nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Breaking News Jeshi la ufaransa lafanya mashambulizi makubwa kwa kutumia makombora ya masafa marefu syria wakilenga waasi wa Dola la Kiislamu

    Wadau hamjamboni nyote? Msako magaidi duniani kote unaendelea Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: December 31, 2024 France says it carried out missile strikes against Islamic State in Syria By Reuters Today, 12:19 pm France carried out missile strikes in Syria, targeting Islamic State...
  2. Hivi kuna sehemu yenye kuvutia kwa kila kitu nchini zaidi ya Lushoto?

    Nimetembea sehemu nyingi nchini. Sijawahi kuona sehemu yenye kuvutia kama Lushoto. Mbali na mandhari yake ya kuvutia, watu wake ni waaminifu, wachapakazi, wachangamfu, na wakarimu. Kwa upande wa matunda na vyakula ndiyo usiseme. Haya ni maoni yangu binafsi. Hivyo, sitaleta utafiti zaidi ya...
  3. J

    Mfahamu Dk. Zakir Naik: Muhibiri aliyealikwa TZ kufanya mihadhara ya Jesus vs Muhammad anatafutwa kwa kuchochea ugaidi nchini kwake

    Dk. Zakir Naik ni mhubiri ambaye amealikwa kuja kufanya mijada ya kidini Tanzania, anatarajiwa kufanya mihadhara mitatu Mihadhara hiyo itakuwa inajadili kuhusu Mtume Muhammad na Yesu Mihadhara yake itarushwa live na Azam TV na ZBC2 Mhadhiri huyu ana asili ya India na anamiliki channel...
  4. Okwi atimiza miaka 32, ni mmoja ya wachezaji bora wa kigeni kuwahi kucheza ligi kuu nchini

    Njooni tumpongeze na kumtakia heri na fanaka Emanuel Arnold Okwi kwa kutimiza miaka 32 juzi. Huyu ni mmoja ya wachezaji bora kabisa wa kigeni kuwahi kucheza ligi yetu
  5. Malazi ya bei nafuu nchini Rwanda na Burundi!

    Nipo Kampala, lakini huenda nikahitaji kufika Rwanda na Burundi. Naomba taarifa za hivi karibuni juu ya: 1. Hali ya hizo nchi kiusalama (Rwanda na Burundi) 2. Gesti za bei nafuu lakini salama katika miji ya Kigali nchini Rwanda, Bunjumbura nchini Burundi, na Gitega nchini Burundi. Naamini...
  6. Mandonga na Dullah Mbabe Wamshukuru Rais Samia kwa Kuendelea Kusapoti Michezo Nchini

    Miaka minne kasoro ya Uongozi wa serikali ya awamu ya 6 chini ya Rais wetu mpendwa Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imekuwa na mafanikio makubwa sana katika sekta ya michezo, sekta ambayo imebeba matumaini makubwa ya vijana waliojiajiri kupitia vipaji mbalimbali walivyonavyo. Si tu katika michezo...
  7. Serikali imejipangaje kidiplomasia kumruhusu mhubiri dini mtata anayesakwa na India kutua nchini?

    Nimeona tangazo la Dr. Zakir Naik anayetafutwa kufikishwa mahakamani na mamlaka za nchi yake ya India tangu mwaka 2016 kwa makosa ya ugaidi, utakatishaji fedha na kauli za chuki kuwa nchini wiki ijayo kwa shughuli za kidini. Hili jambo tumepima kama halitatuleta shida zinazoepukika na utata...
  8. Mabehewa 264 ya SGR ya kubeba Mizigo yawasili nchini

    Shirika la Reli Tanzania - TRC linautaarifu umma kuwa mabehewa 264 ya mizigo yatakayotumika katika reli ya kiwango cha kimataifa - SGR yamewasili Bandari ya Dar es Salaam kutoka nchini China Disemba 24, 2024. Zoezi la ushushaji kutoka kwenye Meli litakapokamilika litafuatia zoezi la majaribio...
  9. H

    Waziri Kombo apokea hati za utambulisho kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini

    WAZIRI KOMBO APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MWAKILISHI MKAZI WA UMOJA WA MATAIFA NCHINI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thatib Kombo amepokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Bi. Susan Namondo katika Ofisi Ndogo...
  10. Gissima Nyamo-Hanga: Gridi za Tanzania na Kenya kuimarisha upatikanaji wa umeme nchini

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Gissima Nyamo-Hanga amesema kuimarika kwa mfumo wa Gridi za Umeme za Tanzania na Kenya kutasaidia kuimarisha upatikanaji wa umeme katika ukanda wa Kaskazini Mashariki mwa Afrika . Gissima ameyasema hayo Desemba 20,2024 wakati wa Ziara...
  11. Kimbunga Chido kimeua watu 94 Nchini Msumbiji

