Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche leo Oktoba 22, 2026 akitokea Katesh - Manyara kuelekea Singida amewashangaa wanaosema kuwa anatumia lugha ngumu kuzungumzia utawala wa Rais Samia Suluhu huku akisema Mwenyekiti wao amepewa kesi ya kusingiziwa kisa anatafuta mabadiliko ya Katiba, pia...