Sifa zangu ni mrefu wastani, rangi ni maji ya kunde, mkisto nasali Anglican, mpole na mwaminifu, umri 25.
Natafuta mchumba awe mkristo kama ni dini nyingine tutaongea, awe urefu wa wastani akiwa mfupi sio mbaya, rangi yoyote, mwenye heshima, na mwaminifu, umri awe kuanzia 18-25.
Mimi ni mwanaume wa miaka 38, ninatafuta mke wangu/mwenza wangu wa maisha.
Muonekano wangu.
Urefu- Mrefu Kiasi cm 173
Rangi- Mweusi.
-Sio mnene wa sio mwembamba (umbo la kawaida)
Elimu yangu- degree 2
Kazi- Mtumishi (Taasis ya Serikali)
Sifa za ninae Mtafuta.
Rangi- Yoyote.
Miaka - Kuanzia 25...
Sifa zake:
1. Awe na hofu ya Mungu.
2. Awe tayari kupima HIV.
3. Asiwe mfupi, Rangi yeyote ile, maana mimi mwenyewe ni mrefu
4. Awe na elimu ya kuanzia kidato cha nne, sita, hata chuo kikuu.
5. Ajue kupika, aisiyependa uchafu na awe anajua kupika kila aina ya chakula kuanzia maandazi n.k.
6...
Natafuta mchumba wa kike, awe mweupe wa saizi, asiwe mnene sana wala asiwe kajichubua.
Awe mrefu, elimu kuanzia kidato cha nne hadi chuo, umri asipungue miaka 20 wala asizidi miaka 25, asiwe tegemezi.
Sichagui dini, ila nitafurahi kama atakuwa ni mwenye kujisitiri.
Umri wangu ni miaka 28...
Uwe mrembo mwenye msimamo, unajitambua na mchapakazi, sichagui kabila mm nipo Dar, mfanyakazi wa serikali taasisi ni siri yangu tuonane pm tutambuane mm ni half maji ya kunde,urefu Sm 177 mwanamke awe mweupe au maji ya kunde
Nipo serious
Nahtaj mwalimu kwani atakua mama,mlezi,na mwalimu kwa...
Habari wadau.
Natafuta mchumba wa kike tukielewana awe mke.
Masharti ni awe na asset net worth 150m.
Age awe 32 kushuka chini. Asizidi 32.
Nimesema asset awe nazo sababu sitaki mnyonyaji.. mahusiano ama ndoa iwe na win win pande zote.
Binafsi ninamiliki asset net worth 300m. Sasa mtu...
Nahitaji mdada aliye siriasi kabisa na mahitaji ya kuwa mke wa mtu:
Sifa zangu:
Miaka 40
Elimu : shahada ya kwanza
Dini : mkristo ( mkatoliki)
Kazi : mtumishi wa umma pia mjasiriamali
Location : Dar Es salaam
Mchumba awe angalau na sifa hizi
1. Awe mkristo ispokuwa msabatho
2. Umri kuanzia...
Kweli na tafuta mchumba serious nimekuwa mtu mzima nahitaji familia
Vigezo serious awe handsome wa kiasi .
Awe 32 -40
Awe hajawahi kupata mtoto kokote.
Awe anafanya kazi kaajiriwa .
Elimu Anizidi mimi na Diploma .
Awe mweupe au maji yakunde awe mrefu wastani.
Asiwe mzubavu awe anachangamkia...
Kichwa cha habari chahusika.
Natafuta mwanamke ambaye anahitaji kuwa na mwanaume for long term relationship ili kujenga familia pamoja.
Sifa za mwanamke nimtakaye:
1. Awe anaishi mkoani Mbeya.
2. AWE TAYARI KUPIMA HIV
3. Awe na umri kuanzia 20 hadi 35.
4. Elimu yake kuanzia kidato cha nne na...
Akiwa na mtoto au watoto amezaa ni vizuri.
Akiwa aliachika katika ndoa na angalau alipewa taraka itapendeza zaidi.
Asiwe chini ya miaka 35 na asifike 55.
Dini yake yoyote aendelee nayo.
Mi situmii pombe na yeye ajitathimini.
Awe ni mnene wa shep au awe na mzigo.
Awe anaishi Dar au jirani...
Habari za majukumu
Nimejitokeza hapa kwenu kwa lengo la kutafuta mchumba then baadae awe mke
Sifa zangu:
Rangi: mweusi
Kimo: mrefu
Miaka: 28
elimu: degree
Location: mbeya
Awe atleast na sifa hizi:
Rangi: mweupe/ maji ya kunde
Kimo: asiwe mfupi
miaka: isizidi 30
Elimu: kuanzia sekondari
Kwa...
Naitwa Junior Mkazi wa DSM nina miaka 27 natafuta mchumba wa kike wa kuanzisha nae mahusiano ya kudumu
SIFA:
1.Awe na umri kuanzia miaka 19-25
2.Awe mweupe au maji ya kunde
3.Asiwe mnene sana wala mwembamba sana
4.Dini yeyote
5.Kabila lolote
6.Awe na nidham pamoja na maadili mema
7.akiwa...
Wasalaam wakuu!!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, natafuta mwanamke ambaye atakuja kuwa mke wangu
Wasifu wangu
*Umri -26
*Elimu -Bachelor degree
* Dini - muislam
*Rangi- Mweusi(pure)
*Urefu-Wastani
*Makazi- DSM
NB
Kama kuna kitu cha ziada nitaweka nikikumbushwa (Nikiulizwa)
SIFA ZA...
Natafuta mchumba wa kike umri kuanzia miaka 21-27 awe dar es salaam tukikubaliana tuje kuishi Pamoja
Sifa;
1.Awe mweupe au maji ya kunde
2.asiwe mwembamba Sana wala mnene Sana
3.kama atakuwa ameajiriwa itapendeza
KWA yeyote aliye tayari tuwasiliane
santosdavid554@yahoo.com
Mim Nina sifa zifuatazo
Jinsi Mwanamme
Umri miaka 29
Dini mkristo
Elimu Bachelor degree
Kazi Nimeajiriwa
Makazi Dar es salaam
Mhusika awe na sifa zifuatazo
Jinsia Mwanamke
Miaka chini ya 25
Dini mkristo
Elimu Bachelor degree yeyote
Makazi Dar es salaam
Ambaye atakua interest anifuate pm
Natafuta mchumba wa kitanzania,awe kati ya umri wa miaka 35-40.Mie kwangu nina miaka 43 na awe ametokea mikoani,mtulivu na mcha mungu na kama ana mtoto awe mmoja wa kike,umri chini ya miaka kumi nimeajiriwa na ninao uwezo wa kumpa mtaji aanzishe biashara ndogo kwa minanjiri ya mahitaji madogo...
Habari Wana jf, naitwa Alfred umri 34 toka Uvinza, elimu yangu diploma na mfanyakazi katika shirika linajihusisha na huduma za kijamii, najitokeza kutafuta mchumba ambaye kama Mungu atapendeza aje kuwa mke wa maisha, ningependa pia awe mcha Mungu na asiyetumia kilevi chochote kile lakini pia...
Mimi ni kijana wa kiume, 29yrs mkazi wa DSM. Natafuta rafiki wa kike/mchumba umri 20-25 au zaidi mwenye nia ya dhati ya kutulia kwenye mahusiano na kufikia kuanzisha maisha pamoja.
Aliye tayari anicheki inbox. Itapendeza kama atakuwa Dar au mkoa jirani. Awe anajiweza kidogo kiuchumi (awe na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.