nato

The North Atlantic Treaty Organization (NATO, ; French: Organisation du traité de l'Atlantique nord, OTAN), also called the North Atlantic Alliance, is an intergovernmental military alliance between 30 European and North American countries. The organization implements the North Atlantic Treaty that was signed on 4 April 1949. NATO constitutes a system of collective defence whereby its independent member states agree to mutual defence in response to an attack by any external party. NATO's Headquarters are located in Evere, Brussels, Belgium, while the headquarters of Allied Command Operations is near Mons, Belgium.
Since its founding, the admission of new member states has increased the alliance from the original 12 countries to 30. The most recent member state to be added to NATO was North Macedonia on 27 March 2020. NATO currently recognizes Bosnia and Herzegovina, Georgia, and Ukraine as aspiring members. An additional 20 countries participate in NATO's Partnership for Peace program, with 15 other countries involved in institutionalized dialogue programs. The combined military spending of all NATO members constitutes over 70% of the global total. Members agreed that their aim is to reach or maintain the target defense spending of at least 2% of GDP by 2024.

View More On Wikipedia.org
  1. lee Vladimir cleef

    Leo tarehe 16 Machi 2022 NATO waanza mazoezi makali ya kijeshi

    Nimeiona hii habari Al Jazeera. Umoja wa NATO wamekutana katika mji wa Oslo Norway na kuanza mazoezi makubwa ya kivita ambayo hayajawahi kufanyika kabla. Mazoezi hayo ambayo wao wamedai ni mazoezi ambayo hufanyika Kila baada ya miaka miwili yatahusisha kujikinga na mashambulizi ya nyukilia, na...
  2. Analogia Malenga

    Ukraine yasema NATO ni dhaifu hawatajiunga nayo

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amesema NATO hawajawahi kuwa dhaifu kama walivyo sasa, ambapo nchi yake imepigwa kwa siku 20 na hawajachukua hatua. Amelaumu kwa kutaja Ibara ya 15 ya NATO ambayo inasema nchi moja ya NATO ikiguswa nchi zote zimeguswa. Lakini kwa sasa suala hilo ni tofauti...
  3. Narumu kwetu

    NATO ndio dola ya mwisho, hakuna nyingine itakayoinuka

    Ukisoma kitabu cha Danieli utaona ufunuo wa lile sanamu ambalo nilikua ndio mfano wa Muundo wa Dola ambazo zitaitawala dunia,ulianza utawala wa nebukadreza ambao ulikua na nguvu na imara kama dhahabu, Ukavunjika. Wakaja warumi walikua imara kama chuma nao wakaanguka. Sasa hivi umekuja NATO...
  4. Bata batani

    Ni kwanini NATO na USA wanaliogopa kundi la Wagner Group kutokea Urusi

    Mara nyingi USA na NATO wamekuwa wakilalamika kuhusu hili kundi la Wagner Group ambalo linasemekana chimbuko lake urusi limekuwa likiwanyima usingizi. sasa hivi taarifa kutoka kwenye taasisi za kijajusi zinasemekana hili kundi ambalo lipo ukraine wamepewa kazi ya kuhakikisha wanamkamata na...
  5. Neter

    Mugabe Scary UN Speech Warning the World About NATO

    Mugabe Scary UN Speech Warning the World About NATO Address by His Excellency Robert Mugabe, President of the Republic of Zimbabwe at the General debate of the 67th Session of the General Assembly of the United Nations (New York, 25-29 September and 1 October 2012)
  6. lee Vladimir cleef

    Operesheni maalum ya Urusi dhidi ya Ukraine ikiisha NATO itavunjika

    Kwa maoni yangu,Iwe Urusi imeshinda ama imeshindwa katika operation yake dhidi ya Ukraine mara TU baada ya operation hiyo kuisha Umoja wa NATO utavunjuka. Hautavunjika kwa siku moja au mwezi,Bali miaka isiyozidi mitatu NATO haitaendelea kuwepo wataivunja. Haya ni mawazo yangu TU kwa kuangalia...
  7. N

    Hivi kwanini nchi za Afrika haziruhusiwi kujiunga na NATO, sasa vita ya WW3 itakuwaje au kuna African Union army?

    Ukraine waliambiwa msiwe na nuclear mkiingiliwa Kivita tutawasaidia. Matokeo yake tumeyaona. Sasa inavyoonekana kichaa Putin ataanzisha WW3 maana haambiliki Sasa Hivi. Sasa Sisi nchi za Afrikca tutatetewa na NATO au ndio basi.
  8. M

    Wanachokifanya Marekani na NATO kwa ujumla dhidi ya Urusi ni sawa na kumbana paka kwenye kona; atakachokufanyia utakisimulia masha yako yote

    Wanachokifanya Marekani, NATO na mataifa ya magharibi kwa ujumla dhidi ya urusi ni kuifunga mikono na miguu Urusi wakati ikipigana na ukraine, ili kuisaidia Ukraine kwenye vita hivyo. Hakuna asiyejua kuwa nguvu ya kiuchumi ndiyo mikono na miguu inayohitajika sana wakati wa vita ili kuwezesha...
  9. S

    Waziri Mkuu wa Sweden akataa wito wa upinzani wa kutaka Sweden ijiunge NATO, asema hilo litaleta machafuko na kuharibu amani

    Waziri Mkuu wa Sweden Magdalena Andersson amekataa wito wa upinzani wa kuitaka Sweden kufikiria jambo la kujiunga NATO. Waziri Mkuu huyo amesema kufanya maombi ya kujiunga NATO kwa sasa kutaleta taharuki zaidi ktk eneo la Europe na kuhatarisha amani zaidi. Sweden kwa mara ya mwisho ilikuwa...
  10. M

