Ahadi ni deni. Tena ahadi inayohusu masuala ya msingi ya kitaifa.
Taifa linahitaji katiba mpya. Alitambumbua kabisa moja ya sababu zilizosababisha vurugu ni wananchi kutaka katiba mpya.
Sasa hiyo ahadi imeyeyuka mithiri ya barafu. Siku 100 zimekuwa siku 4000.
Ahadi ya Kampeni ya kuanzisha bima ya Afya Kwa wote imetimia ndani ya siku 100 za Uongozi wa Rais Samia.
Ambapo Zoezi la kukabidhi kadi Kwa Wananchi walengwa wasio na uwezo wa kuchangia vifurushi linasndelea Nchi nzima na wamefurahia na mumshukuru Rais Kwa kuwajali Afya zao...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Ridhiwani Kikwete ameeleza Ndani ya siku 100 za Rais Samia ameajiri walimu 7000 na watumishi wa afya 5000
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 23, 2026 akiweka jiwe la msingi mradi wa Ujenzi Vituo vya Kusukuma Maji, Mabomba Makuu ya Usafirishaji Maji na Matanki ya Kuhifadhia Maji jijini Mwanza amesema Serikali imeanza kutekeleza ilani ya Chama ambapo mpaka sasa Serikali imeajiri walimu 7,000...
Je, hii ni dalili ya failed state? Kuanza na kuanza ndani ya siku 100 maji yameanza kuwa tatizo, nauli za mwendokasi zimeanza kupanda, umeme nao soon utakuwa changamoto.
Dalili ya mvua mawingu, tutarajie makubwa zaidi ya haya.
MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia (CUF) Samandito Gombo amesema siku 100 baada ya kuchaguliwa kuwa Rais atahakikisha anaanzisha mchakato wa katiba mpya na itakuwa ni siku ya kwanza baada ya kuapishwa.
Gombo aliyasema hayo leo wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari...