nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Balozi Tinnes: Tuhakikishe tunakuwa viongozi katika nchi ambayo watu wanaamini kuna sbb ya kupiga kura kwa sababu sauti zao zinasikilizwa

    Balozi wa Norway Nchini Tone Tinnes, akizungumza kwenye Maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani yanayofanyika Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam amesema “Utafiti na masomo yanaonyesha kwamba hali ya demokrasia duniani inaporomoka. Ripoti ya Freedom House ya mwaka 2023 inaonyesha kwamba demokrasia...
  2. Wimbi la ma ex girlfriends na ex boyfriends zao kurudiana limeongezeka sana nowadays nchini, kulikoni?

    ni roho ya msamaha imeongezeka kwa wanadamu au alternative girlfriends na boyfriends imeshindwa kufanya kazi ipasavyo? je, ni ahueni kwa single mothers na single fathers kwamba sasa wanarudiwa rasmi? wabobevu, ndrugu zango wadau mnazungumziaje suala hili la kheri katika jamii zinazotunguka?🐒
  3. W

    Rais wa zamani wa Botswana afikishwa Mahakamani kwa mashtaka ya Makosa Jinani baada ya kurejea nchini humo

    Rais Ian Khama, amerejea Botswana baada ya kuishi uhamishoni Afrika Kusini kwa takriban tangu Mwaka 2021. Ijumaa ya Septemba 13, 2024, alifikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashtaka 14, ikiwemo umiliki haramu wa silaha na utakatishaji fedha. Khama ameyakana mashtaka hayo, akidai kuwa ni...
  4. Vikosi maalum vya Israel vyavamia 'eneo la makombora' nchini Syria

    Uvamizi huo umefanywa na vikosi maalum vya Israel kwenye "kituo cha kutengeneza makombora cha Hezbollah" nchini Syria. Serikali ya Israel haijasema lolote kuhusu operesheni hiyo ambayo kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari vya Marekani, ilifanyika mwanzoni mwa wiki. Vyombo vya habari vya...
  5. TLS kuandaa kongamano la Kitaifa kuhusu matukio ya kutekwa na kupotea kwa raia nchini Tanzania

    Tanganyika Law Society (TLS) imeandaa kongamano la kitaifa litakalojadili ongezeko la matukio ya watu kupotea na kutekwa nchini Tanzania. Kongamano hili litafanyika tarehe 5 Oktoba 2024 saa 3:00 asubuhi maenoe ya Wakili House, Chato Street, Mikocheni A, Dar es Salaam...
  6. P

    Wimbo Wa "Muuaji Samia Must Go" Je, ni ishara kwamba Demokrasia imekua nchini?

    Jana nilipowasikia wanachama wa chadema wakiimba Samia muuaji must go! mwili wangu ulisisimka. Watanzania wote na dunia kwa ujumla tunajua na tunashuhudia ni kwa namna gani rais wetu SSH anavyopambana kutuletea maendeleo. Rais anapambana kuhakikisha democrasia inashamiri nchini. Watu wako huru...
  7. IGP Wambura hali ya Usalama nchini ingekuwa Shwari Kibao angeuliwa vibaya na akina Sativa yangewakuta? Huoni Aibu Kudanganya BBC?

    Nasikiliza sasa BBC Dira ya Dunia na nimekusikia katika Teaser yao ukisema kwa Kujiamini kabisa na ukiwa huna haya (aibu) ukisema hali ya Usalama kwa sasa nchini Tanzania ni Shwari na ukiwapongeza Maaskari Polisi wako. Hovyo kabisa Wewe na Umetuaibisha sana wana Mkoa wa Mara (Musoma) wote kwa...
  8. IGP Wambura: Hali ya Usalama nchini ni Shwari

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camilius Wambura amemueleza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Daniel Sillo kuwa kwa sasa hali ya usalama nchini ni shwari, na hivyo kuwapongeza Polisi, vyombo vya usalama na raia wapenda amani kuwezesha hilo. IGP Wambura ameyasema hayo katika ufunguzi wa...
  9. Serikali Yavuna Trilioni 1.8 Kupitia Sekta ya Uziduaji Nchini

    SERIKALI YAVUNA TRILIONI 1.8 KUPITIA SEKTA YA UZIDUAJI NCHINI - Ni kwenye madini, mafuta na gesi - Waziri Mavunde aelekeza uchunguzi wa tofauti ya Milioni 402 - ⁠ Kamati ya Bunge yapongeza uwazi wa serikali kutoa taarifa SERIKALI imepata jumla ya shilingi Trilion 1.877 kutoka kwenye...
  10. U

    Majina wanaopewa wanaume wasiofanyiwa tohara kwenye makabila mbalimbali nchini

    Wadau hamjamboni nyote? Naleta majina yanayotumika kwa watu ambao hawajafanyiwa tohara kwenye makabila mbalimbali nchini Isemboo Kichaga Warisyaa Kikurya Isekaa Kimeru Laiyok Kimasai Akakata Kinyakyusa Murajoni Kikaguru Naomba utaje huko kwenu wasiofanyiwa tohara wanaitwaje Niwatakie siku...
  11. CRDB huduma kwa wateja imekuwa mbovu kulinganisha na benki zote hapa nchini

    Ingia ndani kupata huduma yeyote lazima upoteze zaidi ya saa moja. Wananchi wa Tanzania ninatoa wito tuwaache CRDB na wanahisa wao wabaki wenyewe. Hawezekani benki tuipe sisi kiburi cha kutuhudumia vibaya namna hii. HAPANA HAIWEZEKANI Sasa mbaya zaidi umkute dirishani amekaa mdada ndio utajuta...
  12. Kama Mtanzania ukiulizwa hili Swali na ama Raia wa Kigeni nchini au ukiwa Nje ya Tanzania utamjibu vipi?

