nccr mageuzi

The National Convention for Construction and Reform – Mageuzi, popularly known by its acronym NCCR–Mageuzi, is an opposition political party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Cute Wife

    Pre GE2025 Joseph Selasini: Hatususii uchaguzi, muda uliobaki hautoshi kufanya mabadiliko

    Wakuu, Panazidi kuchangamka huko, Baadhi ya vyama vya siasa nchini vimesema haviko tayari kususia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu kwa kigezo cha marekebisho ya katiba mpya. Haya yamebainishwa mkoani Morogoro na Makamu Mwenyekiti Taifa Chama cha NCCR Mageuzi Joseph...
  2. Tlaatlaah

    Pre GE2025 CUF, NCCR Mageuzi na ACT Wazalendo ndio vyama vya upinzani vilivyo tayari kuikabili CCM kwenye Uchaguzi Mkuu

    Kwa namna ya pekee sana, Chadema wameamua kujimaliza wenyewe kwa kujiengua na kususia uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025, na kukwepa kisayansi aibu ya kushindwa vibaya sana na chama Tawala CCM. Hali hiyo inamaanisha kwamba, vyama vya CUF, NCCR MAGEUZI, ACT-Wazalendo na vyama vingine vya...
  3. upupu255

    Pre GE2025 Mgombea urais NCCR Mageuzi kujulikana Aprili 30

    Hekaheka za uchaguzi mkuu zinaendelea kushika kasi huku vyama vya siasa vikiendelea na mchakato wa kuwapata wagombea wa nafasi ya urais. Kwa upande wa NCCR Mageuzi, Mkuu wa Idara ya Oganaizesheni na Utawala wa chama hicho, Florian Mbeo, akizungumza leo Jumatatu, Februari 24, 2025 na Mwananchi...
  4. T

    NCCR Mageuzi yatoa msimamo kutoshirikiana na chama chochote uchaguzi mkuu

    Chama cha NCCR Mageuzi kimesema hakitashirikiana na chama chochote cha siasa katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu kutokana na maumivu walioyapata uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 walipojiunga na ukawa. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa chama hicho Ambari Haji Hamisi wakati akizungumza na waandishi...
  5. T

    Pre GE2025 NCCR Mageuzi wasema hawapo tayari kuunganisha nguvu na chama chochote cha upinzani

    Wakuu NCCR nao nao wanadai hawapo kuunganisha nguvu na chama chochote cha upinzani, wanasahau kidole kimoja hakivunji chawa Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar...
  6. M

    Kwanini niwaamini chadema na sio Act. Chauma, na Nccr mageuzi?

    Nani kawahi kumsikia Lissu au Heche kuzungumzia maswala ya jamii? Wao kutwa kuzungumzia uchaguzi, kubishana na Wasira. Lkn kuhusu nini watafanya katika sera za elimu, afya, miundo mbinu sijawahi kuwasikia. Angalau Act , nccr wao huzungumzia hilo.
  7. Cute Wife

    Pre GE2025 Mwenyekiti NCCR Mageuzi: Doto Biteko apite bila kupingwa nafasi ya ubunge ndani ya CCM, kwenye udiwani tutapambana

    Wakuu, Mwakilishi wa vyama rafiki vya CCM, Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Bukombe ameanza kwa kuwakushuru CCM kuwaalika maana waliomba makusudi waalikwe kwenye mkutano huo:BearLaugh::BearLaugh: anasema eti amekuja kuona utekelezaji wa Irani ya CCM na mbunge ametende kweli kweli na kwamba hana...
  8. J

    Kwaheri Chadema ukifika Uendako wasalimie NCCR Mageuzi, CUF na TLP waambie CHAUMA anawasalimia sana!

    Nakumbuka NCCR Mageuzi walimdharau Lyatonga Mrema Lakini alivyowatenda Chama kimedumaa hadi Leo CUF nayo ndio wale wale Sasa ni zamu ya chadema Nawatakia uchaguzi mwema!
  9. J

    Chama cha Upinzani ambacho hakinaga mmiliki ni NCCR Mageuzi, kinafahamika Nchi mzima Tundu Lissu arejee kukiimarisha

    Nccr Mageuzi ni kundi kubwa lililounda movement ya mabadiliko ya Kisiasa nchini Vyama vingine Vyote viliundwa Kwa Wazo la Mtu mmoja mmoja aliyeamua kuwashirikisha Rafiki zake Ili Kupata idadi ya Wanachama wanaohitajika kisheria kusajili Chama Mfano Chadema ni Wazo la Mzee Tuntemeke Sanga...
  10. mkuuwakaya

    Tetesi: Lissu kuhamia NCCR Mageuzi mwezi February 2025. Selasini ajiandae.

    Mshukuru Mungu kuvuka mwaka na kupata hii habari ikiwa bado ya moto. Nimepenyezewa hapa na mtu wa jikoni ndani kabisaa, kwamba mheshimiwa sana Lissu ataenda kuimarisha NCCR Mageuzi. Hii inatokana na kuona kabisa Maji yamezidi unga. Safari hii Lissu kajaa kwenye mfumo bila kujijua. Kashatiwa...
  11. J

    Mbowe alitoka CCM akajiunga Chadema na Tundu Lisu alitoka NCCR Mageuzi akajiunga Chadema, Katiba ya kwanza ya Chadema walikopi ya NCCR Mageuzi!