    Rais Zelensky wa Ukraine anapoomba NATO waweke "No fly zone" nchini Ukraine, je anajua athari yake kwa nchi yake? achilia mbali athari kwa NATO

    Kama kuna kichaa duniani leo ambaye anaweza kuitumbukiza dunia kwenye vita kuu ya tatu ni Rais na msanii wa kuchekesha Zelensky wa Ukraine. Kila kukicha anazililia nchi wanachama wa NATO waweke zuio la ndege yoyote kuruka nchini Ukraine. Hivi anaelewa matokeo yake? Kwa mawazo yake anadhani...
  11. M

    Rais wa Ukraine aliamini kabisa kuwa NATO wangemsaidia endapo angevamiwa na Urusi

    Rais wa Ukraine aliamini kabisa kuwa NATO wangemsaidia endapo angevamiwa na URUSI. Mabeberu walimvimbisha kichwa, hata hakuweza kabisa kuheshimu makucha marefu ya URUSI. Malengo ya MAREKANI na NATO kwa ujumla ilikuwa ni kuitumia UKRAINE katika kujaribu kuidhoofisha URUSI. Ili kufanikisha...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    Biden: Putin alijidanganya anaweza kusambaratisha NATO

    Rais Joe Biden wa Marekani amesema madikteta ambao hawawajibishwi kutokana na uchokozi wao ndio wanaosababisha machafuko zaidi na kuongeza kuwa uvamizi wa rais Vladimir Putin wa Urusi nchini Ukraine ulikuwa ni wa kupangwa na wala haukuchochewa Rais Biden ameyasema hayo kwenye hotuba ya hali ya...
  13. beth

    Finland kujadili uwezekano wa kujiunga NATO

    Vyama vya Kisiasa vinatarajiwa kukutana ili kujadili shambulio la Urusi dhidi ya Ukraine, ikielezwa uvamizi wa Urusi umesukuma Umma karibu zaidi na NATO. Uwezekano wa Taifa hilo kujiunga na NATO pia utajadiliwa. Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Sanna Marin amesema ni jambo la kueleweka kuona Raia...
  14. S

    Hungary, mjumbe wa NATO, yasema haitaruhusu NATO kupitishia silaha zake kwenye nchi hiyo kwenda Ukraine

    Hungary ambayo imo katika umoja wa NATO imetoa msimamo wake kwa uwazi pasi na kumung'unya maneno kuwa haitatuma vikosi wala silaha kwenda Ukraine na wala haitaruhusu silaha kupitishwa kwenye ardhi yake ili kulinda amani ya nchi hiyo. Maneno hayo kayazungumza waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo...
  15. cutelove

    Nakubaliana na Marekani na NATO kuvamia nchi mbalimbali duniani

    Wakati vita ikishika kasi kule Ukraine dhidi ya Putin ,nashangaa baadhi ya watu kwenye majukwaa ya mitandao ya kijamii wakimuunga mkono kuivamia Ukraine na inasikitisha sana badala ya kukemea Wengi hutetea uvamizi wa USA na NATO kwenye mataifa mbalimbali duniani ikiwemo Libya ,Iraq nk Ukweli...
  16. kt the irreplaceable

    Tafakuri jadidi: Je, Urusi ametengwa na washirika wake? Ikiwa NATO ataingia Ukraine kupambana, Urusi ataweza kupambana peke yake?

    Ndugu zangu ikiwa bado kuna mgogoro ukiendelea kufukuta nchini Ukraine, tumeshuhudia vikwazo na matamko mazito kutoka kwa NATO members na European union kwa Urusi. Ikiwa nato ataamua kwenda field physically kupambana na majeshi ya urusi, je Urusi ataweza kupambana mwenyewe? Ikumbukwe Nato ni...
  17. MALCOM LUMUMBA

    Donald Trump akimkemea katibu wa NATO Jens Stoltenberg kuhusu nord stream 2

    Unajua Donald Trump alikuwa na madhaifu yake na unaweza kumpuuza, lakini huwezi kupuuza uwezo wake wa kuangalia mambo kwa mapana. Utawala wake ulikuwa ni tofauti kabisa na watu walivyotegemea, ambapo tulidhani inaweza kutokea vita kubwa lakini haikutokea. Kwenye hii video alikuwa anazungumza na...
  18. Influenza

    Mzozo wa Urusi v Ukraine: Marekeni yaongeza majeshi katika nchi za NATO. Wanajeshi 7,000 kwenda Ujerumani

    Rais wa Marekani, Joe Biden ameagiza Wanajeshi 7,000 kupelekwa Ujerumani ili kuweza kusaidia kuimarisha kuzuia uvamizi wa Majeshi ya Urusi Wanajeshi hao pamoja na Vifaa wezeshi wataenda Ujerumani kuwahakikishia Washirikia wa NATO kuzuia uvamizi wa Urusi na kujiandaa kuunga mkono matakwa...
  19. S

    Rais wa Ukraine awaambia NATO: 'Hii yaweza kuwa mara yenu ya mwisho kuniona nikiwa hai!'

    Rais wa Ukraine Zelensky amewaonya marais na viongozi wa Ulaya katika video call (conference call) kuwa huwenda wasimuone hai tena milele kufuatia jeshi la Urusi linavyozidi kujikusanya na ktk viunga vya mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, alimo rais huyo. Ambapo yeye ni taget namba 1. Ktk conference...
  20. S

    Mzozo wa Ukraine: NATO yaanza kupiga jaramba

    Response Force has been activated as a defensive measure in response to Russia's ongoing invasion of Ukraine. NATO Supreme Allied Commander Gen. Tod Wolters activated the multinational force consisting of land, air, sea and special operations forces from the allies that can deploy quickly in...
Back
Top Bottom