    Kimbunga Chido kimeua watu 94 nchini Msumbiji tangu kilipotua katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki wiki iliyopita, mamlaka za ndani zimesema. Taasisi ya Kitaifa ya Kudhibiti Hatari na Majanga nchini (INGD) imesema watu 768 walijeruhiwa na zaidi ya watu 622,000 kuathiriwa na maafa hayo kwa kiasi...
  12. Nimepata agents wa kuniuanganisha na kazi nchini POLAND. Je ni nitapa au nitaliwa hela yangu tu Bure na kazi nisipate

    Me ni mwenyeji wa Kanda ya kati uko mkoa x ila kwa sasa nipo mjini Dar baada ya kupata huu mchongo. Kuna jamaa angu alinstua kwamba nije Kuna kazi imepatikana uko nje ya ulaya katika nchi ya Poland. Basi nikawa nimekuja toka wiki iliyopita kufatilia basi akawa ameniunganisha na uyo agent na...
  13. Dr Aikande Kwayu wa CHADEMA: Kama mnaona CHADEMA chini ya Mbowe inasuasua nendeni vyama vingine. Kuna vyama vingine 19 nchini

    Wakuu, Wale wana CHADEMA ambao mnahisi Mbowe hatoshi kuongoza chama chenu mna salamu zenu huku kutoka kwa Dr Aikande ambaye ni mwanachama maarufu. Kwa logic hii maana yake pia CHADEMA mtafute nchi nyingine ya kuishi muache kuilalamikia CCM kwani kuna nyingine 194 duniani...
  14. CEO wa Simba Uwayezu Francois Regis ateuliwa na Kagame kuwa katibu wizara ya michezo nchini Rwanda.

    Hii imekaaje,CEO Mrwanda aliyeletwa na Simba amekula shavu katika serikali ya Rais Kagame ameteuliwa kuwa katibu waziri wa michezo. Ikumbukwe hakupata vibali vya kazi tangu Simba imlete,naona serikali hapa iliona mbali.
  15. Kiongozi wa waasi nchini Syria asema aomba amani na Israel, nchi za Ulaya na Marekani

    Amesema kuwa amechoka kupigana kwasababu zisizo na mbele wala nyuma, ameomba kuungwa mkono na Israel, Ulaya na Marekani. Huu ni ushindi mkubwa na ukombozi kwa makobazi. Chanzo: Adhuhuri Live (UTV).
  16. Tundu Lissu: Watekaji wanataka wanimalize wamsingizie Mbowe

    Enyi watu wabaya mjulikanao kama 'watu wasiojulikana,' nimezisikia njama zenu. Mnataka kuniumiza halafu mumsingizie Mwenyekiti wetu wa chama, Freeman Mbowe. Ndivyo mlivyofanya wakati wa kifo cha marehemu Chacha Wangwe. Ndivyo mlivyofanya tena wakati mliponishambulia tarehe 7 Sept '17. Na ndivyo...
  17. Elshamah Washira mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Kenya anayetia mashaka kutokana na tabia zake

    Waimbaji wa nyimbo za Injili waendelea kuchafua tasnia ya nyimbo za Injili kwa kuharibikiwa kila kukicha hasa katika maswala ya ngono Tata Hivi karibuni tumesikia mwimbaji wa Injili Martha Mwaipaja katika sakata lake la kujihusisha na uchafu wa ngono tata zisizohusisha jinsia mbili tofauti kwa...
  18. Serikali Imeendelea Kuhamasisha ufugaji wa samaki kwa vizimba nchini

    Serikali Imeendelea Kuhamasisha ufugaji wa samaki kwa vizimba nchini. Kwa kipindi cha mwaka 2000 hadi 2024 Jumla ya vizimba 222 vilitolewa kwa wananchi 1,213 ambao wanatokana na vyama vya ushirika 17, vikundi 31 na watu binafsi wawili (2). Maeneo 39 yanayofaa kwa ufugaji samaki kwa vizimba...
  19. Ni kweli watoto wa English Medium wana IQ kubwa kuliko wetu kayumba?

    Kazi ya elimu sio kumuingizia mtu vitu kichwani, kazi ya elimu ni kumsaidia mtoto kuugundua na kuufanyia kazi uwezo alionao. Shule zetu za Kayumba hazimpi mtoto nafasi ya kuuonyesha na kuuvumbua uwezo alio nao bali mazingira yanamfanya awe mjinga zaidi hata kama anatapa A. Mazingira ya Shule...
  20. Tukio la Nabii Musa kuona Moto unawaka kwenye kichaka cha majani mabichi kujirudia tena tarehe 20&21 Dec2024 nchini Israel Mlima Karkom! Je tulipigwa?

    Jeshi la Israel, IDF inaruhusu watalii kuona 'kichaka kinachowaka moto' kwenye Mlima Karkom, Je ni nini hiki? - mfafanuzi Jeshi limesema kuwa litafungua eneo hilo, ambalo kwa kawaida ni eneo la shabaha kwa silaha za moto la IDF, tarehe 20-21. Desemba 2024 Watu wataruhusiwa kuzuru Mlima Karkom...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…