Kama Yeye ni Super Power kwani asiende peke yake, au amwambie shoga yake Israel apigane na Yemen si kila kukicha Yemen anampiga Israel na kuteka Meli zake, kwanini anafata Gulf Country, Kwa nini?
Tukiwambia Israel hana lolote anakuzwa na Viongozi wa kiarabu na US kwa faida zao tu.
Yemen ni...
Nchi za kiarabu na mnatakiwa kuwashawishi HAMAS haraka kuwaachia mateka wa kiisraeli ili kuokoa maisha ya wanachi,watumishi wa afya huko Gaza
Kwa makosa ambayo HAMAS ilifanya kujenga mahandaki ya kujifichia na kupanga mashambulizi chini ya hospitali shule,kambi za wakimbizi , na israel kuapa...
Pamoja na upungufu wa matamko hata hivyo wachambuzi wa masuala ya kisiasa wamesifu namna mkutano huo wa leo ulivyoonesha umoja dhidi ya Israel
Katikati ya mkutano huo katibu mkuu wa umoja wa nchi za kiislamu amelaumiwa na wachambuzi hao kwa kutumia sana maneno yenye kuonesha kuna maatumaini kwa...
Vita vinavyoendelea mpaka kufikia leo vimepitia hatua nyingi na za wazi.Kila mwenye kuelewa alielewa kilichopangwa kutokea.Hii ni kwa vile vita hivi kati ya Israel na wapalestina vimepiganwa katika namna za kisasa tofauti na vita vilivyotangulia vya mwaka 148 na vile vya Yom Kipur vya mwaka...
Amani iwe juu yenu!
Ebu jaalia kama hii hukumu ingetokea nchi fulani za kiarabu ,je maoni ya watu dunia nzima ingekuwaje?
Jamani sio kwa ubaya ila hukumu inatokana na sheria husika zilizowekwa bora kufuata sheria bila shuruti.
Peace,
Niko na swali dogo ila tata kwa kiasi fulani, hivi inakuwaje watu walio na "umoja na mshikamano katika dini ya Mwenyezi Mungu" wako tayari hata kujilipua mabomu kwa ajili ya dini yao.
Wako tayari hata kuchinja watu huku wakiwarecord ili kutetea "imani" yao "tukufu" ila linapokuja swala...
Viongozi wa nchi za kiislamu wasijitumbukize katika ujinga utakaowagharimu dunia na akhera yao.Kama ni maazimio ya umoja wa mataifa kuhusu Palestina yapo makumi kadhaa na hayajatekelezwa hata moja.Kinyume chake maazimio hayo yanavunjwa mbele ya macho yao.
Anthony Blinken ameitembelea Israel...
Hamas wasema Ijumaa hii wataitisha maandamano ya nchi za kiarabu kulaani mashambulizi anayofanya Israel huko Gaza tokea jumapili.
Waziri Netanyahu wa Israel alisikika akisema Israel inatarajia kupiga mashambulizi ya kutosha katika Mji wa Gaza yatakayofanya Wapalestina wasiyasahu kwa zaidi ya...
Nakaribia kumaliza elimu ya degree na sitaki kupoteza karne 1 kusubiri ajira hapa bong nipeni ABC za kufika nchi za kiarabu nikafie huko.
Mimi ni wa kiume na kazi yoyote nafanya mradi tu iwe ya halali, umri miaka 24.
Wakuu huwa tunaongea kimasihara hapa na kuiponda Simba, kumponda mwekezaji Mo Dewji na kimuita majina ya ajabu.
Wacha-mbuzi uchwara nao utawasikia wakiiponda Simba na kuiita timu ya hovyo.
Lakini kiukweli Simba japo haipo kwenye kiwango chake cha ubora, bado ni timu kubwa sana Afrika...
Nchi ya Uturuki, Tunisia na Iraq zimefuta kabisa ndoa za wake wengi huku Saudi Arabia ikiwa imeweka masharti makali kiasi kwamba hakuna watu wanaooa wake wengi.
Iran yenye watu milioni 88.5 ina ndoa za wake wengi zinazofikia laki moja tu. Algeria zinaelekea kupotea. Swali hapa ni kwanini hizi...
Putin atoa wito wa kuwepo uhusiano wa karibu na mataifa ya Kiarabu.
Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini zina jukumu muhimu zaidi katika ulimwengu wa "multipolar", kiongozi huyo wa Urusi alisema.
Rais wa Urusi Vladmir Putin amehimiza kuwepo kwa uhusiano imara na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.