carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche leo Oktoba 22, 2026 akitokea Katesh - Manyara kuelekea Singida amewashangaa wanaosema kuwa anatumia lugha ngumu kuzungumzia utawala wa Rais Samia Suluhu huku akisema Mwenyekiti wao amepewa kesi ya kusingiziwa kisa anatafuta mabadiliko ya Katiba, pia watu wengi waeuawa na wengine wametekwa pamoja na chama cha CHADEMA kufanyiwa maovi makubwa, amehoji wanataka aongee kwa lugha gani itakayofanya RAIS Samia asikie?
"Unataka kumlaumu muhanga? yaani lugha yetu ni mbaya kuliko watu walivyoiawa?, unataka kulaumu kwa lugha tunazotoa kuliko Lissu anavyoteswa gerezani bila kosa lolote?, unataka kulaumu kwa lugha zetu huku watu wanaonewa?, Watanzania watuelewe.
Chanzo : Chadema official