    Tanzania tumewazoea ni Watu wa Amani pamoja na Upendo na hata Sisi wengine tunajifunza Kwenu kuwa na Amani na huo Upendo. Kwanini sasa Taifa lenu kuna matukio mabaya ambayo tulizoea kuyaona na kuyasikia huku Kwetu? Majibu yenu ni Muhimu sana ili niwajibu na waache Kunisumbua kwa Maswali yao...
  13. Ushiriki wa Vijana katika michakato ya Kidemokrasia Nchini kujadiliwa katika Wiki ya Azaki

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la HAKIELIMU, John Kallaghe, akizungumza katika mkutano huo kuhusu ushiriki wao na mambo watakayofanya katika Wiki hiyo. Ushiriki wa makundi mbalimbali ya kijamii hususan vijana katika kutoa maoni yao kwenye michakato ya Kidemokrasia nchini, umetajwa kuwa moja ya...
  14. W

    Mgombea Urais wa Upinzani Venezuela Akimbia nchini na kutafuta Hifadhi Hispania

    Mgombea urais wa upinzani, Edmundo González, amekimbia Venezuela baada ya serikali kutoa hati ya kukamatwa kwake, kufuatia upinzani kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais wa Julai 2024. Aidha Vikosi vya usalama vya Venezuela vimezingira Ubalozi wa Argentina, wakidai kuwa viongozi sita wa upinzani...
  15. Tatizo la Foleni Nchini

    Wakuu, Nauliza hivi: Je, viongozi wetu, watendaji na wakuu wa hitifaki za viongozi wanajua kuwa wananchi nao wana mipango, mahitaji na malengo yao yanayotegemea na kubanwa na MUDA (WAKATI)?? Je, wanajua kwamba misafara ya viongozi inawatia wananchi hasara? Iweje wananchi wanasimamishwa kwenye...
  16. Naibu Waziri Dkt. Biteko akutana na Balozi Mpya wa Uingereza Nchini

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko Septemba 6, 2024 jijini Dodoma amekutana na kufanya mazungumzo na balozi mpya wa Uingereza nchini. Marianne Young. Lengo la mazungumzo hayo likiwa ni kujitambulisha kwa balozi huyo pamoja na kujadili masuala ya kipaumbele ya ushirikiano...
  17. Naibu Waziri Katimba: Serikali Itaendelea Kutenga Fedha ya Kukarabati Barabara Korofi Nchini

    NAIBU WAZIRI KATIMBA: SERIKALI ITAENDELEA KUTENGA FEDHA YA KUKARABATI BARABARA KOROFI NCHINI Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Zainab Katimba amesema Serikali itaendelea kutenga fedha ya ukarabati wa barabara korofi nchini zilizoathiriwa na Mvua za El - Nino...
  18. Askari wa Tanzania wanaoshiriki Mkutano Nchini Marekani wajengewa uwezo katika upigaji wa shabaha

    Katika kuhakikisha askari wa Kike wanakuwa imara na mahiri katika kila nyanja wanazohudum Suala la kujengewa umahiri katika ulengaji wa Shaba kwa askari hao likatolewa na wabobezi wa shabaha (Sniper) kutoka Jeshi la Polisi Nchini Marekani. Miongoni mwa askari wa kike waliopata mafunzo ya...
  19. Teknolojia ya mawasiliao imevuruga husianao za mapenzi na kuvunja ndoa nyingi sana za watu humu nchini na duniani kwa ujumla

    Unakuta watu wengi walioko kwenye mahusiano ya kimapenzi, uchumba na ndoa, mathalani walikutana masomoni, kanisani, safarini, kwenye sherehe, semina, kongamano au hata makazini tena bila hata kutumia teknolojia ya mawasiliano ya simu za mkononi kukutana mwanzoni, ispokua technolojia hiyo imekuja...
  20. G

    Hizi ni bidhaa za Kenya zilizoweza kuteka soko Tz kwa muda mrefu, ongeza nyingine

    BLUE BAND - watanzania wengi hawalijui neno la siagi, msamiati wa siagi umekuwa blueband kwasababu ni bidhaa iliyoweza kupata umaarufu kwa muda mrefu sana, hii kitu ikipakwa kweye mkate ushushie na chai ni ladha amazing sana. KIWI - vile vile nayo imekuwa msamiati rasmi wa rangi ya kungarisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…