HOJA Mwendokasi wameleta nauli ya ki-VIP lakini unakaa muda mrefu kusubiri gari kituoni, inapoteza maana ya VIP

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
A

Anonymous

Guest
Mimi ni mwananchi wa Mbezi Mwisho, huduma ya mwendokasi wameleta route ya kutoka Mbezi kwenda Gerezani na kivukoni, sasa hiyo huduma wanaita VIP maana yao kwamba gari halisimami popote kituo cha kwanza ni Fire nauli yake ni elfu 2 (2000/=).

Soma Pia: Kusubiri Basi la Mwendokasi kituoni dk 60 - 120 ni kero kubwa na inapoteza maana ya mwendokasi

Sasa kero yangu ni kwamba kitu cha kwanza tunakaa mda mrefu kituoni Mbezi magari yanachelewa cha pili wanasimama ovyovyo njiani wakati tumeaminishwa kuwa halisimami popote mpaka Fire yaani ni VIP, sasa hatuoni hata faida ya hiyo nauli kubwa tunayolipa.
 
Kasi ya technology ipo chini sana hio ilibidi watu wawe wanafanya booking kabla gari iwe inatoka full kutoka sehemu A kwenda sehemu B vinginevyo bila kusimama mtakua mnasafiri abiria 2 au 3 tu
 
Mimi ni mwananchi wa Mbezi Mwisho, huduma ya mwendokasi wameleta route ya kutoka Mbezi kwenda Gerezani na kivukoni, sasa hiyo huduma wanaita VIP maana yao kwamba gari halisimami popote kituo cha kwanza ni Fire nauli yake ni elfu 2 (2000/=).

Soma Pia: Kusubiri Basi la Mwendokasi kituoni dk 60 - 120 ni kero kubwa na inapoteza maana ya mwendokasi

Sasa kero yangu ni kwamba kitu cha kwanza tunakaa mda mrefu kituoni Mbezi magari yanachelewa cha pili wanasimama ovyovyo njiani wakati tumeaminishwa kuwa halisimami popote mpaka Fire yaani ni VIP, sasa hatuoni hata faida ya hiyo nauli kubwa tunayolipa.
Kibibi kafeli kila sehemu.
 
VIP hadi kwenye mwendokasi? 😂😂😂
Mbona vichekesho hivi, Lol
 
Wajinga ndio waliwao, ety vip Kwenye mwendokasi 😂
 
Ukitaka kujua tz hamna vip angalia mabasi yameandikwa luxury coach
Ukingia ndani unakuta ya kawaida tu
Kibongo bongo, luxury n uwepo wa choo 😂 sasa mm Naweza kusafiri kuanzia mwanzo hadi mwisho wa safari na nisitoke kwenye siti Hata kwenda kula.
 
Back
Top Bottom