Nilimpenda na nampenda sana huyu mwanamke, ni mwaka na miezi 4 toka kaniacha. Nilimkosea mimi akaniacha. Nashindwa kumpenda mtu mwingine kila ninapokaa siachi kumuwaza yeye, kila kitu nachofanya kinanikumbusha uwepo wake ninyeye aliyekua mwanamke wangu wa kwanza maishani mwangu.
Nisaidieni...