nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Kampuni ya Telecome nchini Namibia imeshambuliwa na wadukuzi

    Kampuni ya simu ya Telecom inayomilikiwa na serikali ya Namibia imeshambuliwa na wadukuzi na kusababisha uvujaji wa taarifa nyeti za wateja. Vyombo vya habari vya ndani vimeripoti kuwa wadukuzi waliiba karibu taarifa 500,000 ikiwa ni pamoja na taarifa binafsi na za kifedha za wizara, maafisa...
  2. technically

    Pre GE2025 Tundu Lissu kabadilisha kabisa upepo wa kisiasa nchini

    Tukiacha unafiki Tundu Lissu amebadilisha kabisa siasa za Tanzania Joto la kisiasa lipo juu vyombo vyote vya habari mpaka gazeti la Uhuru habari ni Tundu lissu. Sasa naona Tundu Lissu ndiye Rais ajaye wa Tanzania Kama atachaguliwa kuwa mwenyekiti wa chadema akafanya reform ya chama...
  3. M

    Damascus: Shambulizi la anga la Israel lasababisha tetemeko la aridhi nchini Syria

    Leo,Israel imefanya shambulizi la anga kwenye kambi ya jeshi la Urusi katika mji wa TARTUS imesababisha mtikisiko mkubwa wa Ardhi ambao umesikika umbali wa Kilometa 800. Wataalamu wa kijeshi wanasema,huenda mlipuko huo umesababishwa na Vilipuzi vilivyokuwa vimehifadhiwa mahali hapo. Jeshi la...
  4. Wakusoma 12

    Pre GE2025 Tundu Lissu hana karama ya kuongoza chama kikubwa kama CHADEMA, msifanye makosa ya kumpa Uenyekiti

    Huenda Kuna watu wanahisi kuwa Mwenyekiti wa chama pinzani chenye nguvu Afrika ni lelemama, la hasha ni vita hasa tena ni uhaini mkubwa kwa watawala Hawa ambao hawapendi kukosolewa. Tundu Lissu amekuwa akitapatapa kusaka uongozi wa juu kwenye chama bila kujua kuwa makamu Mwenyekiti ni nafasi...
  5. B

    Madaktari wa Tanzania na Israel nchini Zambia kufanya upasuaji wa moyo bure

    15 December 2024 Madaktari wa Tanzania na Israel nchini Zambia kufanya upasuaji wa moyo bure https://m.youtube.com/watch?v=FeeoVkgzMv0 Na Musonda Mwewa ZNBC Timu ya madaktari maarufu wa kimataifa wamewasili nchini Zambia kufanya upasuaji wa kuokoa maisha ya watoto 25 wanaougua matatizo ya...
  6. Mkalukungone mwamba

    Asilimia 95 ya vijana nchini humiliki video za ngono kwenye simu

    Vijana vijana vijana! Nimewaita mara 3 kumbe hali ndiyo ipo hivi kuwa umiliki wa video za ngono ni mkubwa kuliko kumiliki maarifa mazuri na pesa. Mbona hii ni balaa sana! =================== Imeelezwa kuwa zaidi ya asilimia 95 ya vijana nchini wameathiriwa na ukuaji wa kasi ya teknolojia ya...
  7. Stephano Mgendanyi

    Jenista Mhagama & NHS ya Uingereza Wajadili Namna Bora ya Utoaji Bima ya Afya kwa Wote Nchini

    Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama akiambatana na ujumbe wake kutoka Tanzania akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Bw. Ismail Rumatila, Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu pamoja na wataalam wengine wamekutana na uongozi wa 'National Health Services' (NHS) ikiwa ni muendelezo wa...
  8. KING MIDAS

    Kutana na nyumba zinazohamishika zinazotengenezwa nchini Tanzania

    Mfanyabishara wa mbao anayefahamika kwa jina la Peter Stephano mkazi wa Maji ya chai wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, ameanzisha kiwanda kidogo cha kutengeneza nyumba za kisasa zinazoweza kuhamishwa kwa madai ya kutaka kuendana na maendeleo dunia ya sasa. Peter akizungumza na GADI TV wilayani...
  9. J

    JamiiForums kwa kushirikiana na StarTV inafanya mjadala kuhusu hali ya siasa Nchini na utawala wa sheria

    Fuatilia moja kwa moja mjadala unaofanywa na JamiiForums kwa kushirikiana na StarTV kuhusu hali ya siasa Nchini, na utawala wa sheria kuanzia saa 3:30 Usiku mpaka saa 5:30 Usiku. Washiriki ni; 1: Wakili, Boniface Mwabukusi - Rais wa TLS. 2: Ado Shaibu - Katibu Mkuu ACT WAZALENDO. 3: Benson...
  10. State Propaganda

    Utawala mpya wa Jawlani nchini Syria waiandikia barua UN Security Council wakilalama kuhusu Israel kuendelea kujitwalia maeneo ya ardhi yake zaidi

    Utawala mpya wa Syria ulio chini ya kikundi cha kigaidi cha kiislamu chenye itikadi kali kijulikanacho kama Hayat Tahrir al-Sham (HTS), unaoongozwa na gaidi kiongozi Abu Mohammed al-Jawlani, umeiandikia barua yenye malalamiko na manung'uniko mengi Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN...
  11. Stephano Mgendanyi

