nchi za afrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Nchi za Magharibi zinapaswa kujifunza kutoka China jinsi ya kushirikiana na nchi za Afrika

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken hivi karibuni aliahidi kwamba Marekani inapanga kutumia dola bilioni 200 kati ya mpango wa miundombinu wa dola bilioni 600 uliotangazwa hapo awali na G7 kupambana na "nafasi ya uongozi ya China barani Afrika na nchi nyingine maskini." Mwezi...
  2. BARD AI

    China kuipa Tsh. Trilioni 69 Afrika, Tanzania ipo kwenye mgao

    Waziri wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itanufaika na msaada wa miaka mitatu wa dola za Marekani bilioni 30 (Sh 69 trilioni), ulioahidiwa na Rais wa China, Xi Jinping wa kuzisaidia nchi za Afrika kukabiliana na umasikini. Dk Nchemba amesema hayo leo...
  3. L

    China yaendelea kuzibeba nchi za Afrika na nyingine kwenye sekta ya kilimo

    Serikali ya China imetangaza hivi karibuni kuwa kuanzia mwezi Septemba mwaka huu itaondoa kabisa ushuru kwenye asilimia 98 ya bidhaa za kilimo kutoka nchi 16 zenye mapato ya chini, tisa ya nchi hizo zikiwa ni nchi za Afrika. Hatua hii ni mwendelezo wa hatua kama hiyo iliyochukuliwa kwenye...
  4. Diversity

    Marekani yazitisha nchi za Afrika zisinunue mafuta ya Urusi

    Marufuku Afrika kununua Mafuta Urusi Kupitia ziara ya Balozi wa Marekani Linda Thomas katika mahojiano kuhusu nchi za Afrika alitaka kutafuta masuluisho ya migogoro bila kutoa lawama kwa nchi za Afrika ambapo zimeathirika na vita ya Urusi zidi ya Ukraine. Baada ya kufika Uganda aliziionya nchi...
  5. M

    Marekani yazitisha nchi za Afrika zisinunue mafuta ya Urusi, nchi inayokaidi itashughulikiwa

    Marekani imezitisha nchi za afrika zisinunue kabisa mafuta ya urusi!. Zinaruhusiwa kununua ngano na mbolea lakini ziachane na mafuta maana marekani imeyawekea vikwazo. Swali: Je kuna nchi ya afrika itakayoweza kushupaza shingo na kununua mafuta ya Urusi? Labda Afrika ya kusini inaweza...
  6. B

    Waziri Mulamula asisitiza umoja na mshikamano kwa nchi za Afrika na Nordic

    15 Jun 2022 Helsinki, Finland Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Nordic baada ya kumalizika kwa mkutano wa 19 wa Mawaziri hao jijini Helsinki, Finland. Waziri wa...
  7. L

    Kwanini nchi za Afrika zinatishiwa katika mgogoro kati ya Russia na Ukraine?

    "Marekani kutoa sheria inayolenga kuziadhibu nchi za Afrika ‘zinazofungamana’ na Russia." Hiki ni kichwa cha makala moja iliyochapishwa hivi karibuni katika gazeti la Nigeria Premium Times. Wakati huohuo, Gazeti la Daily Maverick nchini Afrika Kusini pia lilionya kuwa sheria hiyo inaweza...
  8. Komeo Lachuma

    Nchi za Afrika tunadharauliana wenyewe kwa wenyewe. Hii si sawa

    Miaka ya nyuma tumesaidia nchi nyingi sana katika harakati za Ukombozi. Kupinga Ubaguzi,Ukandamizaji ba Uonevu. Nchi nyingi. Tuna maeneo na mitaa mingi kwa Majina ya Wanaharakati na wakombozi wa Africa. Mitaa kama Nkrumah n.k na hata Shuleni nakumbuka kulikuwa na Mabweni kama Nkrumah, Samora...
  9. L

    Ni vigumu sana kwa Marekani kuifikia China kwenye mahusiano na nchi za Afrika

    Fadhili Mpunji Ni zaidi ya miezi sita sasa tangu Marekani itangaze pendekezo lake la ujenzi wa miundo mbinu wa Build Back Better World ( B3W), ambao ilisema lengo lake ni kukabiliana na vitendo visivyofaa vya kugharamia miradi ya miundo mbinu vya China, vinavyoziingiza kwenye changamoto kubwa...
  10. joto la jiwe

    Kenya nayo yaitetea Urusi, yaungana na Tanzania na nchi nyingine za Afrika

    Hongereni wakenya kwa kuanza kujitambua na kuacha kuendeshwa na nchi za magharibi. Ushauri wangu kwenu na viongozi wenu ni kwamba, kabla hamjachukua uamuzi wowote katika ngazi za kimataifa, ni vizuri mkashauriana na Tanzania ili kuepuka aibu na fedhea Kama hii. Dunia inashindwa kuwaelewa...
  11. C

    Kwanini Majeshi ya nchi za Afrika hukaa tayari nyakati za uchaguzi kama vile vita inaanza?

