Katika siku za karibuni vyombo vya habari vya ndani na nje ya China vimekuwa vikiripoti kuhusu changamoto za kiuchumi za China zinazotokana na kupungua wa tija ya uzalishaji, kupungua kwa nguvu kazi, kuyumba kwa soko la nyumba na hata ongezeko la ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana. Changamoto...
Tanzania inaitwa The Brain of Africa Kiutani. Je, unakubaliana nalo? Kumbe unaweza Kuidharau Tanzania na ukaja kukuta ndiyo Taifa linalotegemewa Kuziinua Kifikra Nchi zingine.
Nakupenda tena Tanzania yangu kuanzia leo ( japo nilianza Kukuchukia hasa baada ya hawa Wasumbufu DP World na Mwarabu...
Tangu mwaka huu uanze, dunia nzima imeshuhudia majanga mbalimbali yaliyosababishwa na hali mbaya ya hewa, na mabadiliko ya tabianchi yamekuwa msukosuko wa kweli. Ikilinganishwa na sehemu nyingine duniani, utoaji wa kaboni barani Afrika siku zote ni wa kiwango cha chini zaidi duniani, na jumla ya...
Mkutano wa 15 wa viongozi wa nchi za BRICS unafanyika nchini Afrika Kusini, ambapo viongozi wanaohudhuria mkutano huo wanajadili kwa kina mada mbalimbali ikiwemo kuimarisha ushirikiano na kupanua mfumo wa BRICS kuwa BRICS+.
Afrika Kusini, ambayo ni nchi mwenyeji wa mkutano huo, imewaalika...
Nakumbuka kuna kipindi hapo miaka si mingi iliyopita watu wengi walikuwa wanaisifia China ndio rafiki wa dhati wa nchi za Africa.
Mara ikawa kimya hasifiwi tena, ningependa kujua nini kilisababisha
Huu ni wakati ambao nchi za Afrika kuwa kulia zaidi au kushoto kushoto zaidi mwa mgogoro, hakuna kuwa katikati mwa mgogoro. Mgogoro huu utasababisha vita vikuu moto na baridi ambapo wale wa kulia watakuwa kulia na wale wa kushoto watakuwa kushoto zaidi, wa moto watakuwa moto na wa baridi...
Unapoitaja World Bank, IMF na WTO ni sawa na kuitaja Marekani na Ulaya Magharibi. Kama mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika uliofanyika Tanzania umedhaminiwa na Benki ya dunia maana yake umedhaminiwa na nchi ya Marekani.
Kwanini AU na waafrika wenyewe wameshiñdwa kuudhamini mktano wao?
Are we...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) tarehe 26 Julai, 2023 jijini Dar es Salaam.
===
Rais Samia anazungumza
Ninayo furaha kubwa...
Mkutano wa 15 wa wakuu wa nchi za BRICS utafanyika Johannesburg, Afrika Kusini kuanzia tarehe 22 hadi 24 mwezi ujao. Ukiwa chini ya kaulimbiu ya "BRICS na Afrika: Ushirikiano wa Wenzi wa Ukuaji wa Kasi ya Pamoja, Maendeleo Endelevu na Utaratibu Shirikishi wa Pande Nyingi", mkutano huo utaangalia...
Serikali ya Finland imetoa onyo kali kwa nchi za Afrika na Asia kuchagua kuiunga mkono Urusi ama kuchagua misaada.
Finland imesema ukiunga mkono Urusi inakata misaada na mikopo nafuu.
Soma hapa.
Hivi majuzi, video iliyomuonyesha Rais William Ruto wa Kenya akitoa hotuba katika bunge la Djibouti imeibua mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii. Katika video hiyo, Ruto aliuliza kwa kejeli: Kwa nini tunatumia dola ya kimarekani kwenye biashara kati ya nchi za Afrika? Baada ya kauli yake hii...
Juni 15, 2023 ilikuwa siku ya bajeti kwa nchi zinazounda Jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo nchi za Tanzania, Kenya, Uganda , Rwanda, Burundi, DRC na Sudan Kusini ziliwasilisha makadirio ya bajeti zao kwa mwaka wa fedha 2023/24
Tanzania
Katika bajeti yake, Tanzania imezingatia kuwekeza zaidi...
Wazo la kuwa na sarafu moja ya Afrika limekuwa likijadiliwa tangu mwanzoni mwa miaka ya 1980, na jitihada zimefanywa katika miongo iliyofuata kuelekea lengo hilo.
Matumizi ya sarafu moja katika bara la Afrika yanaweza kuwa na athari kubwa katika kukuza uwajibikaji na utawala bora.
Hapa kuna...
Rais Ruto wa Kenya amezitaka nchi za Africa kuacha kutumia sarafu ya US Dollar 💵 💵 💵 kwenye biashara zao za kimataifa.
Ruto anashangaa kwa nini Africa tumekuwa watumwa wa sarafu ya dola ya kimarekani kwenye biashara zetu kiasi kwamba inafikia nchi za Afrika zashindwa kuuziana bidhaa zao mfano...
Watafiti katika taasisi ya Uchumi wa Dunia ya Kiel ya Ujerumani, wamefanya utafiti na kufikia hitimisho kuwa mikopo inayotolewa na China kwa nchi za Afrika ni ya gharama nafuu kuliko ile inayotolewa na nchi za magharibi, au inayotolewa na wakopeshaji wa kibiashara. Hitimisho hilo limefikiwa...
Mapigano nchini Sudan yamedumu kwa siku kadhaa, na kusababisha maelfu ya watu kupoteza maisha na kujeruhiwa.
Licha ya wito wa kusimamisha vita wa Umoja wa Mataifa, Umoja wa Afrika na mashirika mengine ya kimataifa na ya kikanda, hadi sasa, pande zinazopigana za jeshi na kikosi cha usaidizi wa...
Katika mashindano ya CAF Champions League zinaenda timu 8 robo fainali ila cha ajabu kati ya timu hizo timu 1 tu ndio inatoka Sub Sahara Africa, Simba Sports Club
Yaani nchi 50 za Sub Sahara zimeshindwa kutoa timu zaidi ya Simba kwenda robo fainali,
Zambia, Malawi, Nigeria, DRC, Gabon, Sudan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.