nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Diamond Platnumz afichua kuwa alilipwa TSh. Miloni 374 kutumbuiza nchini Kenya katika show iliyovurugika, amchana Willy Paul "ananitengenezea ubaya"

    Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz afichua kuwa alilipwa dola 150k sawa na TSh. Miloni 374 (373,554,903) kutumbuiza nchini Kenya katika show iliyovurugika mwisho wa wiki. Taarifa hii imekuja wakati akijibu madai kwamba alihusika katika kumzuia msanii wa Kenya, Willy Paul, kupanda...
  2. Rais wa zamani na kiongozi wa chama cha upinzani ashinda kiti cha Urais Ghana

    Wakuu, Katika tukio la kihistoria la uchaguzi mkuu wa Ghana, John Mahama, Rais wa zamani na kiongozi wa chama cha upinzani cha National Democratic Congress (NDC), amerejea madarakani baada ya kushinda uchaguzi uliofanyika Jumamosi, Disemba 7, 2024. Mahama aliibuka mshindi dhidi ya Makamu wa...
  3. TCAA: Hakuna ndege ambayo inaweza kuingia nchini bila kuonekana, tuna Rada 4 zimesimikwa

    Katika kuadhimisha Siku ya Usafiri wa Anga Duniani (ICAD) ambayo kilele chake ni Desemba 7, 2024 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Salim Msangi amesema kwa sasa hakuna ndege ambayo inaweza kuingia kwenye anga la Tanzania bila kuonekana. Akizungumza na Waandishi wa...
  4. Waziri Aweso atembelea Benki ya EXIM ya Korea ambayo imefadhili utekelezaji wa miradi ya Majitaka nchini ya Dola Milioni 248.3

    WAZIRI AWESO ANADI MIRADI YA MAJI KOREA Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa H. Aweso (Mb) ametembelea na kufanya mazungumzo na Benki ya EXIM ya Korea ambayo imefadhili utekelezaji wa miradi ya Majitaka nchini Tanzania yenye jumla ya Dola za Kimarekani Milioni 248.3 (Mkoa wa Dar es Salaam 90 $US milioni...
  5. Maambukizi ya Mpox yafikia Visa 800 na Vifo 4 Nchini Uganda

    Ofisi ya Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) nchini Uganda imesema visa vya Mpox nchini humo vimezidi 800, ongezeko kutoka jumla ya visa 495 vilivyoripotiwa kufikia Novemba 20. The World Health Organisation (WHO) country office has said Mpox cases in Uganda have surpassed 800, an increase from a...
  6. L

    Serikali iondoe utaratibu wa kukata bima ya mkopo kwa mkupuo kwa watumishi wanapochukua mkopo bank

    Tunajua kuwa watumishi wengi karibu wote wanatumia mikopo kuendeleza/kuanzisha biashara zao,kusomesha watoto,kujisomesha na mambo mengine. Hapo miaka ya nyuma kidogo bima ya mkopo ilikuwa inalipwa kwa awamu mpaka mkopo unaisha hii ilitoa nafuu kubwa Sana kwa mkopaji kwa sasa bima hii inakatwa...
  7. Izzo Bizness: Matukio ya Vifo na kutekwa na kupotea nchini, hali imekuwa ya kutisha zaidi

    Rapa Izzo Bizness ameelezea hofu yake kuhusu matukio ya hivi karibuni ya vifo na kutekwa kwa watu, akisema hali imekuwa ya kutisha zaidi. Kupitia mtandao wa X (zamani Twitter), Izzo ameonyesha wasiwasi kuhusu ongezeko la matukio ya kutoweka kwa watu nchini, huku akisema kuwa hali hiyo...
  8. Tatizo la minyoo/ safura hasa kwa watoto limetokomezwa nchini?

    Kuna miaka ilikuwa mtoto akionekana mbishi wa kula, amezubaa zubaa au goigoi sana wazazi wanaambiana inawezekana ana minyoo na mara moja atapewa dawa za minyoo bila hata kumuona daktari, ila umepita muda mrefu sana sioni watoto wakipewa dawa za minyoo/ safura tena! Nafikiri hata kipindi...
  9. Hakuna Rais wa Tanzania aliyewahi kumteua Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji wa Mahakama yoyote hapa nchini, awe mkweli asipotoshe

    Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja. Katika orodha ya majaji wa nchi hii...
  10. M

    Usalama barabarani Tanzania, iwe mada ya lazima kufundishwa na maswali yake yajibiwe kwa lazima na kila mtahiniwa kwa ngazi zote za elimu nchini

    Kutokana na ongezeko kubwa la vyombo vya moto, vyombo vya usafirishaji na mitambo mbalimbali inayotumia barabara, ipo sababu ya mitaala na miongozo ya ufundishaji au utoaji mafunzo yoyote nchini kujumuisha mada ya usalama barabarani ili kupanua wigo katika uelewa wa matumizi sahihi ya barabara...
  11. T

    SI KWELI Tanzania imezuiliwa kuingia Marekani

  12. Wapinzani wa nchini Namibia walalamika juu ya wizi wa kura kwenye uchaguzi wa Namibia. Wasema ushindi wa SWAPO ni haramu

    Dkt. Panduleni Itula, mgombea urais wa chama cha Independent Patriots for Change (IPC), ametangaza kuwa chama chake hakitakubali matokeo ya uchaguzi mkuu unaoendelea, akidai kuwa kuna kasoro kubwa katika mchakato huo. Akihutubia mkutano na waandishi wa habari mchana huu, Dkt. Itula alieleza...
  13. DOKEZO Maeneo mengi nchini yanaripotiwa kutokuwa na Umeme, kuna shida gani huko TANESCO?