    Filamu ya "Tantalizing Tanzania" Yazinduliwa Rasmi Nchini India

    FILAMU YA “TANTALIZING TANZANIA” YAZINDULIWA RASMI NCHINI INDIA Na Happiness Shayo - Mumbai, India Filamu ya kutangaza vivutio vya utalii vya nchini Tanzania ijulikanayo kama “Tantalizing Tanzania” inayomhusisha mwanamuziki wa India Shakti Mohan aliyepiga picha mjongeo katika hifadhi za...
  12. Narumu kwetu

    Utafiti: Watu milioni 17.5 ni maskini nchini Ujerumani(DW)

    Utafiti uliochapishwa Jumamosi, umeonyesha kuwa watu wengi zaidi nchini Ujerumani, wanaokadiriwa kufikia milioni 17.5 wanaishi katika umaskini kuliko ilivyodhaniwa hapo awali. Hali hiyo imetokana na viwango vya juu vya kodi na gharama zinazohusiana na kodi za nyumba. Kulingana na data za Ofisi...
  13. M

    Rais Assad alikuwa spy wa Israel nchini Syria

    Nimeona barua inayodaiwa kupatikana kwenye kavazi la aliyekuwa Rais wa Syria Bashar al Assad ikimhusisha kuwa alikuwa akitumiwa na intelijensia ya Israel kufanikisha baadhi ya mipango yao. Lugha iliyotumika nimeshindwa kuielewa maana si mjuzi wake.
  14. T

    Baada ya kutangaza kugombea u/kiti CDM, ni kosa TAL kuendelea kuwepo nchini. Wakati sahihi kuwepo ni siku ya uchaguzi wenyewe. Sababu hizi hapa.

    Ana maadui wengi, Kwa hiyo hawezi kujulikana yupi kamudhuru. 1. Adui walioko ndani ya chama chake wakihusika watasema ni watawala. 2. Watawala wakihusika watasema ni maadui ndani ya chama chake. 3. Vyama vingine vya upinzani vikinusika vitasema ni watawala au wenzake ndani ya chama chake...
  15. Q

    Uchaguzi Mkuu CHADEMA (Taifa) huwa unafuatiliwa na watu wengi ndani na nje ya nchi

    2014: Freeman Aikael Mbowe na Ester Matiku walichukua fomu. Matokeo: Mbowe kura 789, Matiku kura 20. 2019: Freeman Aikael Mbowe na Cecil Mwambe walichukua fomu. Matokeo: Mbowe kura 886, Mwambe kura 56. 2024: Sio tetesi tena Makamu Mweyekiti Mh. Tundu Lissu atawania kiti hicho tuendelee kutega...
  16. M

    Inasemekana Asad alikuwa anaisaidia Israeli kuwashambulia Iran na Hesbolah nchini kwake alipokuwa madarakani

    Wanajamii waswahili walisema kikulacho kimo nguoni mwako, usemi huu umedhihirika baada nyaraka kuvuja zikionyesha utawala wa aliyekuwa rais wa Syria Asad alikiuwa akishirikiana na serikali ya Israeli kuwabonda Iran na Hesbolah Kama mtakumbuka ndege za Isreli zilikuwa zinashinda zikipiga...
  17. Sir John Roberts

    Jeshi Urusi hii Leo lazuia msafara wa Jeshi la Marekani nchini Syria

    Jeshi la Urusi hii Leo limeuzuia msafara wa Majeshi ya Marekani uliokua unataka kuingia katika mji Qamishlo nchini Syria na kuualazimisha kugeuza kurudi ulipotoka. Source: Visegrad24 X account
  18. Tlaatlaah

    Aikaeli Mbowe kaonesha chuki dhidi ya alivyoviita vyama 14 vya siasa

    Friends, ladies and gentlemen. Je ni kweli kwamba umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu? Inaonekana kwenye siasa za Tanzania hasa upinzani, chuki binafsi, migawanyiko, uhasama na utengano miongoni mwa vyama vya siasa eti ndiyo huleta nguvu na ndiyo kipaumbele chao kwa sasa. Kitendo cha...
  19. M

    Damascus: Urusi imeanza kuwaondoa wanajeshi wake nchini Syria kwa msaada wa Uturuki

    Shirika la Habari la Serikali ya Syria,SANAA limeripoti kwamba,Msafara wa wanajeshi kadhaa wa Urusi pamoja na vifaa vya kijeshi vimeanza kuondoka nchini Syria. Video kadhaa zimeonesha msafara wa magari ya kijeshi ikiwemo mifumo ya ulinzi wa anga aina ya S-300/400, Vifaru aina ya T-64 na Magari...
  20. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mhagama: Tanzania Inakuja na Mifumo Imara ya Bima ya Afya kwa Wote Nchini

    Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagamana na ujumbe wake akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Bw. Ismail Rumatila, Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu pamoja na wataalam wengine Desemba 09, 2024 wamefanya ziara ya mafunzo ya jinsi mfumo wa uendeshaji wa masuala ya afya unavyofanya...
Back
Top Bottom