nbc premier league

The Premier League on NBC and Premier League on NBCSN is the blanket title for broadcasts of the Premier League by the networks of NBC Sports. NBC acquired rights to the Premier League in 2013, and reached a six-year extension in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kati ya hawa Washambuliaji Wawili wa NBC Premier League Lusajo na Mayele nani ni Mshamba Juha na nani ni Mstaarabu Mwerevu?

    Lusajo (Namungo FC ) mwenye Goli 10 ila hana Mbwembwe na Kwake ni Kawaida na Mayele mwenye Goli 7 tu ila Mbwembwe Tanzania nzima? Nasubiri Majibu yenu huku nikijiandaa kuendelea kuiletea Heshima zaidi Tanzania hasa kwa Mambo makubwa na ya Kimataifa baada ya kutoka Niger juzi nikalala Ulaya...
  2. Idugunde

    Wafanyakazi 12 wa Azam Tv wapata ajali mlima Kitonga. Walikuwa wanaelekea jijini Mbeya kurusha matangazo ya NBC premier league

    Azam Media Limited (AML) inautaarifu umma kuwa wafanyakazi wake 12 waliokuwa wanakwenda mkoani Mbeya kwa ajili ya kazi ya kurusha matangazo ya mechi za Ligi Kuu ya NBC wamepata ajali baada ya gari lao kusukumwa na lori lililokuwa likirudi nyuma kwa dharula katika Mlima Kitonga. Ajali hiyo...
  3. Scars

    Simba 1-0 Prisons | Ligi kuu bara | Benjamin Mkapa

    Simba imeshinda mchezo wake wa ligi kuu bara dhidi ya wajelajela wa Tanzania Prisons, goli pekee la Meddie Kagere alilofunga kwa mkwaju wa tuta dakika ya 64 baada ya muamuzi wa mchezo kusema beki wa Tanzania Prisons kanawa mpira kwenye eneo la hatari. FT: Simba SC 1-0 Tanzania Prisons 64'...
  4. ESPRESSO COFFEE

    Kagera Sugar 1 - 0 Simba SC | Ligi kuu bara | Kaitaba

    NBC Premier League leo kwa mechi moja ya kiporo. Ni Kagera Sugar watakuwa uwanja wa nyumbani kuwaalika mabingwa watetezi Simba SC. Je, ni Kagera ama Simba SC nani kukila kiporo hiki? Mechi hi itaruka mubashara Hapa Hapa JF UPDATE Mpira Umeshaanza hapa Dimba La Kaitaba. 17” Kagera Sugar 0...
  5. GENTAMYCINE

    Upuuzi wa Kocha Pablo wa Simba SC unavyozidi kuisafishia Yanga SC njia ya kuwa Mabingwa wa NBC Premier League kwa 75% mpaka sasa

    Yaani Kocha kabisa umeshapoteza Mechi Mbeya halafu Mechi muhimu ya leo Morogoro unakuja Kumjaribu Beki Mbovu Gadiel Michael wakati Mchezaji mahiri Mohammed Hussein Tshabalala unae na hujataka Kumuanzisha? Yaani Kocha kabisa una Wachezaji very talented and creative kama Chama na Morrison unaacha...
  6. GENTAMYCINE

    Simba SC 'tumezubaa' sana, 'tunakomolewa' huku Yanga SC ikitumia mwanya huu 'Kujiimarisha' 'zaidi 'Kimkakati' ili kuwa 'Mabingwa wa NBC Premier League

    Kwa masikitiko makubwa Asubuhi ya leo nilianzisha Uzi hapa JamiiForums nikisema kuwa Kitengo cha Umafia Simba SC Kinepwaya na kwamba nipewe Mimi na Wenzangu Sita (6) na Yanga SC hatokuwa Bingwa kwa Mshangao huo Uzi siuoni (kwa Lugha sahihi ni kama vile Umefutwa) kwasababu wazijuazo Walioufuta...
  7. T

    Holding midfielders bora kuwahi kutokea katika NBC premier league

    1.Jonas Mkude 2.Kanoute 3.Tadeo Lwanga 4.Mzamiru Yasin Uzi tayari...karibuni
  8. M

    Serikali na TAKUKURU imulikeni NBC Premier League, Pesa za GSM kwa Marefa ili Kuibeba Yanga SC zinaharibu Soka letu

    Nashukuru leo nilibahatika Kukaa Ukumbi Mmoja waliokuwa baadhi ya Wakufunzi wa Waamuzi nchini, Kiongozi Mmoja wa TFF na Mchezaji wa zamani wa Yanga SC Magomeni Mapipa ambapo Wote kwa pamoja walionekana Kuchukizwa na Penati ya Kiuonevu dhidi ya Namungo FC na ya Kuipendelea ( Kuibeba ) Yanga SC...
  9. ESPRESSO COFFEE

    Simba Sc 0-0 Coastal Union | Ligi kuu | Benjamin Mkapa

    Coastal Union haijawahi kupata ushindi mbele ya Simba kwenye ligi kuu kwa misimu mitatu mfululizo iliyopita tangu msimu wa 2018/19. Katika mechi sita walizokutana, Simba imeshinda mechi tano na kutoka suluhu mechi tatu, Jumla Ya Magoli 21 Wagosi wa Kaya Wafungwa na simba katika Michezo hii 6...
  10. ESPRESSO COFFEE

    NBC Premier League: Police Tanzania 0-1 Simba SC (27/10/2021)

    Baada Ya Kupigwa 3 kwa Moja Na Jwaneng Galaxy, Leo simba Wanaikaribisha Polisi Tanzania Kwenye Mchezo wa Ligii kuu Tanzania Bara. Polisi Tanzania Wamekuwa na Mwanzo Mzuri wa Ligi hii huku Simba Akiwa amefungwa michezo yote aliyocheza uwanja Wa Benjamini Mkapa Kwa msimu huu. Alifungwa na Yanga...
Back
Top Bottom