Zaidi ya watu 60 wameuawa katika mfululizo wa mashambulizi dhidi ya Wakristo katika Mkoa wa Oromia nchini Ethiopia, kwa mujibu wa Kanisa la Orthodox la nchi hiyo.
Mkazi mmoja aliyempoteza baba yake mwenye umri wa miaka 75 alisema washambuliaji waliwazunguka kutoka pande zote nne bila wao kuwa...