Habarini wanaJf, natumai mu wazima wa afya.
MwanaJf mwenzenu ninatafuta gari ya kufanyia biashara ya kusafirisha abiria kwa njia ya mtandao, lengo ni kujikwamua kiuchumi kwa kipato cha halali kama kijana.
Leseni na account za uber, bolt na nyinginezo, ninazo, na napatikana Daresalaam...
Salaam wakuu.
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 24. Naishi Dar es salaam, natafuta mtu mwenye gari ndogo ambaye anaweza kufanyia biashara ya uber.
Uaminifu na juhudi ya kazi hapa ndio mahala pake.kwa yeyote anayehitaji dereva wa kazi hiyo anitafute kwa namba 0759429980.
Shukran.
Habari za muda huu wakuu, anayeuza moja ya magari yafuatayo. Run x, Spacio, Rav 4, Ist haijalishi number ya gari as long as ni zima. Tukutane PM.
Napendelea awe mmliki na sio dalali.
Asanteni
Wakuu Habari.
Kama kichwa cha habari kinavyoonekana, bajeti yangu ni milion 22
Na naitaji Gari aina ya Fuso
Kwa yeyote anaeuza basi anidm tufanye biashara
Niko Dar es Salaam
Habari zenu ndugu zangu,
Mimi ni kijana mchapakazi, natafuta kazi udereva yani Uber na Bolt. Nina account yangu ipo active pia nina leseni ya udereva ninahitaji gari ili tufanye biashara na mmiliki wa gari kwa uaminifu na ushirikiano gari ilo liwe la mkataba au hesabu mimi niko teyari namb...
I'm Denis sSamwel Mwalumuli 24 age
I'm living in Tabata Barakuda, Dar es salaam
I'm looking for a job from two kinds writing above heading, marketing position or either insurance principal officer because I have graduate and very experiences in this two derpatment.
I'm ready to work any place...
DEREVA WA UBER NATAFUTA GARI
dereva wa uber mwenye uzoefu wa muda mrefu natafuta gari ya kufanyia kazi iwe ya hesabu au mkataba ni maelewano tu. nipo Dar Es Salaam..nakubali gari ya aina yoyote ilimradi imekidhi vigezo vya uber. Asanteni
kwa mawasiliano 0756002927
Hellow,
Naitwa Neema (msichana) ni dereva natafuta gari kwa ajili ya Uber, yeyote anayehitaji dereva wa Uber tafadhali wasiliana nami kupitia: 0748341758
kwema wakuu, nko dar natafuta gari ya mkononi, bajeti 4-5M, vitz/Glanza/carina......nk..cc900-cc1500.. Sihitaji yenye piston 3, ukinirushia picha DM ntashukuru zaidi.
Ndugu mdau uliyekuwa ukitufuatilia kupitia mnakasha huu, tunapenda kukufahamisha kuwa kutokana na mabadiliko ya sera zetu, tumelazimika kufungua mnakasha mpya kwa ajili ya magari yanayotoka moja kwa moja Japan na nchi nyingine.
Hivyo sasisho zote kuhusu bidhaa na huduma zetu utazipata huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.