    Leo hii, Watanzania katika mikoa mingi wamejikuta wakikumbwa na tatizo kubwa la kukosekana kwa nishati ya umeme. Hali hii imeleta usumbufu mkubwa kwa shughuli za kila siku, kuanzia viwandani, katika ofisi, hadi majumbani. Kutoka mitandao ya kijamii hadi vyombo vya habari, wananchi wameendelea...
  14. Tusimung'unye maneno, tatizo la ukosefu wa ajira hapa nchini Tanzania ni matokeo ya utawala wa Magufuli

    Hello! Najua kuna watu huwaambii kitu kuhusu Magufuli lakini ngoja niwaambie hata kwa ubabe. Tatizo la ajira ni global issue lakini kwa Tanzania halikupaswa kutokea sasa, lilipaswa lianze angalau 2030. Baada ya kuingia Magufuli Ikulu na kuwa Rais cha kwanza kabisa akaenda kupambana na...
  15. Simba SC kuondoka nchini Jumatano kwenda Algeria kwa mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine

    Kikosi cha timu ya Simba SC kinatarajiwa kuondoka nchini Jumatano alfajiri (Disemba 4) kuelekea Algeria kwa ajili ya mchezo wao wa pili wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Akizungumza kuhusu safari hiyo, Afisa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba SC, Ahmed Ally, amesema kuwa...
  16. Mwanajeshi wa Rwanda, amejikuta matatani nchini Msumbiji baada ya wananchi kumshtukia akiwa amevaa sare za jeshi la polisi wa Msumbiji

    Wakuu Kuna video hii ikimuonesha Mwanajeshi wa Rwanda, ambaye amejikuta matatani nchini Msumbiji baada ya wananchi kumshtukia akiwa amevaa sare za jeshi la polisi wa Msumbiji na kumzonga wakitaka avue mask Pia, Soma: + Jeshi la Rwanda kusalia Msumbiji + Kujiondoa kwa Majeshi ya Africa Kusini...
  17. Wadada wetu wa vyuoni wanajiuza sana hasa kwenye sehemu za starehe

    Siku za hivi karibuni tumeona Biashara ya kujiuza ikiendelea kukua siku hadi siku na sababu zikiwa ni nyingi Mimi kwa utafiti wangu mdogo nimezipata zifuatazo kupitia dada zetu waliopo kwenye vyuo mbalimbali hapa nchini 1. Ugumu wa Maisha Baadhi ya dada zetu wamekuwa wakijiingiza kwenye hii...
  18. G

    Haya ni makampuni makubwa miongoni mwa 400 yanayowekeza mabilioni ya dola nchini Israel kwajili ya Utafiti na Ubunifu (Research and Design)

    Update: Nimeleta habari za kisomi nashangaa kuna watu wameanza kuingiza mihemko ya kidini, Tatizo nini ? Katika kampuni za teknolojia, idara ya Utafiti na Ubunifu (Research and Design) inahusika na kubuni na kuendeleza bidhaa, huduma, au teknolojia mpya kwa kutumia maarifa ya kisayansi...
  19. Waziri Mhagama: Maambukizi ya VVU Kutoka kwa Mama Kwenda kwa Mtoto yamepungua Nchini

    Na WAF - Ruvuma Waziri wa Afya Mhe. Jesnista Mhagama amesema kiwango cha maambukizi ya Virusi vya UKIMWI kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto yamepungua kutoka asilimia 18 mwaka 2010 hadi asilimia 8.1 mwaka 2023. Waziri Mhagama amesema hayo Novemba 29, 2024 wakati wa ufunguzi wa kongamano la...
  20. Ontario: Mahakama Kuu ya Canada Yatupilia Mbali Shauri la Wanaharakati Walioshitaki Barrick Kukiuka Haki za Binadamu Kwa kutumia Polisi North Mara.

    Mwenyekiti wa Makampuni ya Barrick amesema amefurahishwa na maamuzi ya Mahakamani ya kutupilia mbali Shauri lilopelekwa na Wanaharakati wa Tanzania ambao Walioshitaki kampuni hiyo Kwa kile kinachodaiwa Kukiuka Haki za binadamu kwenye mgodi wa North Mara Kwa kutumia Polisi. Kampuni ya Dhahabu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…