nauli kupanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania KERO Nauli kupanda imezidi kuwa kero kwa abiria

    Ongezeko la gharama za usafiri licha ya mafuta kushuka bei limeendelea kuwa changamoto kwa baadhi ya wananchi wanaotumia usafiri wa umma katika shughuli zao za kila siku, huku abiria wakieleza kuwa nauli kubwa inaongeza mzigo wa gharama za maisha. Baadhi ya abiria wanasema wanalazimika kutumia...
  2. JamiiForums Tanzania Nauli zimeshapanda Arusha licha ya LATRA kupiga marufuku wasafirishaji kupandisha nauli, wananchi watoa milio

    Wakuu, Wimbi la kupanda kwa bei ya mafuta nchini limeanza kuleta mtafaruku mkubwa katika sekta ya usafiri, huku kukiwa na malalamiko mazito kutoka kwa abiria kuhusu ongezeko la nauli kinyume cha sheria. Malalamiko ya Wananchi Abiria mmoja mkoani Arusha ameeleza kuwa amekumbana na hali ngumu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…