The Premier League on NBC and Premier League on NBCSN is the blanket title for broadcasts of the Premier League by the networks of NBC Sports. NBC acquired rights to the Premier League in 2013, and reached a six-year extension in 2015.
Leo saa 10:00 jioni Simba SC itakuwa kibaruani kucheza dhidi ya Coastal Union katika dimba la Uhuru Dar es Salaam.
Ni mchezo wa raundi ya tatu ya NBC Premier League ambapo kila timu inahitaji alama tatu ili kujiweka katika nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi.
---
Kikosi cha Simba kinachoanza...
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said asipoachia ngazi Yanga SC yetu tunamroga ili nae ahamie huko Azam FC au kwa Simba SC alikowauzia Bernard Morrison aliyetutia sana Hasara Yanga SC katika Kesi yake.
Injinia Hersi Said tuachie Timu yetu.
NDUGU WANAJAMVI ILI KUWEZA KUPATA LADHA YA KABUMBU VITU VIFUATAVYO LAZIMA VIFANYIE KAZI
Usajili wa wachezaji bora
Benchi la ufundi bora na lililokamilika
Maandalizi ya msimu/ pre season
Viwanja bora vya kuchezea mpira
Vifaa bora na vya kutosha vya kurushia matangazo kutoka kwa mdhamini...
Majira ya Saa 10:00 Alasiri kwa masaa ya Afrika Mashariki, Ihefu Fc itawakaribisha Simba Sc katika dimba lao la Highland Estates katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC.
Habari kubwa leo, nani wa kumzuia Jean Baleke ambaye amekuwa hazuiliki sasa, kwa taarifa yako Baleke kwasasa anafunga kila...
Habarini Wananchi wote wa JF..!
Bila kupoteza muda naomba nisiwachoshe tusichoshane..Ukweli huwa ni mchungu sana..hii imewafanya watanzania wengi wanapenda uongo wenye kufariji kuliko ukweli unaoumiza..
Awali nilikuwa nikitizama hizi timu za Bongo niliona zinachechemea sana hakuna Lolote Jipya...
Mchezo ni saa 16:00Vikosi vyote kwa timu mbili vimetolewa
Timu zinaingia uwanjani
Mchezo unaanza
1' Phiri anafika langoni mwa Mtibwa anashindwa kutumia nafasi vizuri
3'Goooooooooo
Jean Baleke anafunga goli kwa kwanza kwa Simba licha ya kubanwa na walinzi
7' Goooooooooo
Baleke anafunga goli la...
Je, Yanga itaendeleza ubabe wake wa kutokufungwa? Ama Ihefu watavunja mwiko?
Tuungane pamoja katika huu uzi...
Kikosi cha wenyeji, Ihefu SC
Kikosi cha wageni, Yanga.
UPDATE: MANENO YA MAKOCHA KABLA YA MECHI
"Mechi ya leo inaweza kuwa ni mechi ngumu kuliko watu wanavyofikiria" Cedrick...
Leo tena Mabigwa wa nchi, FA na Ngao ya jamii timu ya Yanga inaanza rasmi mbio za ubigwa wa ligi kuu Tanzania Bara.
Leo majira ya saa 10:00 jioni macho na masikio ya Watanzania yataelekea huko jijini Arusha, Yanga watakipiga na Polisi ya Tanzania
Mchezo huu huenda ukawa na ushindani mkubwa...
Kwa miaka ya ivi karibuni league kuu ya soka ya Tanzania imeongeza hamasa ya kutazamwa na baadhi ya wana habari wa michezo wa kubwa toka nje ya Tanzania.
Kwa kipekee kabisa mchango unaofanywa na hawa wafanyabiashara wakubwa kuingia ktk soka na kuweka pesa ktk vilabu ambavyo vina umri mkubwa...
Leo kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Mabingwa wapya wa Tanzania Bara, Dar es Salaam Young Africans almaarufu kama Yanga dhidi ya timu ya Mbeya City kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya
Mechi hii ya leo itatumika pia kwa kuikabidhi Yanga kombe la ubingwa wa ligi hiyo, kombe la 28...
Kwanza mkataba huu ni wa kifisadi na unazinyima haki ya kibiashara radio za jamii. TBC ni redio ya umma na ina vyanzo vingi vya mapato ikiwa na pamoja na kodi zetu hivyo kuipa hati miliki hiyo siyo haki kabisa kwa radio binafsi ambazo pia zingependa kuwapa uzoefu watangazaji wake na kuongeza...
Leo tarehe 23/04/2022 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, vinara wa ligi Dar Young Africans almaarufu kama Yanga watashuka dimbani kuikaribisha timu ya Namungo FC kwenye mechi la NBC Premier League
Nitakuwa nawe kukuletea yatakayojiri kwenye uwanja huo, mpira utaanza saa moja kamili usiku kwa saa...
Naaaam, sasa hii ndio maana halisi ya Udhamini
Maana halisi ya usimamizi wa Soka letu
Maana halisi ya kujali vipaji vya vijana wetu.
Kuna wazee wengi nilishuhudia hasa nikiwa Zanzibar ambako binafsi ninaamini ndiko kilipo kisima cha vipaji vya hali ya juu vya soka, mzee mmoja alimzuia kijana...
Niliwaamini akina Abdi Banda wa Mtibwa Sugar FC, Kelvin Yondan wa Geita Gold FC na huyu Bwege wa juzi Andrew Vicent wangenifanyia vyema hii Kazi yangu Maalum kumbe ndiyo Kwanza wakawa Wanawachekea tu mpaka hata Kuwazawadia Magoli ya Michongo na sasa hatukai kwa Amani hapa Mjini.
Natamani mno...
Ingekuwa ni enzi zangu nacheza mpira (naupiga mwingi) nina uhakika huyu Mshambuliaji Mbovu wa Yanga SC Fiston Mayele sasa hivi angekuwa Muhimbili Hospitali anauguza Jeraha la Miaka 6 ijayo kwa Rafu ambayo ningemchezea.
Mabeki wa NBC Premier League (Siku hizi) ni Wapuuzi sana na ndiyo maana...