The National Convention for Construction and Reform – Mageuzi, popularly known by its acronym NCCR–Mageuzi, is an opposition political party in Tanzania.
Habari wana JF ,Najua vijana wa CHADEMA hawatafurahishwa sana ila ukweli ni kuna vya viwili vyenye uwezo na vigezo vya kuongoza Nchi ambavyo ni CCM na NCCR Mageuzi .
Hivi vyama vina sifa kuu Moja na Vyama vya wananchi tofauti vyama vingine ni vya mtu au kikundi Cha watu hivyo ni Hatari...
"Chama cha Mapinduzi (CCM) kinakanusha vikali madai yaliyotolewa na mwanasiasa Joseph Selasini yanayodai CCM kimewahi kumtumia James Francis Mbatia au kuwa na ushirikiano na NCCR-MAGEUZI”
Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, leo Mei 25 imebariki Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia na Sekretarieti yake yote kusimamishwa na kuwataka kutojihusisha na siasa ndani ya chama hicho hadi uamuzi huo utakapoamuliwa vinginevyo.
Mnamo Mei 21, Halmashauri Kuu ya Chama...
Hakuna ubishi kwamba ACT Wazalendo ni tawi la CCM na kwa pamoja wako Serikalini
Kadhalika ni wazi kuwa NCCR Mageuzi inayoongozwa na Mwenyekiti James Mbatia akisaidiwa na Katibu Mkuu Komu na Mzee Selasini sasa ni rasmi CHADEMA-B
Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR Mageuzi imemsimamisha Mwenyekiti wake, James Mbatia kufanya shughuli zote kisiasa za chama hicho mpaka pale atakapoitwa kwenye mkutano mkuu kujieleza.
=======
Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi imemsimamisha Mwenyekiti wa Chama hicho, James Mbatia na...
Viongozi wa kitaifa wa NCCR MAGEUZI wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti Zanzibar Ambar Haji Khamis wamehudhuria mkutano ulioandaliwa na TCD ambao mgeni rasmi ni Rais Samia Suluhu Hassan, leo Aprili 5, 2022
Mkutano huo unajadili maridhiano ya kitaifa katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma.
Viongozi...
Jumuiya ya Vijana wa chama cha NCCR Mageuzi (JUVIMA) wameitaka Serikali kuwa sikivu kusikiliza matakwa ya muda mrefu ya wananchi wake kuhusu katiba mpya.
Akizungumza makao makuu ya cha hicho jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa JUVIMA, Bw. Nicolas Clinton amesema kuwa takwa hilo la jamii ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.