Habari ya kwenu. Natafuta mchumba wa kuoa mwenye vigezo hivi.
Mwenye umri miaka 40 kwenda juu
Jinsia mwanamke
Mkristo
Asiye na uwezo wa kuwa na watoto
Mwenye tabia nzuri. Ukiwa na tabia mbaya hatutadumu kwenye mahusiano.
Anayejaza vigezo hivyo Ani PM namba yake
Nimefuatilia post za wadada walio wengi wanaofanya biashara, wakiandika huku love connect wanasema wao ni wamachinga.
Mnaweza kuwa mnajinyima fursa kwani kuna wanaume wanataka mwanamke strong ambaye pengine anaweza kusimamia au akiongezewa Nguvu kiasi ataweza kuchanja mbuga, sasa ukisha sema...
Mimi ni mwanaume umri miaka 33.
Kazi ; nipo mwaka wa mwisho kimasomo (udaktari) niliamua kurudi kupiga tena kitabu sasa nipo mwa mwisho kimasomo .
Natafuta mchumba (ke) kikubwa awe msikivu kwangu sichagui umri wala kabila.
Makazi yangu yapo dar, na mpenzi wa mwisho nilimpata humuhumu ila...
Natafuta mchumba.
Mwenye miaka 19 to 25
Mwenye umbo na haiba ya kike.
Aliye tayari kuanza maisha.
Mimi ni mtumishi wa serikali.
Elimu degree.
Nina miaka 33.
Mengine yanazungumzika njoo pm kwa taarifa zaidi.
Nipo mbele yenu natafuta mwanamke ambaye yupo single ili tuweze kuwa wapenzi na hapo badae nimuoe nimechoka kuwa bachelor kwa muda mrefu nipo serious kwa mwanamke au mdada ambaye yupo tayari PM ipo wazi.
Habari Wana jamii forum
Mimi ni kijana umri miaka 27, ni mfanyabiashara na Nina degree ya chemistry
Natafuta mwanamke wa kuoa ,
Naishi mabibo
Umri wa mwanamke usizidi miaka 22
Habari Wana jamii forum,
Mimi ni kijana na mfanyabiashara ,na ni Domo zege naomba mnipe mbinu ili niweze kutongoza mwanamke ,nipate mpenzi
Kuwa Domo zege kunanisumbua Sana sijui kutongoza nasindwa kupata hata mchumba
Wadau habarini,
Mimi Nina tabia nzuri Sana mwenye huruma sijisifu bali naongea ukwwli wangu nilioa mwanamke ambae hakuwa na malezi mazuri alijichanganya mtaani na kufuata uhu I kwa ujumla alikuwa mshamba wa mapenzi alipojua saloon ni nini akachepukamazima. Kwa sasa nahangaika Sana kujua...
Hadi leo nakaribia floor namba tatu, sina mchumba, mpenzi, wala demu.
Kutongoza imekuwa kazi ngumu sana kwangu. Ninaobahatisha kutongoza wananikataa.
Eeh Mungu wangu nisaidia. Natamani nipate mchumba nioe niendelee na maisha mengine, kuishi hivi pekee yangu upweke mwingi, geto ninapoishi...
Kichwa cha habari cha husika hapo juu.
1. Mimi ni mwanaume ninayejielewa na nakusudia kufunga ndoa mwaka huu ikimpendeza Allah.
2. Miaka yangu 40, mwajiriwa serikalini na mjasiria mali pia.
3. Natafuta mwanamke kwa maana ya Mchumba ili ikimpendeza Allah basi tuweze kufunga ndoa mwaka huu tuishi...
Habarini Mabinti na wale wenye dada zao.
Nafasi ni moja tu, anatafutwa binti mzuri wa muonekano na tabia yaani Mtu mwenye Utu na Utulivu.
Umri: 18-23 (Asiye mshangazi bila Kitambi)
Elimu: Si muhimu.
Dini: Si muhimu.
Kabila: Si muhimu.
Kazi: Si muhimu ila asiwe mvivu mvivu.
Bikra: Si lazima ila...
A/alleikum
Naitwa Bakari Hamisi mkazi wa Dar es salaam.
Umri 32 miaka.
Kazi: Muajiliwa (Electrical engineer)
Natafuta mchumba ambae atakuja kuwa mke kama tukiridhiana
Sifa
Uwe Muslim
Elimu yoyote
Mkazi wa Dar es salaam au jirani
Umri 20-29
Napatkana telegram 0759565300 or normal.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.