Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto BIteko leo tarehe 15 Agosti, 2024 ameshiriki kikao cha 19 cha pamoja cha Mawaziri wa Nishati ambao ni Wanachama wa Umoja wa soko la pamoja la kuuziana umeme na kuimarisha mifumo ya Gridi ya EAPP (Eastern Africa Power Pool) unaofanyika...
Serikali imeendelea kuongeza Vituo vya Afya Nchini. Vituo vya kutolea huduma za Afya 9,693 mwaka 2024.
Kwa mwaka 2021 jumla ya vituo vya kutolea huduma za afya vilikuwa 8,547 ambapo Ongezeko 1,146.
"Ninaona na ninaamini mchakato ule wa maridhiano umetekwa, siwezi kusema Rais ndiye ameuteka kwa sababu yeye ndiye aliyeuanzisha ila ninahisi kuna nguvu nyingine tusiyoiona ambayo imeteka mchakato ule wa maridhiano na kutaka kulirudisha taifa letu katika sintofamu"- Dkt. Bagonza.
Dkt. Benson...
VERSION 1
Nikiangalia maamuzi ya viongozi wetu yanavyotughalimu, yanavyoighalimu nchi; matumizi mabaya ya hela za walipa kodi ambazo zingepelekwa kenye kuboresha maisha yao, mikataba mibaya tunaishia kulipa matrilion ya faini, maliasili za nchi kuuzwa kwa bei ya kutupa kwa wageni kwa manufaa...
hongera sana Jeshi letu imara sana la polisi. mmefanya kazi nzuri sana iliyotukuka kwa niaba ya wananchi, na waTanzania wote kwa ujumla.
teknologia, intelijensia na weledi mliotumia kuyabaini, kuyashughulikia na kuyadhibiti magenge ya kihalifu yanayo panga na kukusudia kuvuruga amani na utulivu...
Yaani mguu nje, mguu ndani, wakati wowote mwenye nyumba anatoa notice ya mtu kutimuliwa pangoni na wakati wowote vile vile uzalendo unamshinda mpangaji anaondoka anahamia kwingineko.
Ni kirusi gani sijui kimewatembelea hawa majamaa huko kwe vyama vyao? kila uchwao miongoni mwao ni kutuhumiana...
Mara baada ya tajiri Mo dewji kupost katika mtandao wa X kuwa Simba itasajili Mshambuliaji mwingine kabla ya dirisha kubwa kumalizika.
Habari zimevuja kuwa tayari Simba sc imeinasa mshambuliaji wa kimataifa wa Ethiopia, Abubeker Nessir kutoka klabu ya Mamelodi. Niwape tu habari kuwa huyu jamaa...
Huko nchini Kenya, uteuzi wa mawaziri unachukua mchakato mrefu, Hadi Waziri huyo aapishwe.
Hatua anazopitia Waziri huyo baada ya kupendekezwa na Rais kuwa Waziri ni jina lake kupelekwa Bungeni, Ili apitie katika "chekecho" ikiwa nafasi hiyo anastahili na iwapo wabunge hao wataridhika kutokana...
Wanaukumbi.
MOSCOW -
Mshirika mkuu wa Rais Vladmir Putin aliwasili mjini Tehran siku ya Jumatatu kwa mazungumzo na viongozi wa Iran akiwemo rais na maafisa wa ngazi za juu wa usalama huku Jamhuri ya Kiislamu ikitathmini majibu yake kwa mauaji ya kiongozi wa Hamas.
Urusi imelaani mauaji ya...
Kulalamika na kulaumu pekee ni mbinu ya kisiasa inayotumiwa na waupinzani nchini, isiyo na tija na iliyopitwa na wakati.
Haijawahi kuwa na msaada wala manufaa yoyote kwa vyama vyao wala kuleta mabadilko yoyote kwa wananchi...
Falsafa hii inawadumaza zaidi tu na kuwaacha wadumavu mara dufu...
Habari za hivi punde, kambi ya marekani imeshambuliwa nchini Iraq huku. Ikidaiwa kuwa wanajeshi wake kadhaa wamejeruhiwa.
Haijajulikana ni kundi Gani limehusika katika shambulizi ilo la bomu katika kambi ya marekani iliyopo Iraq lakini inadaiwa huenda makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na...
Mgombea nafasi ya urais kwa tiketi ya chama cha Democratic nchini Marekani Bibi Kamala Harris ameanza kumuwashia taa ya indicator mgombea wa chama cha Republican Bw. Donald Trump.
Hii ni kufuatia matokeo mbalimbali za kura za maoni zilizotolewa na mashirika kadhaa ya nchini humo.
Na kama hali...
Ubaya Ubwela & Nyie Hamuogopi vimepita,tujikite kwenye mada kuntu!
Kuna mshikaji wangu mmoja tulimaliza wote Sekondari na bahati nzuri hata chuo tukasoma wote,Mimi na yeye tulitokea Kuwa marafiki sana na hata hapo nyuma Kuna Uzi niliuweka hapa unaohusu maisha ya Ughaibuni nilimzungumzia!
Baada...
Takwimu za Hali ya Uhalifu nchini Tanzania zimeonesha kati ya Januari 2023 hadi Desemba 2023 kulikuwa na Matukio 3,778,908 ya Jinai na Usalama Barabarani yaliyoripotiwa katika Vituo vya Polisi ikiwa ni ongezeko la Matukio 658,825 (21.1%) kutoka matukio 3,120,083 ya mwaka 2022.
Ripoti ya Jeshi...
Naam, kama kichwa cha habari kisemavyo kumetokea ongezeko la vitu feki bongo.
Katika harakati kukimbia matumizi ya mkaa kuchemsha nyama nikasema nipite Sinza kuchukua multicooker kwa yule mdada maarufu.
Sasa nikaamua niingie page yake nione komments aisee nilichokiona ni watu kulalamika...
Wadau hamjamboni nyote?
Sabato njema wapendwa
Leo nimesali Kanisa la Wasabato salasala
Kuna ratiba ya ubatizo muda huu ila hali imekuwa tofauti kabisa na tulivyozoea kuwa wabatizwa wakila kiapo hubatizwa hapohapo Kanisani
Alijejitoa kubatizwa leo ni kijana mdogo akiwa pekeyake na amekula...
"Dudubaya" alalamika baada ya kukosa maji kwenye vyoo vya uwanja wa ndege Dar Es Salaam.
Kama kuna mtu mwenye taarifa ya nchi zingine zenye viwanja vya ndege vya Kimataifa vilivyowahi kupata dharura ya maji amwelimishe "Dudubaya" ili apunguze lawama!
Ajue kuwa hiyo ilikuwa ni dharura tu.
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 24 Julai, 2024 amehitimisha ziara yake ya kikazi nchini India kwa kukutana na kufanya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo, Droupadi Murmu Ikulu Jijini New Delhi.
Katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.