Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Katibu wa NEC, Idara ya Oganaizesheni wa CCM, Paul Matiko Chacha, amekemea viongozi wanaofanya makosa na kujificha nyuma ya chama, akisema CCM itachukua hatua dhidi ya kiongozi au mwanachama yeyote atakayekiuka Katiba, kanuni na taratibu za chama na jumuiya zake.
Chacha pia amehoji wanaoendelea kuuliza alipo aliyekuwa Makamu wa Rais, Emmanuel Nchimbi, akisema, “Mmekwenda nyumbani kwake mkamkosa?” Amesema hayo Septemba 26, 2026, wakati akihutubia Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Mkoa wa Iringa uliofanyika katika Ukumbi wa Ihemi.
Soma pia