nauli za mwenedokasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Mwendokasi wameleta nauli ya ki-VIP lakini unakaa muda mrefu kusubiri gari kituoni, inapoteza maana ya VIP

    Mimi ni mwananchi wa Mbezi Mwisho, huduma ya mwendokasi wameleta route ya kutoka Mbezi kwenda Gerezani na kivukoni, sasa hiyo huduma wanaita VIP maana yao kwamba gari halisimami popote kituo cha kwanza ni Fire nauli yake ni elfu 2 (2000/=). Soma Pia: Kusubiri Basi la Mwendokasi kituoni dk 60 -...
  2. JamiiForums Tanzania LATRA: Nauli ya Mabasi ya Mwendokasi Kubaki TSh. 750 Hadi watakapojiridhisha Changamoto zote za usafiri huo zimekwisha

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imeeleza kuwa nauli ya mabasi ya mwendo wa haraka itaendelea kuwa shilingi 750 hadi pale watakapojiridhisha kuwa changamoto zote za usafiri huo zimekwisha. Baada ya hapo, nauli hiyo itapandishwa na kufikia shilingi 1,000. Kauli hiyo imetolewa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…