Habari wana JF Afya!
Jana katika soko fulani nikakutana na jamaa anauza powerbank, mchanganyiko wa nazi, karanga, na muhogo kwa ajili ya mambo yetu yale.
hizi ukila zinakua ni za muda mrefu au unajibust kwa muda tu...???
vipi ukila alafu usikutane na mwenza wako madhara yake ni yapi..?
Habari za Jumamosi wakuu, natumai mpo salama. Leo nawaletea mapishi ya wali, samaki wa nazi na mboga.
Ukipenda kuangalia video ya haya mapishi unaweza kuangalia hapo chini. Ukipenda unaweza “kuilike” hiyo video, “kusubscribe” kwenye channel yangu na kuangalia video nyingine.
Turudi kwenye...
Soon tutaanza kuona masela wanawinda mende vyooni badala ya mkongo.
Hili pia ni fundisho la kutokuendekeza kula kula ovyo kwa michepuko. Kutoka mende mpaka kuwekewa kinyesi kabisa ni hatua chache tu. Kidume unajiona unapendwa kwa kukarangiziwa kumbe unalishwa makimba.
Mbaya zaidi kuna maslay...
Sifa moja ya mwanamke ni kujua kupika
Kuna hii story ya Manka aliolewa na jamaa wa pwani akaachiwa mazagazaga na mumewe akaabiwa apike wali nazi.
Alichofanya anakijua mwenyewe, nazi ikawekwa nzimanzima kwenye wali. Manka anawakilisha wanawake wengi msiojua kipika.
Kuna wakati wanaume...
Mabibi na mabwana, nina nazi nauza ndugu zangu, kwa oda zimebaki chache, aseme mtu alipo nitamletea,
Wahi kabla hazijaisha, ila hizi zikiisha naweza pia kukuchukulia kwenye mashamba ya jirani kwa oda maalum, mzigo upo njiani unakuja dsm kigamboni, unatokea mkuranga, hivyo watu wa maeneo haya...
Kwa haraka haraka nimeambiwa hiki kilimo kina lipa.
Naambiwa shina Moja la Nazi linatoa Nazi 15 hadi 20 kila baada ya miezi 2.
Ukiwa na mashina 1,000 una Nazi 15,000.
Ukiuza kwa 600 kila Nazi ( 1,500 x Shilingi 600) ni sawa na Shilingi 9,000,000 kila baada ya miezi miwili.
Wastani wa...
Umofia kwenu wanajukwaa
Ni ajabu na raha kuona mamlaka zimeacha kupambania watu wake katika msingi wa kila agenda ya maadui wa taifa.
Hususani adui maradhi, sasa hivi UKIMWI ama HIV watu hawaogopi wamebuni njia ya kutumia mafuta ya nazi ambapo jinsia ke humiminiwa mafuta hayo insido (ukeni) na...
Top Image: Hitler’s Foreign Affairs Advisor Joachim von Ribbentrop and Japanese Ambassador Kintomo Mushanokōji sign the Anti-Comintern Pact in Berlin, November 25, 1936. Imperial War Museum, B542 GSA 290.
The signing of the Anti-Comintern Pact between Germany and Japan in 1936 was one of the...
Wakuu,
Kunataaliga zilizosamba toka jana na leo kuwa,wauza Nazi masoko yote ya Dar walikataza kuwauzia Nazi wapenzi na maahabiki wa timu ya simba, ndiyo sababu ya kupoteza mchezo kwa watani wao wa jadi Yanga
Tuna sababu moja kubwa ya kuukata Mradi wa Wachina wa Bandari ya Bagamoyo nayo ni historia mbaya ya China kona mbalimbali za dunia walipotekeleza miradi ya aina hii au walipozikopesha nchi mikopo mikubwa ya miondombinu. Wamechukua bandari Sri Lanka, Pakistan, Australia na Djibouti kupitia...
Niaj wadau,
Najua saivi life liko mbaya sana pesa zimekuwa adimu michongo imekuwa adimu sana kuna wazo nilipata juzi nilipewa na rafiki angu ambae yupo Lindi akanipa mchongo wa kwenda lindi kununua gunia la nazi na kila gunia moja zinaingia nazi 200 na kwa bei ya kule aliyoniambia kuwa nazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.