Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Kutoka mbezi hadi kariakoo/kivukoni iwe 10k kwenye basi la mwendokasi?Ndio maana wanashusha hovyo njiani,walau ianze 10,000
Haya 😎
Kutoka mbezi hadi kariakoo/kivukoni iwe 10k kwenye basi la mwendokasi?Ndio maana wanashusha hovyo njiani,walau ianze 10,000
Upigaji apo 😂🤠😂Ndio maana wanashusha hovyo njiani,walau ianze 10,000
Waende kujifunza kwa wenzao wa Sgr, namna ya kutunza muda.Mimi ni mwananchi wa Mbezi Mwisho, huduma ya mwendokasi wameleta route ya kutoka Mbezi kwenda Gerezani na kivukoni, sasa hiyo huduma wanaita VIP maana yao kwamba gari halisimami popote kituo cha kwanza ni Fire nauli yake ni elfu 2 (2000/=).
Soma Pia: Kusubiri Basi la Mwendokasi kituoni dk 60 - 120 ni kero kubwa na inapoteza maana ya mwendokasi
Sasa kero yangu ni kwamba kitu cha kwanza tunakaa mda mrefu kituoni Mbezi magari yanachelewa cha pili wanasimama ovyovyo njiani wakati tumeaminishwa kuwa halisimami popote mpaka Fire yaani ni VIP, sasa hatuoni hata faida ya hiyo nauli kubwa tunayolipa.