Natafuta mchumba baadaye awe mke

Natafuta mchumba baadaye awe mke

rkid49

Member
Joined
Sep 24, 2014
Posts
14
Reaction score
17
Habari za majukumu
Nimejitokeza hapa kwenu kwa lengo la kutafuta mchumba then baadae awe mke

Sifa zangu:
Rangi: mweusi
Kimo: mrefu
Miaka: 28
elimu: degree
Location: mbeya

Awe atleast na sifa hizi:
Rangi: mweupe/ maji ya kunde
Kimo: asiwe mfupi
miaka: isizidi 30
Elimu: kuanzia sekondari
Kwa atakayekuwa tayari tuwasiliane [email protected]
 
Habari za majukumu
Nimejitokeza hapa kwenu kwa lengo la kutafuta mchumba then baadae awe mke

Sifa zangu:
Rangi: mweusi
Kimo: mrefu
Miaka: 28
elimu: degree
Location: mbeya

Awe atleast na sifa hizi:
Rangi: mweupe/ maji ya kunde
Kimo: asiwe mfupi
miaka: isizidi 30
Elimu: kuanzia sekondari
Kwa atakayekuwa tayari tuwasiliane [email protected]
Nimekosa sofa moja tu umri wangu mkubwa
 
Back
Top Bottom