Katibu wa NEC, Idara ya Oganaizesheni wa CCM, Paul Matiko Chacha, amekemea viongozi wanaofanya makosa na kujificha nyuma ya chama, akisema CCM itachukua hatua dhidi ya kiongozi au mwanachama yeyote atakayekiuka Katiba, kanuni na taratibu za chama na jumuiya zake.
Chacha pia amehoji wanaoendelea...