    Mzee Kalinga alijaribu Kumuuliza hilo swali Mzee Sanga wakati akiwa anatafuna mkate wa kikinga na maziwa fresh ili apate nguvu kuendelea na safari yake ya ukinga milimani. Mzee sanga akamweleza kwanza sababu kubwa chaguzi za Afrika akatania kidogo hata Tanzania ipo hua haziko huru na haki na...
  12. L

    Nchi za Afrika zina haki ya kuamua kuunga mkono au kupinga upande wowote kwenye migogoro

    Fadhili Mpunji Hivi karibuni mabalozi wa nchi za Umoja wa Ulaya nchini Tanzania walikutana na waandishi wa habari kwenye makazi ya balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, na kutoa mwito wa nchi za Afrika kuunga mkono msimamo wa Umoja wa Ulaya kwenye mgogoro kati ya Russia na Ukraine. Wakati huo huo...
  13. L

    "Waraka mkuu nambari 1" utakuwa mfano wa nchi za Afrika kukuza sehemu za vijijini

    “Waraka mkuu Nambari 1” wa China kuhusu kuhimiza kwa kina maendeleo ya sehemu za vijijini ulitolewa hivi karibuni, na kuamsha shauku kubwa kutoka kwa watunga sera wa Afrika, haswa wadau wa sekta ya kilimo na vijiji. Mnamo Desemba 2020, China ilitangaza ushindi katika kupunguza umaskini, na watu...
  14. L

    Ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika unapevuka kulingana na mahitaji ya wakati

    Katika muda wa miongo miwili iliyopita ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika umekuwa ukibadilika na kugusa mambo mengi, badala ya ushirikiano kwenye mambo ya kisiasa tu, au ushirikiano wa upande mmoja (yaani upande wa China), kuusaidia upande mwingine (yaani upande wa Afrika), kama...
  15. L

    Ushirikiano wa China na nchi za Afrika ni wa kusaidiana na kunufaishana

    Na Caroline Nassoro Mara nyingi kumekuwa na kauli zinazodai kuwa, China inazipa nchi za Afrika mzigo wa madeni, na hii inatokana na misaada na mikopo yenye riba nafuu inayotolewa na nchi hiyo katika miradi mbalimbali ya maendeleo ya nchi za Afrika. Lakini tukifuatilia kwa undani zaidi, kauli...
  16. L

    Nchi za Afrika zashiriki kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi

    Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi inayoendelea imevutia macho ya dunia. Jumla ya nchi tano za Afrika, ambazo ni Kenya, Nigeria, Madagascar, Morocco na Eritrea zimeshiriki kwenye michezo hiyo. Kwa nchi za Afrika, kushiriki katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi, sio tu ni ishara ya...
  17. John Haramba

    AU walaani wimbi la mapinduzi katika nchi za Afrika

    Umoja wa Afrika (AU) umelaani wimbi la mapinduzi ya hivi karibuni ambalo limeshuhudia idadi kubwa ambayo haijawahi kushuhudiwa ya nchi wanachama zikisimamishwa kutoka umoja huo. Hayo yamesemwa leo na mkuu wa baraza la amani na usalama wa umoja huo Bankole Adeoye wakati kikao cha kila mwaka cha...
  18. L

    Nchi za Afrika zinaunga mkono Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing

    Hassan zhou Awamu ya 24 ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi itafunguliwa Beijing mnamo Februari 4. Kutokana na hali ya hewa ya joto kwa mwaka mzima katika maeneo mengi ya Afrika, inaeleweka kuwa ni nchi chache tu, zikiwemo Eritrea, Ghana, Madagascar, Morocco na Nigeria ndizo...
  19. L

    China inatoa msaada kwa nchi za Afrika, ili nchi za Afrika zisiombe msaada tena katika siku za baadaye

    Fadhili Mpunji Moja ya mada zinazojadiliwa katika uhusiano kati ya China na Afrika ni msaada. Hivi karibuni, ofisa mwandamizi wa shirika la misaada ya kimataifa la China (CIDCA) Bw. Liu Junfeng kwenye mkutano uliofanyika Beijing alieleza kwa kina utaratibu wa China katika kutoa misaada kwa nchi...
Back
Top Bottom