    Mimeona niwakumbushe ndugu zangu Wahenga huko Chadema kwamba Tundu Lisu alishakuwepo Chadema kabla hata hajakabidhiwa KADI Na ukiangalia kifalsafa Tundu Lisu na Mzee Marando ndio walileta Mageuzi makubwa Chadema kabla Mbowe hajamleta aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Ulinzi na Foreign...
  12. Nehemia Kilave

    Nikisema Tundu Lissu, Mbatia na Slaa waunganishe nguvu pale NCCR MAGEUZI tupate Chama makini na imara nitakuwa nimekosea?

    Habari jf , baada ya mwaka 2022 Mbatia kusimamishwa NCCR MAGEUZI , May 2024 mahakama ilimsafisha na kuamuru Selasini amlipe milioni 80 Mbatia kwa kumchafua . Vivyo hivyo kwa Dr slaa , mazingira ya kuondoka kwake CHADEMA yaligubikwa na sintofahamu nyingi sana . Tundu lissu baada ya kutangaza...
  13. Mkalukungone mwamba

    LGE2024 Nape: Migogoro ya CHADEMA ni dalili za kuvunjika kama CUF na NCCR Mageuzi

    Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema migogoro inayoendelea kwenye chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni dalili za kuvunjika kwa chama hicho. Vyama vyote vya Siasa vikikaribia kufa au kufutika kwenye ramani wananza kupigana wenyewe kwa wenyewe. Nape ameyasema hayo Mkoa Rukwa...
  14. ChoiceVariable

    Pre GE2025 Kama Mara ya Kwanza Waliachwa Wakaandamana, Wakiachwa tena na Sasa na Wakapewa Ulinzi Kuna shida Gani?

    Ushauri: Kuendelea kuwabana bana kuwazonga zonga ni kuwapa promotion na attention ambayo hawakustahili. Kama walivyoachwa wakati ule hata Sasa Wakiachwa hakuna Cha maana watapata ila kuwazonga ni kuwapa attention kubwa bila sababu za msingi. Mwisho Gen Z hailetwi na Wanasiasa Bali huzuiwa...
  15. Mjomba side

    Kiwanja cha NCCR MAGEUZI chauzwa Dar

    KIWANJA kinachomilikiwa na chama cha NCCR MAGEUZI, kilichopo eneo la Mbopo, kata ya mabwepande, wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam kimeuzwa na matapeli wiki chache zilizopita. Baadhi ya wananchi wa mtaa wa Mbopo wamesema kuwa kiwanja hicho kimenunuliwa wiki chache zilizopita na mmiliki...
  16. R

    Tundu Lissu ashauriwe ajiunge na NCCR Mageuzi

    Habari JF, Nionavyo mimi huyu mwamba huko CHADEMA ni kama anatumiwa kuhalalisha kinachodaiwa chama kinafanya kazi na mikutano kwa maelekezo kutoka Chama Tawala. Mlio karibu na Lissu mshaurini aungane na Mbatia NCCR Mageuzi, sisi wazalendo wa hili Taifa tutawaunga mkono. Nasema NCCR Mageuzi...
  17. B

    NCCR Mageuzi wapinga vikali mkataba wa LATAFIMA kuzuia Uvuvi ziwa Tanganyika

    NCCR - MAGEUZI wapinga vikali mpango wa serikali ya Tanzania ulioridhia kuzuia uvuvi kwa miezi mitatu mitatu katika miaka ya 2023, 2024 na 2025 ambao miezi mitatu ya mwanzo itaanza mwezi Mei 2023 ziwa Tanganyika kupumzisha uvuvi kwa miezi mitatu kisha mpango huo kurudiwa mwaka 2024 na mwaka 2025...
  18. BARD AI

    Msajili wa Vyama abariki Mbatia kufukuzwa NCCR Mageuzi

    Ikiwa imepita miezi mitano tangu kuibuka kwa mvutano wa makada ndani ya Chama cha NCCR Mageuzi, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imebariki kung’olewa kwa aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia. Mei 21, Halmashauri Kuu ya NCCR-Mageuzi iliitisha mkutano uliofanyika katika...
  19. J

    Kama TLP ina ghorofa Magomeni, CUF inalo Buguruni na NCCR walikuwa nayo Bunju. Nashauri Wana-CHADEMA kuhakiki mali zenu sasa

    Kama Vyama hohehahe kama akina TLP, akina CUF na NCCR wamemiliki mashamba na Maghorofa ni wazi Chama cha mabepari Chadema kinamiliki mali nyingi. Hata CCM kama siyo yule Shujaa hadi leo tusingejua kama Channel ten ni mali ya chama pamoja na ile kampuni ya Simu za mikononi inayomiliki 40% ya...
  20. BARD AI

    NCCR Mageuzi wamuomba Rais Samia kumfukuza kazi Jaji Mutungi

    Chama cha NCCR-Mageuzi, upande wa Mwenyekiti James Mbatia umemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kumfuta kazi Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi wakidai inashindwa kutekeleza majukumu yake kwa weledi ikiwamo kusuluhisha mgogoro unaoendelea ndani ya chama hicho. Chama hicho...
Back
Top Bottom