa kuongoza hii nchi kwa busara alizokupa Mwenyezi Mungu.
  5. E

    Nashindwa kujielewa hii ni hali gani?

  6. M

    Nashindwa kabisa kukaa na pesa, nifanye nini?

    NASHINDWA KABISA KUKAA NA PESA Wakuu nimeshindwa kuvumilia maana napata mtihani sjui wa aina gani. Wakuu kila napojitahidi kuweka kapesa kangu japo kidogo lakini nashindwa kabisa kuhifadhi, hata nikimpa wife haipiti wiki ntaanza kujiskia vibaya kwa kukosa kuwa nayo mimi! Ntatafuta kila sababu...
  7. Msigazi Mkulu

    Msaada: Nashindwa kutumia Microsoft Office kwa kuambiwa niingize office product key

    Habari za majukumu? Naomba msaada ili niweze kuendelea kutumia Microsoft Office. Nikifungua office yoyote naambiwa niingize office product key, hizi product key ninazitoa wapi na hili tatizo limeanza wiki hii. Nashindwa kufungua assignments zangu nilizokuwa nimefanya kwenye hii Laptop.
Back
Top Bottom