uhuruborn
Senior Member
- Sep 6, 2025
- 130
- 453
Alikuwa hana heshima yoyote....mwizi kama wengine huyu tulikuwa naye enzi za JPM kitengo cha usalama na itifaki ni mshenzi kama washenzi wengine tuHuyu alikuwa na heshima nzuri tu,alipewa kitengo kwenye chama cha mbogamboga baasi,kama ilivyo ada ukishateuliwa unaacha ubongo chooni halafu unachukua akili za majalalani