Marekani imekuwa mfadhili mkubwa wa misaada ya kifedha kwa mataifa mbalimbali barani Afrika, ikilenga sekta za afya, elimu, usalama na maendeleo ya kiuchumi. Kwa mwaka wa fedha wa 2023, nchi zifuatazo zilipokea msaada mkubwa zaidi kutoka Marekani:
1๏ธโฃ Misri โ Dola bilioni 1.5 (nafasi ya 4...
UFISADI WA ELF AQUITAINE: NJAMA ZA KIFEDHA KATI YA UFRANSA NA AFRIKA
Mwaka ni Julai 1994. Mdhibiti wa masoko ya fedha wa Ufaransa ametuma ripoti yenye utata kwa Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Umma wa Paris. Ripoti hiyo ilihusu uwekezaji wa kutiliwa shaka uliofanywa na moja ya kampuni kubwa za...
Tanzania inakuwa nchi mwenyeji wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) utakaofanyika Jijini Dar es Salaam tarehe kwa siku mbili 27-28 Januari, 2025.
Mkutano huu unaandaliwa kwa pamoja baina ya Serikali ya Tanzania, Benki ya Dunia na Benki ya Maendeleo ya...
๐๐๐ฉ๐: ๐ ๐ธ๐๐๐ฎ๐ป๐ผ ๐๐ฎ ๐ก๐ถ๐๐ต๐ฎ๐๐ถ ๐๐ณ๐ฟ๐ถ๐ธ๐ฎ (๐๐ณ๐ฟ๐ถ๐ฐ๐ฎ ๐๐ป๐ฒ๐ฟ๐ด๐ ๐ฆ๐๐บ๐บ๐ถ๐) ๐ฎ๐ณ-๐ฎ๐ด ๐๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ฟ๐ถ, ๐ฎ๐ฌ๐ฎ๐ฑ
Tazama live Hapa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit)
Utakaofanyika Jijini Dar es Salaam tarehe 27 โ 28 Januari, 2025.
Mkutano huu muhimu unaandaliwa kwa pamoja na Serikali ya...
Nawaonea huruma sana wanaopingana na madhalimu CCM alafu wanakimbilia nchi za Afrika Mashariki au China au Urusi.
Kwa kifupi hutakuwa salama nchi yeyote ya Afrika au kwenye hizo nchi marafiki wa CCM. Nchi za Kiarabu ndo kabisa maana majasusi wa nchi mbalimbali ndo wanafanya field zao hata...
Kwa sasa naandika kwa kifupi sana, ila nitaleta andika kamili kesho au baadae.
Nitaanza na Francophone Africa. mnafahamu kwamba Ufaransa iliwasainisha makoloni yake yote mkataba unaoitwa โAgreement for the continuation of colonialismโ kabla hajawapa โuhuru fekiโ?
Msingi wa mkataba huu ni...
Maonesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji bidhaa ya China (CIIE) yanafanyika mjini Shanghai, na kuzishirikisha nchi za Afrika.
Kwenye maonesho hayo, Tanzania imekuwa mgeni wa heshima kwa mara ya kwanza, huku Benin, Burundi na Madagascar zikishiriki kwa mara ya kwanza katika maonyesho haya ya...
Mkutano wa 15 wa viongozi wa nchi za BRICS unafanyika nchini Afrika Kusini, ambapo viongozi wanaohudhuria mkutano huo wanajadili kwa kina mada mbalimbali ikiwemo kuimarisha ushirikiano na kupanua mfumo wa BRICS kuwa BRICS+.
Afrika Kusini, ambayo ni nchi mwenyeji wa mkutano huo, imewaalika...
Mkutano uliopita wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC uliofanyika mwezi Septemba mjini Beijing, kaulimbiu ya โKuungana Mkono ili kuendeleza Usasa na Kujenga Jumuiya yenye mustakabali wa Pamoja ya China na Afrikaโ, ilifuatiliwa na kuchambuliwa na wataalam na wanazuoni mbalimbali...
Kwa kutumia teknolojia aliyojifunza nchini China katika shamba la maskani yake, Augustine Phiri ameweza kuongeza mavuno ya mahindi katika shamba la mfano nchini Malawi, kutoka tani 2.1 kwa ekari moja mwaka 2023 hadi tani 8 kwa ekari moja mwaka huu, ikiwa ni karibu mara nne ya mavuno ya mwaka...
AFRO Centric view
Ni mtazamo wa kupinga unyonyaji, ukatili na uharibifu wa tamaduni za kiafrika ambapo umetolewa na wanazuoni wengi akiwemo Water Rodney, Prof Lumumba na Mandela.
Kimsingi hakuna jambo jema katika dunia kama kuitunza tamaduni, ikiwa hutafanikiwa kuilinda tamaduni yako maana...
Kwa hali ilivyo hasa katika sekta ya elimu, afya, ulinzi na TEHAMA kuna uhaba mkubwa sana wa mtumishi.
Kwa nchi za Afrika hauwezi kusema kuna ukosefu wa ajira, hapana, changamoto iliyopo ni serikali hazina pesa ya kutosha kuajiri, baadhi ya sekta hasa nilizoorodhesa hapo juu kuna uhitaji mkubwa...
China imebadilisha uchumi wake katika miongo miwili hadi mitatu iliyopita na kujenga uhusiano wa kibiashara na Afrika.
Takriban miongo mitatu iliyopita, sehemu ya biashara ya China na Afrika ilikuwa asilimia 3 pekee. Hata hivyo, kufikia mwaka 2012, takwimu hizi ziliongezeka kwa kasi hadi...
Mwalimu nyerere aliwahi sema kwamba Demokrasia inabidi iendane na sehemu husika akiwa na maana Nchi moja inaweza tofautiana na nchi nyingine mfumo wake wa Demokrasia.
Marekani wana Demokrasia yao ,wameamua kuvipa nguvu vyama ili kusaidia vyombo vya usalama kufanya kazi yake au vetting kwa ajili...
Maendeleo ya kasi ya kiuchumi na kijamii ya China, yamekuwa ni mambo yanayojadiliwa kwa kina na wasomi wengi duniani, ikiwa ni pamoja na wale wa nchi za Afrika. Moja kati ya mambo ya msingi yanayotajwa kuwa ni kiini cha maendeleo hayo ni njia ya China ya kujiletea maendeleo, ambayo wataalam wa...
Ujerumani itatoa dozi 100,000 za chanjo ya mpox kutoka kwa hisa zake za kijeshi kusaidia kudhibiti mlipuko katika bara la Afrika katika muda mfupi na pia kutoa msaada kwa nchi zilizoathiriwa.
Serikali italipatia Shirika la Afya Duniani rasilimali za kifedha kupitia vyombo mbalimbali vya...
Michezo ya Olympic inaendelea,Washindi katika kila michezo wanazidi patikana...
Angalia orodha ya nchi za Afrika zilizopata medali mpaka....
Kenya - Medali 6,Riadha
Afrika Kusini - 5,Kuogelea+Mbio fupi+Rugby+Baiskeli
Uganda - 2,Riadha
Algeria- 2,Ndondi + Gymnastics
Morocco- 2 , Mpira + kuruka...